Kesi ya Lwakatare .. KWEISHA..!!

Kesi ya Lwakatare .. KWEISHA..!!

Wana Jf, ikumbukwe sakata la Mhe Lwakatare lilianzia Hapa JF Kwa kupostiwa mkanda uliobatizwa Kwa Jina la 'Njama Za Uhalifu' Na Kwa Kudra la Mola Vilevile Movie Yote iliyoanzia JF imehitimishwa rasmi hapa hapa JF.. Ni vema vyombo vya Usalama Na Ulinzi vilivyorukia hapa Na Kumkamata Rwakatare, viendelee kurukia humu humu JF Na kukamilisha kiulaini Kazi Yao.. Na sasa Muvi liekezwe Part B, Kwa Maana Kwenye Part A ya Muvi imethibitika Kwamba

1: Inshu yoote ni Mizengwe ya Kisiasa tu....

2: mkanda urirekodiwa katika mazungumzo ya Kifamilia, Ludovick aka Yuda iskariote Alimsaliti kaka yake, ndugu yake, hom-man, lwakatare Kwa vipande vichache sana vya shekeli vilivyotumwa Kwa m-pesa Tsh 50,000.. (elfu hamsini Tu). Kutoka Kwa Mwigulu mchemba ambaye amekiri pia.

3: msaliti huyo alilishwa maneno Na mazungumzo yalifanyika nyumbani (Kwa Lwakatare Na Ludovick Kwa Sababu Ludo alikuwa kijana Wa hapo home Hata Ndoa ya Ludo lwakatare ndiye aliye I-injinia)

4.Ludo akamkabidhi Kazi yote Mwigulu, mwigulu akawapa usalama, then Usalama wakaipost JF..

Kwa hiyo Kesi nzima ni ya Kijinga, hao wote waachiwe, Tunataka Part B ianze kumsaka mtesi wa Kibanda Na Mwigulu atasaidia sana serikali Kwa hili ..

Mkuu MKWELItu , ujue ume join leo hapa JF, kama unaleta masihara utakuwa hujatutendea haki wengi especially kwenye sikukuu ya Pasaka
 
Last edited by a moderator:
Nimeshangazwa na ujira aliolipwa Yuda kwa kumrekodi Lwakatare,
kama kwa kazi kubwa kama hiyo mtu analipwa elfu hamsini,je wakina Ritz wanalipwa kiasi gani kwa kupiga porojo humu?
 
Wana Jf, ikumbukwe sakata la Mhe Lwakatare lilianzia Hapa JF Kwa kupostiwa mkanda uliobatizwa Kwa Jina la 'Njama Za Uhalifu' Na Kwa Kudra la Mola Vilevile Movie Yote iliyoanzia JF imehitimishwa rasmi hapa hapa JF.. Ni vema vyombo vya Usalama Na Ulinzi vilivyorukia hapa Na Kumkamata Rwakatare, viendelee

kurukia humu humu JF Na kukamilisha kiulaini Kazi Yao.. Na sasa Muvi liekezwe Part B, Kwa Maana Kwenye Part A
ya Muvi imethibitika Kwamba

1: Inshu yoote ni Mizengwe ya Kisiasa tu....

2: mkanda urirekodiwa katika mazungumzo ya Kifamilia, Ludovick aka Yuda iskariote Alimsaliti kaka yake, ndugu yake, hom-man, lwakatare Kwa vipande vichache sana vya shekeli vilivyotumwa Kwa m-pesa Tsh 50,000.. (elfu hamsini Tu). Kutoka Kwa Mwigulu mchemba ambaye amekiri pia.

3: msaliti huyo alilishwa maneno Na mazungumzo yalifanyika nyumbani (Kwa Lwakatare Na Ludovick Kwa Sababu Ludo alikuwa kijana Wa hapo home Hata Ndoa ya Ludo lwakatare ndiye aliye I-injinia)

4.Ludo akamkabidhi Kazi yote Mwigulu, mwigulu akawapa usalama, then Usalama wakaipost JF..

Kwa hiyo Kesi nzima ni ya Kijinga, hao wote waachiwe, Tunataka Part B ianze kumsaka mtesi wa Kibanda Na Mwigulu atasaidia sana serikali Kwa hili ..

