bendaki
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 952
- 346
Ni vizuri siasa tukazijua. kila chama cha siasa siku zote hujua kuwa kinaweza kikahujumiwa mipango yake na mapandikizi ndani ya chama kwa kutoka upande mwingine. Kwa chama kwa wakati mwingine huwa ni vyema ukapenyeza maneno fulani na baadae ukae kuona kama yataweza kutoka nje ya chama na kufika upande mwingine. Hiyo ni intellejensia ndani ya chama. Upande wa pili unapozipata hizo leaks sio kuwa huangaika nazo hivyo bali na wao hutakiwa kuwa makini nazo ili wasije wakaji-expose. Hapa kama ndivyo ilivyo basi cdm wamekomaa wanafaa kupewa nchi.
Sina uhakika , lakini inawezekana Rwakatare amewachezea CCM uintellejinsia na amefaulu sana, maana sasa cdm wamewafahamu kuwepo kwa vipandikizi ndani cdm. CCM wameflop maana haitakuwa rahisi kwao tena kufanya upandikizi tena ndani ya mfumo wa cdm.
Unapoambiwa mwizi anapanga kukuibia unatakiwa uende usuburie ulipoambiwa kuwa ataenda kuiba ili umukamate Laivu walau fuatlia nyendo zake kwa kiwango fulani halafu ndio umukamate. kwa Rwakatare wamekwaa utupu tu.
Hizi namna za intellejinsia zilitumika sana kwa Marekani na Urusi enzi za vita baridi.