Kesi ya Mbowe: Commando Mhina, Shahidi Mwaminifu na Rafiki wa Kweli

Kwa nini Mbowe alikua anamobilize makomando waliofukuzwa? Yaani wengi sio mmoja. Hapo naomba nijibiwe kwa ufasaha sitaki matusi
 
Umeandika nini sasa hapo? Huyo Komando uchwara ni unfit kwa wale wako jeshini watajua vizuri maana ya Unfit. Ndiyo maana alifukuzwa Jeshini na ndiyo maana tena akalengeshwa na Urio kwa Gaidi Mbowe.

Komando kweli kweli hafukuzwi Jeshini akifanya makosa ya nidhamu anafungwa huko huko Jeshini na ikibidi kama bado anazigua anapelekwa vitani akakione chamoto, nafikiri unajua ninaposema vitani!!

Makomando walikuwa wakina Tamimu hata ukamataji wao ulikuwa kimbembe siyo hao wanakamatwa Rau sokoni hahahahaha... hapo kuna shield kibao tena wanakamatwa na askari watatu tu mmmmmh. Hao ni unfit commandos!!

Madawa ya kulevya yalishawamaliza stamina pamoja na u⁷wezo wa akili zao za kufikiria ndio maana Urio akamwingiza mkenge Gaidi Mbowe.
Propaganda hizi zako hazina mashiko. Wewe endelea kushikishwa ukuta Lumumba. Kama vipi nenda mahakamani na wewe ukatoe ushahidi wako wa mchongo.
 
Una laana wewe si bure! Madaktari waliomtibu waliweka wazi ugonjwa uliomwua!! Siyo corona!! Usilazimishe mawazo yako ya kiibilisi!! Corona Haina nguvu kabisa Tz kwa sababu raid wa awamu ya Tano alimtanguliza Mungu katika vita dhidi ya corona na Mungu akasikia maombi yetu. Ndio maana uko hai Leo na corona unaisikia tu kwenye vyombo vya habari lakini kwenye jamii yetu haipo kabisa! Lakini Kama ukiamua kuishabikia itakuja kwako tu wakati watanzania wengine wakibaki salama!!.

Kwani hao madaktari unaosema, wao ni malaika? -- Nyakoro Sirro.
 
Umeandika nini sasa hapo? Huyo Komando uchwara ni unfit kwa wale wako jeshini watajua vizuri maana ya Unfit. Ndiyo maana alifukuzwa Jeshini na ndiyo maana tena akalengeshwa na Urio kwa Gaidi Mbowe.

Komando kweli kweli hafukuzwi Jeshini akifanya makosa ya nidhamu anafungwa huko huko Jeshini na ikibidi kama bado anazigua anapelekwa vitani akakione chamoto, nafikiri unajua ninaposema vitani!!

Makomando walikuwa wakina Tamimu hata ukamataji wao ulikuwa kimbembe siyo hao wanakamatwa Rau sokoni hahahahaha... hapo kuna shield kibao tena wanakamatwa na askari watatu tu mmmmmh. Hao ni unfit commandos!!

Madawa ya kulevya yalishawamaliza stamina pamoja na uwezo wa akili zao za kufikiria ndio maana Urio akamwingiza mkenge Gaidi Mbowe.
Check hili bwabwa utafikiri limepitia hata mafunzo ya JKT.
 
Kwa nini Mbowe alikua anamobilize makomando waliofukuzwa? Yaani wengi sio mmoja. Hapo naomba nijibiwe kwa ufasaha sitaki matusi

Kwani hao si watu? Zingatia. Au labda wewe ulitaka aku mobilize wewe au awa mobilize nani zaidi?

Au ungalipendelea achukue Green guards au active uvccm kabisa?

Kwa hiyo kuwa mobilise hao ndiyo hilo kosa linaloitwa ugaidi sasa?
 
Unaleta hoja nyepesi sana kwenye mambo mazito, mtu akusanye makomando waliofukuzwa halafu unaona lengo lake jepesi?!
 
Hukusikia baadhi yao ni wakulima wa mahindi baada ya kufikuhwa kwa kuathirika kazini?

Hata kama kuna kazi ya maana maana mahali kwenu ikawa nongwa.