Kuna tetesi kwamba kuna kijana mmoja anaitwa Rashid Shamte ndiye aliyecheza hilo picha na taarifa ni kwamba kijana huyo anafanya kazi kampuni moja hapa DSM inayoitwa six telecom nawasilisha
 
Mkuu MKWELItu , ujue ume join leo hapa JF, kama unaleta masihara utakuwa hujatutendea haki wengi especially kwenye sikukuu ya Pasaka
SIO lazima kutumia akili zako Kama zimepungua, unaruhusiwa kuazima Hata kidogo Kwa jirani, I'd mpya kweli ila Member ni kigaga, kisima hasa kisichobishaniwa..
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana sisi Iramba Magharibi chaguo letu ni Mwigulu watasema lakini huyo ndio shujaa wetu.Ukiona kiongozi anapendwa na wapinzani wake basi kuna mahali anakosea....hata Marehemu Chavez ni kipenzi cha wananchi wake lakini wapinzani wake hawakutaka hata kumsikia. Kwa hili la Lwax wanajikoroga sana kila mtu husema chake ukweli wanaujua.Tusubiri mahakama.
Sijawai ona mtu anajipa raha mwenyewe... Raha upewa mkuu, njoo na ID yako kabisa ujibu hiviiiiii, pole sanaa muda utafika tuuu katika mungu mmoja.
 
Mwigulu ni zaidi ya shetani! Huwezi kumsingizia mtu kitu kikubwa hivyo kwa malengo ya kisiasa. Je kama ungekuwa kiongozi wa nchi si ungekuwa unaua wote wanaokupinga? Jaribu kumuwazia Lwakatare kama mwanadamu, jaribu kuwawazia wazazi wake wanavyojisikia mtoto wao kuwa kwenye mateso hayo. Jaribu kumfikiria mke na watoto wake. Hebu jiweke wewe nafasi ya Lwakatare na ujipime. Mwigulu, wewe ni Mkristo kweli? Huwa unaenda kanisani? Huwa unakwenda kufanya nini sasa! Kuna andiko linalosema, kabla hujatoa sadaka yako, nenda kwanza kapatane na nduguyo, unalijua? "Ole wao wale watakao watuhumu na kuwahukumu...."
Je Unajua kwamba imeandikwa kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti? Tubu dhambi zako na kayaondoe mashtaka anayoshtakiwa Lwakatare ambayo unajua si ya haki kwa kueleza ukweli, na Mungu atakusamehe.


ahaha mzee kweli mmeshikwa kend* , nafikiri la maana hapo ni cdm kujutia ugaidi wao basi na si vinginevyo ahahah, nendeni public mu apology wananchi tuwasamehe muanze upya hamna ujanja ktk hili
 
Swali ni feki au orijinol?kuna watu wamekufa na wengine wamepoteza viungo vyao,Wa TZ wanatakakujua.longolongo hatutaki.
 
Mwigulu ni zaidi ya shetani! Huwezi kumsingizia mtu kitu kikubwa hivyo kwa malengo ya kisiasa. Je kama ungekuwa kiongozi wa nchi si ungekuwa unaua wote wanaokupinga? Jaribu kumuwazia Lwakatare kama mwanadamu, jaribu kuwawazia wazazi wake wanavyojisikia mtoto wao kuwa kwenye mateso hayo. Jaribu kumfikiria mke na watoto wake. Hebu jiweke wewe nafasi ya Lwakatare na ujipime. Mwigulu, wewe ni Mkristo kweli? Huwa unaenda kanisani? Huwa unakwenda kufanya nini sasa! Kuna andiko linalosema, kabla hujatoa sadaka yako, nenda kwanza kapatane na nduguyo, unalijua? "Ole wao wale watakao watuhumu na kuwahukumu...."Je Unajua kwamba imeandikwa kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti? Tubu dhambi zako na kayaondoe mashtaka anayoshtakiwa Lwakatare ambayo unajua si ya haki kwa kueleza ukweli, na Mungu atakusamehe.
Mfumo mzima umejaa watu kama Mwigulu ebu fikiria hukumu ya Nguza Viking (Babu Seya) na Wanae hapo utajua Serikali yetu ni ya namna gani yaani viongozi wetu na vyombo vyote vya Usalama pamoja na Mahakama.
 
