Inawezekana nauliza swali la kijinga. Kwani haiwezekani kumpata mtu ambaye aliiweka hiyo video clip kwenye mtandao? Maana naona vitu vyote kama kizunguzungu tu!
Inawezekana nauliza swali la kijinga. Kwani haiwezekani kumpata mtu ambaye aliiweka hiyo video clip kwenye mtandao? Maana naona vitu vyote kama kizunguzungu tu!
kwanza kuanzia viashiria vya blogu yake, hasahasa uchunguzi wa password au hapa JF kama wanavyotuchunguza sisi wateja wao kupitia password , na computer series number tunazotumia au mobile phone, kama usalama wanavyofanya kumsaka mtu wao.. si muda mrefu wanampata, Tanzania si rahisi ukajificha, kama unataka kujificha basi nunua Laptop, usifanye chochote, nunua moderm, connect internet, send takataka yako tu na dont do any busines on it, kisha choma na teketeza kabisa Laptop na modern yako na uhame eneo hilo, hapo may be itasumbua kidogo but nani athubutu kitu kama hiyo? ..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.