Kesi ya Ugaidi: Kingai na genge lake waumbuliwa

Sina imani kabisa na huyu Judge,kama anasikiliza serikali anajidanganya tuu hao watawala wanakuja na kuondoka tuu,asimamie haki la sivyo tutamkumbuka kama Judge la ovyo kabisa lisilo na maadili wala kufuata sheria, wekeni picha yake na CV yake tumjue
 
Mpaka sasa nashangaa sana bado kupekenyuliwa huyu...wapekenyuliwe na mawakili wa serikali...wote wnaonekana kama ni makada wa CCM
 
Katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake watatu,leo Shahidi upande wa utetezi Ndg Lembrus Mchome mkaazi wa Wilaya ya Mwanga kaithibitishia Mahakama kwamba D/C Msemwa alikuwa akihudumu kituo cha police Oysterbay na si Central Police kama alivyodai wakati akitoa ushahidi wake kwamba alimpokea mshitakiwa Mohammed Ling’wenya.

Ndg Lembrus alikuwa akikabiliwa na kesi ya makosa ya mtandao.Pamoja na kutoa ushahidi wake mbele ya Jaji anayesikiliza kesi hiyo pia aliweza kuwasilisha nyaraka mbali mbali zenye kuunga mkono madai yake.

Kupitia ushahidi huu ambao mawakili wa Serekali hawakuutarajia kabisa ni wazi sasa madai ya washitakiwa Adamo na Ling’wenya kwamba hawakuwahi kufikishwa Central police hata mara moja badala yake walipelekwa Vituo vya Police TAZARA na Mbweni yatakuwa yamepata nguvu kubwa kweli kweli.

Halafu Jaji huyu bado kijana na anaweza kushuhudia utawala mwingine unaingia madarakani akiwa bado sana muda wake wa kustaafu.
Kwa vile majaji hawafukuzwi kiholele, hawa ndio wa kuundia tume za kuwachunguza ili kuwavua madaraka na kinga yao ya kijaji kisha nao kuwashtaki waone raha ya kuonea wasio hatia.
Somo la Sabaya na masononeko ya Bashite bado tuu halijawa somo kwa hawa watu wengine?
Mboni zao zimetiwa upofu na masikio yao yametiwa nta..hawasikii hawaoni
 
Mkuu Retired unadhani yote hayo hajui/hawajui? Wanajua sana kutokana na yanayojadiliwa kwenye mitandao ya kijamii kwani wanaisoma, na siku hizi wanaifuatilia sana. Hata hao mawakili wa serikali hadi wanapiga simu kuuliza vijiwe vyao wanavyo nywea bia watu wanasemaje.
Shida ni kiburi na kujisahau. Lakini kulikuwa na wenye viburi, ubabe na dharau kama Sabaya au Bashite? Wana hali gani? Ni mashaka na hudhuni tuu mioyoni mwao. Jaji asijidanganye kuwa anaweza kutenda uovu akawa salama siku zote, hata Hagaya mwenyewe uovu hauwezi kum guarantee usalama maana tumeona wababe kabisa kama Albashir, Mubarak, Mugabe au Gaddafi wakitepeta.

Mtu mwema jamii itakupigania na katikati ya mateso uta tabasamu. Ona Mbowe alivyo sasa, hafichi uso akija mahakamani na anasalimia kwa bashasha na watu wanasimama kumpa heshima.
Mtu mwema jamii itakupigania na katikati ya mateso uta tabasamu. Ona Mbowe alivyo sasa, hafichi uso akija mahakamani na anasalimia kwa bashasha na watu wanasimama kumpa heshima
 
Hii wanaisukuma mpaka Dec halafu wamuache Mwenyekiti magereza mpaka Feb2022. Mahakama Majaji huwa wanaenda likizo from Dec thru Feb. Hii ipo bongo tu sijui kwa nini?
 
Jaji anataka kuendelea kuwabeba.

Soma hii:

Jaji amefanya maamuzi ya ajabu asubuhi, na jioni hii ameendelea kufanya mambo hayo na haogopi. Ametoa dakika 5 serikali wasome na kupitia vielelezo vya utetezi, wakasema hazitoshi, ameruhusu wajiandae usiku mzima kutoa msimamo. Uwezo wetu wa kumvumilia unakaribia ncha ya mwisho.
Wewe ni nani kumtishia jaji?
 
