Kesi ya mbunge Lema: Jaji Mujulizi ametumwa na nani?

Henry Kilewo

JF-Expert Member
Feb 9, 2010
899
1,084
----------
UPDATES:
NOTE: Kesi hii imeahirishwa na itatajwa tena 17/Oct/2011.
Mujulizi si mbia wa IMMA, mbia ni Magai
----------

Kila mtu mwenye akili na anayejua sheria ameshanga sana maamuzi aliyetoa Jaji Mujulizi jana katika kuhukumu pingamizi ambalo mawakili wa Mbunge Lema walikuwa wameweka dhidi ya walalamikaji , hata hivyo mbunge wa Arusha mjini amekatisha safari yake jana mjini Hanang alipofanya mkutano mmoja akiwa njiani kuelekea Igunga kushahuriana na mawakili wake ni nini cha kufanya na leo baadae ataondoka kuelekea Igunga kwenye mapambano.

Hata hivyo kwa uchache unaweza kumfahamu Jaji Mujulizi historia yake kidogo ili ujiulize je haki itatendeka?

Kabla ya kuteuliwa kuwa jaji aliikuwa na mkurugenzi katika kampuni ya sheria ya IMMA (ambayo kirefu chake ni ISHENGOMA, MASHA, NA MUJULIZI) hata mpaka leo yeye ni mbia.

Kampuni hii ya sheria ndiyo aliyomsomesha Riziwani Kikwete Uingereza wakati Rizwan alipokuwa ana practise law kwao.

Kampuni hii mpaka leo mtoto wa Karume Fatuma Karume bado anafnya kazi na ni mwanaisa mmojawapo wa kampuni hii.

Jaji Mujulizi anasimamia kesi ya uongo uliotungwa dhidi ya Lema kuhusu madai mbalimbali ikiwemo udini, je ye mwenyewe kama alipewa nafasi ya ujaji baada ya kusilimu ( alikuwa mkiristo na akabadili dini kuwa mwisilamu) je ataweza kusimamia haki dhidi ya uongo huu, kwani hata sasa ameanza kuonyesha mapungufu makubwa.

Hebu tuangalie nini kitatokea mahakamani leo baada ya Mbunge Lema kurudi kuwasiliana na mawakili zake.
 
Sijui na huyu Kilewo katokea wapi. Subiria kidogo ntarudi na majibu yako yenye msimamo.
 
Hapo haki iko mashakani, hawa IMMA pia si wanahusika na ukwapuaji wa mabilioni ya serikali uliofanywa na MEREMETA? Huyu nae ni judge!

Hii nchi ukiwaza sana unaweza kujikuta unajamba nonstop kwa kihoro!
 
Kuna sehemu ccm wanajisumbua kabisa,yaani hapo arusha wakirudia uchaguz hata mara mia wasitegemee kitu
 
Teuzi za Rais na KATIBA yetu.

Kama alivyosema tundu Lisu, huyu Rais mfalme alitoa fadhila kwa mashoga wa mtoto wake. Katiba inamapungufu makubwa. Katika hali ya kawaida huyu jaji hakupashwa kuteuliwa kuwa jaji maana ana skendo za wizi, sasa ikipelekwa kesi inayohusu imma company haki itatendeke. majaji wa UPE
 
Hivi mtu amezidiwa kura zaidi ya Elfu ishirini halafu bado analialia kwamba kaonewa, je huyu mtu ana akili timamu kweli! Huyu mama hata kama uchaguzi ukisemwa urudiwe tena leo ndio atajizolea aibu kubwa zaidi, atakuwa kama Mgombea wa UPDP aliyezindua kampeni zake jana na kupewa coverage kubwa na TV-CCM.
 
Ahaa!!,huyu jaji me nnaona anataka kuipandisha CV yake kwa magamba(ccm)wenzake Serikalini sbb hata wakiurudia uchaguzi ccm wataumuzwa zaidi ya walivyoumizwa uchaguzi uliopita,kama hawa ccm hawaamini THUBUTU Yao tuione
 
Nauliza kwenu wadau, kama Mahakama itatengua ushindi wa Mlalamikiwa, ni lazima vyama viwasimamishe wagombea walewale?

Wafanye wafanyavyo, wakirudi kwenye sanduku la kura tutawaaibisha. Kata yangu ya kupigia kura ni kilometa 12 kutoka nilipohamia sasa, tukipiga kura na kura yangu itabaki kwa mshindi.
 
Jaji huyo aliagizwa aendelee kum-keep bussy Mbunge Lema kwa kesi legelege ili asipate muda wa kufanya maendeleo kwa wana Arusha. Jaji huyo kama alibadili dini, hapo kazi ipo, je siku hiyo ya hukumu alikuwa amevaa Mtandio au Hijabu??. Tutasimama imara hadi dakika ya mwisho.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom