Kesi ya Mbowe; Umejifunza nini kipya?

Manka ni mtoto wa kike...

Sasa jibu swali umefanikiwa kuacha ushoga au bado wewe ni shoga?
Sorry James delicious mi Nina mke sidili na machoko
giphy.gif
 
Jeshi linahusika .
Haiwezikani makomandoo wenu wateswe na wao wanakaa bila ys kusema.chochote.
Wakati huohuo walioteswa walinyimwa hata malipo yao wakati walipatwa na matatizo wakiwa kazini.

Pamoja na kunyimwa malipo yao wameamua kujitafutia riziki kwa njia zingine bado wanateswa.
Hii nchi inamatatizo sana.

Police akina kingai wasingeweza kufanya haya kwa makomandoo hawa kama wasinge pewa baraka za jwtz.
 
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!

1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
1. Kaingai , Mahita,Godluck ,Azizi ni watari
2.Marehemu alikuwa na genge la watari Bashite ,Sabaya and mentioned above
3.Mama anajaribu kufuta kauli yake yakusema yeye na Mbenge walikuwa kitu kimoja baada yakugundua aliendeleza uchaufu wa upelelezi wa watari feki hadi kwenda BBC kujaribu kujustify yeye ni kitu kimoja na mbenge
4.Zero nayeye PGO haijuwi ndiomana wale majunior wake walivuka hadi kukamatwa Malawi
5.CCM bila Wakina Kaingai ni mavi tuu
6.n.k
 
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!

1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Sasa nimeelewa vizuri kwanini Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Simbachawene alisema "Jeshi la Polisi linaajiri waliofeli shuleni, halitaki waliofaulu vizuri!"
 
Naanza uzi huu kufuatia maelezo ya wale waliofuatia kesi hii kwa karibu kwamba wamejifunza/gundua mengi ambayo hawakuwa hapo mwanzo wanayajua. Sasa ili kuwadirikisha wale wasioifuatia, au waliokuwa na gap ya kufuatia, tupe uliloligundua kwa sharti ueleze shahidi nani alilisema, hoji hilo. Hii ni ili kusiwe na fake news!

1- Nimegundua kuwa baadhi ya askari wanawabambikia kesi raia wema- ushahidi wa xxx
2-
3- n.k.
Jambo kubwa ni kujulikana kwa wauaji , watekaji na wasiojulikana
 
Nimegundua kuwa polisi siyo watu wazuri kwa raia.
Nimewagundua kingai, mahita jumanne na gudluck wana roho mbaya kuliko hata shetwain bin ibilis! Pia kwenye utoaji roho ni zaid hata ya zirail! Pia nimegundua media zetu ni za kishamba sana hasa zinazojiita za kichunguz! Zipo mstar wa mbele kuchunguza njaa na umbea wa kina nape ,zito nk lakin kuna binadam mmoja moses lijenje amepotezwa na kina kingai na wala hazitafuti habar zake even kwenda kuhoji familia yake kujua tu huyu mtu yupo wapi na tips za huyu mtu kuwa ametendwa zimetajwa na wenzie mahakamani. Nimegundua pia sisi pia humu ni maboya kwan tumebaki kulaan tu na kusikitika tumeshindwa hata kuanzisha hashtag ya #kingaibringbackourlcomandoijenje
 
Nimejifunza hatuna wakuu wa vyombo wanaona kesho ya Tanzania, waliopo wamelewa chama Tawala, wanawaza penahenina uteuzi, wanawaza namna yakufanya michongo familia zao zizidi kueemeka. Wanawaza fadhila maana walipewa hizo nafasi bila sifa hivyo wanaogopa kuzipoteza
 
Back
Top Bottom