Kupitia ushahidi huu ambao mawakili wa Serekali hawakuutarajia kabisa ni wazi sasa madai ya washitakiwa Adamo na Ling’wenya kwamba hawakuwahi kufikishwa Central police hata mara moja badala yake walipelekwa Vituo vya Police TAZARA na Mbweni yatakuwa yamepata nguvu kubwa kweli kweli.
Kufikishwa is one thing na kuwa magaidi is another thing. HIzo ni chrap propoganda za magaidi kijitanzua kwenye kitanzi. Miaka watakula na Mbowe will never be a president of this country (TZ). Akiwa raisi nitaomba ukimbizi China au Urussi.
 
Wenzako walisema hivyo hivyo huku wakikata viuno nakuimba CCM nambari wani leo wanajificha kwa aibu, ulaji umekwisha na wengine jela ndio nyumbani kwao
 
Walindwe na Nani? Kuna yule mmoja alikua RPC Dar, baada ya kustaafu na kukosa pesa za rushwa alizokua amezoea alichoka mpaka akkaajiriwa na wahindi Kama mlinzi wa bureau de change pale Kona ya India na Zanaki. Silaha aliyokua anatumia Ni Ile migobore iliyotumika Vita kuu ya kwanza.
Just imagine RPC he Hawa wabeba bunduki.
Mimi huwa nawaangaliyaga mapolisi, nawaangaliyaaaaa......nasemaga fainali uzeeni.
Kwanza wenyewe kwa wenyewe hawspendani. Polisi akistaafu anakaa hata mwaka hajapewa nauli ya kurudi kwao usweken. Mafao Sasa ndio balaaa....
Ndiyo maana serikali inachukua failure kwenda police
 
Kikosi kazi cha police kilichoratibu mateso Kwa watanzania wenzao ni hawa Akina Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Hawa watu ni lazima washughulikiwe wakiwa Hai au wakiwa wamekufa.
Magufuli alikuwa mbabe hasa. Alikuwa anajiamini kweli kweli. Alijiringanisha na jiwe. Yeye alijiita msema kweli. Alitaka watu wajue yeye ni mtu wa Mungu. Lkini alijaa chuki na visasi. Sasa Yuko wapi?? Ule ulinzi wake wote haukumsaidia asifariki.

Aliamini akijenga madaraja na kununua ndege Kwa cash, na kuwahubiri wajinga kwamba umasikini ni sifa. Basi hatokufa.

Je Kwa hayo yote hawa viongozi waliobaki hawajifunzi Jambo??
 
Hahahaha RPC anaajiriwa na Beuraau De Change? hivi pesa hawa huwa wanaziweka wapi? au sababu zina mikono ya damu?
 
Kikosi kazi cha police kilichoratibu mateso Kwa watanzania wenzao ni hawa Akina Kingai, Mahita, Goodluck, na Jumanne. Hawa watu ni lazima washughulikiwe wakiwa Hai au wakiwa wamekufa.
Magufuli alikuwa mbabe hasa. Alikuwa anajiamini kweli kweli. Alijiringanisha na jiwe. Yeye alijiita msema kweli. Alitaka watu wajue yeye ni mtu wa Mungu. Lkini alijaa chuki na visasi. Sasa Yuko wapi?? Ule ulinzi wake wote haukumsaidia asifariki.

Aliamini akijenga madaraja na kununua ndege Kwa cash, na kuwahubiri wajinga kwamba umasikini ni sifa. Basi hatokufa.

Je Kwa hayo yote hawa viongozi waliobaki hawajifunzi Jambo??
Ni kikosi konachoaminika na kilipewa mamlaka yote
 
Yaani wakati mwingine unabaki unashangaa,kwasababu maovu yote waliyotenda yawatafuna hadi watoto wao.
Neno la Mungu liko wazi. Huwatafuna hadi kizazi cha nne. Tujitahidi iwezekanavyo tuishi kwa wema. Tutawaletea laana watoto wetu huko mbele.
 
Ukatili au uwongo ni vitu vibaya sana hasa hasa kumkwanza mwenzako. Hi laana huwa inajificha sana lakini lazima iumbue nyakati zinavyokwenda.

Hili neno uwongo na laana vinasuta dhamira sana. Msemwa jitafakari uepuke hi laana. Huu upupu utakwenda nao kizazi hata kizazi. Na happy inaweza kuwa ndiyo mwisho wa kizazi Chako kusonga mbele. Jenga familia ambayo haitawekewa kinyongo mbeleni.
 
Back
Top Bottom