Henry Kilewo
JF-Expert Member
- Feb 9, 2010
- 899
- 1,084
----------
UPDATES:
NOTE: Kesi hii imeahirishwa na itatajwa tena 17/Oct/2011.
Mujulizi si mbia wa IMMA, mbia ni Magai
----------
Kila mtu mwenye akili na anayejua sheria ameshanga sana maamuzi aliyetoa Jaji Mujulizi jana katika kuhukumu pingamizi ambalo mawakili wa Mbunge Lema walikuwa wameweka dhidi ya walalamikaji , hata hivyo mbunge wa Arusha mjini amekatisha safari yake jana mjini Hanang alipofanya mkutano mmoja akiwa njiani kuelekea Igunga kushahuriana na mawakili wake ni nini cha kufanya na leo baadae ataondoka kuelekea Igunga kwenye mapambano.
Hata hivyo kwa uchache unaweza kumfahamu Jaji Mujulizi historia yake kidogo ili ujiulize je haki itatendeka?
Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji aliikuwa na mkurugenzi katika kampuni ya sheria ya IMMA (ambayo kirefu chake ni ISHENGOMA, MASHA, NA MUJULIZI) hata mpaka leo yeye ni mbia.
Kampuni hii ya sheria ndiyo aliyomsomesha Riziwani Kikwete Uingereza wakati Rizwan alipokuwa ana practise law kwao.
Kampuni hii mpaka leo mtoto wa Karume Fatuma Karume bado anafnya kazi na ni mwanaisa mmojawapo wa kampuni hii.
Jaji Mujulizi anasimamia kesi ya uongo uliotungwa dhidi ya Lema kuhusu madai mbalimbali ikiwemo udini, je ye mwenyewe kama alipewa nafasi ya ujaji baada ya kusilimu ( alikuwa mkiristo na akabadili dini kuwa mwisilamu) je ataweza kusimamia haki dhidi ya uongo huu, kwani hata sasa ameanza kuonyesha mapungufu makubwa.
Hebu tuangalie nini kitatokea mahakamani leo baada ya Mbunge Lema kurudi kuwasiliana na mawakili zake.