Kwa hiyo taabu yenu ilikuwa husuda tu ya kwa nini Mbowe alindwe na makomando. Hiyo ndiyo ikawa kisa tukafikishana huku:

IMG_20211202_092804_863.jpg

Kwa kweli mu waovu kweri kweri kuliko shetani mwenyewe!
 
Umeandika nini sasa hapo? Huyo Komando uchwara ni unfit kwa wale wako jeshini watajua vizuri maana ya Unfit. Ndiyo maana alifukuzwa Jeshini na ndiyo maana tena akalengeshwa na Urio kwa Gaidi Mbowe.

Komando kweli kweli hafukuzwi Jeshini akifanya makosa ya nidhamu anafungwa huko huko Jeshini na ikibidi kama bado anazigua anapelekwa vitani akakione chamoto, nafikiri unajua ninaposema vitani!!

Makomando walikuwa wakina Tamimu hata ukamataji wao ulikuwa kimbembe siyo hao wanakamatwa Rau sokoni hahahahaha... hapo kuna shield kibao tena wanakamatwa na askari watatu tu mmmmmh. Hao ni unfit commandos!!

Madawa ya kulevya yalishawamaliza stamina pamoja na uwezo wa akili zao za kufikiria ndio maana Urio akamwingiza mkenge Gaidi Mbowe.
Una akili za kikum kabisa ww , Umewahi fanya hata mgambo wewe hata Kama umefsnya jeshi lolote hakuna ulilokuwa unafsnya zaidi ya kura shumbwela au ulikuwa unalivuna jesh kum na Moja mzur ww
 
Nimehuzunika zaidi nilipohisi hata wakati huu ninapokusoma hapa brazaj inawezekana wapo wengi wanaoteswa kwa namna hii uliyoandika hapa na hawana mtetezi.

Hawa makomandoo walikamatwa na kuteswa tangu mwaka jana, hivi kama sio Mbowe kuunganishwa nao baada ya kumkera yule bosi mwenye jinsia ya kike wangeendelea kuteswa mpaka lini?
Nchi hii ina watu wakatili na waovu ambao wako serikalini na kwenye vyombo vya dola ambao kwa uovu wao hata Ziraili hawafikii! May the Almighty burn them in Eternal Fire!
 
Mimi nawasifu makomandoo hawakukubali kuingia mkenge. Maana wangesema wajibu mapigo wangeuwawa halafu ingetangazwa ni magaidi.

Kwa hivyo kesi ya mbowe ingekuwa ngumu maana ingeonekana walikuwa na mpango muovu na kukata kukamatwa.

Kitendo Cha makomandoo kukubali kukamatwa na polisi bila kujibu mapigo, ni ushindi mkubwa na ishara ya kwamba hawakuwa na Nia mbaya.

Big up makomandoo mlicheza vizuri Sana ndio maana kesi imekuwa ngumu kwao mpaka wameomba msaada wa Jaji.
jibu hili limenifanya nifikirie sana👍

na nikiangalia kesi ya Kaka Hamza aliyedhulumiwa madini take akaliamsha wakamuua alafu wakampa kesi ya ugaidi wakati kumbe alikua anatetea haki yake.

Mimi huwa siamini hata wale tunaosikiaga ni majambazi waliouwawa wakiwa wanajibishana risasi na polisi
 
Umeandika nini sasa hapo? Huyo Komando uchwara ni unfit kwa wale wako jeshini watajua vizuri maana ya Unfit. Ndiyo maana alifukuzwa Jeshini na ndiyo maana tena akalengeshwa na Urio kwa Gaidi Mbowe.

Komando kweli kweli hafukuzwi Jeshini akifanya makosa ya nidhamu anafungwa huko huko Jeshini na ikibidi kama bado anazigua anapelekwa vitani akakione chamoto, nafikiri unajua ninaposema vitani!!

Makomando walikuwa wakina Tamimu hata ukamataji wao ulikuwa kimbembe siyo hao wanakamatwa Rau sokoni hahahahaha... hapo kuna shield kibao tena wanakamatwa na askari watatu tu mmmmmh. Hao ni unfit commandos!!

Madawa ya kulevya yalishawamaliza stamina pamoja na uwezo wa akili zao za kufikiria ndio maana Urio akamwingiza mkenge Gaidi Mbowe.
Akili za chawa wote zinafanana
 
Back
Top Bottom