ahaha mzee kweli mmeshikwa kend* , nafikiri la maana hapo ni cdm kujutia ugaidi wao basi na si vinginevyo ahahah, nendeni public mu apology wananchi tuwasamehe muanze upya hamna ujanja ktk hili

Kuandika/Kuongea bila kutafakari na kutokuwa na uhakika na ulichokiandika/Ongea hakuna tofauti na mtu anaye amka asubuhi na kusahau kuvaa nguo na kutoka hivi hivi na kwa muonekano huo jamii itajua huyo mtu ni kichaa.
 
Swali ni feki au orijinol?kuna watu wamekufa na wengine wamepoteza viungo vyao,Wa TZ wanatakakujua.longolongo hatutaki.
 
Wewe ni UTAIFAKWANZA ama MGULU mwenyewe,mbona kauli mbiu za MWIGULU NDO JINA LAKO?Wenzio tulishakufa kwa takwimu za Kiwango cha Maisha cha mtanzania(life expectancy):hatuna hasara,hatuogopi kesi wala kifungo!wewe kama mwoga shauri lako wakati wa ukombozi utahamia Zimbabwe,kama ZANU PF rafiki zenu wakiwa madarakani,vinginevyo tubu-vua gamba dogo awamu ya nne iko kwenye kilele!Hata CCM makini hawakuhitaji dogo wewe ni article of no commercial value
 
hakuna linalokosa mwisho kama unabisha muulize maximo
 
Bora nawe umestukia hizo ID mbili.

Wewe ni UTAIFAKWANZA ama MGULU mwenyewe,mbona kauli mbiu za MWIGULU NDO JINA LAKO?Wenzio tulishakufa kwa takwimu za Kiwango cha Maisha cha mtanzania(life expectancy):hatuna hasara,hatuogopi kesi wala kifungo!wewe kama mwoga shauri lako wakati wa ukombozi utahamia Zimbabwe,kama ZANU PF rafiki zenu wakiwa madarakani,vinginevyo tubu-vua gamba dogo awamu ya nne iko kwenye kilele!Hata CCM makini hawakuhitaji dogo wewe ni article of no commercial value
 
Mchumi first class,anadhalilisha taaluma sana aisee.
 
Kumbuka Dr. Slaa alisema hadharani kuwa ule mkanda umetengenezwa na watu na ni fake kwa kuwa Lwax hajawahi kupigwa hiyo picha ya video. Leo taarifa ni tofauti!!!

By the way, umeona majibu ya Lwax na Ludo wakati wanahojiwa na polisi?

huna akili timamu mbona ukakubali kuwa yalikuwa ni mazungumzo ya rwakatale na ludo.then ita ni mazungumzo ya kifamilia huku mkanda unaonesha mipango ya mauaji.utakuwa umesaidia polic kwa maelezo yako

Mwigulu ni shujaa na ni mzalendo kwani amesaidia kukomesha ugaidi hapa nchini

ndio mana tunasema nyie ni magaidi, yaani unapendekeza mtu atekwe na kuteswa?

wewe ni gaidi, ngoja dola ikufuate hapo kwenye keybody ukaunganishwe na mgaidi wenzako kwenye kesi

cdm ni kitengo cha magaidi tuu .tutawashughulikia nyote

Mabandiko kama haya yangekuwa yanasaidia kumfikishia mkurugenzi wa idara ya usalama ya CDM insulin huko Segedance ingekuwa poa sana lakini bahati mbaya mwenzenu bado anapigania uhai wake kwa kukosa insulin tu na ninyi mmekazana kupost ujinga tu..shame on you kuuwa na kutesa mfanye wote kisha mnamtosa mwenzenu


Tafuta CD ya SHEHE ILUNGA halafu sikiliza alisema uweke nini mahali penye neno gaidi au magaidi!!!...

Halafu eleza wapi shehe ILUNGA kajificha!!! Kwa nini yeye hakamatwi?!!!!

Atajitokeza lini? Ataridhika viongozi wangapi wa kikristo wakiuawa?!!!
 
Vuta subura. By the way, umeona majibu ya Lwax na Ludo wakati wanahojiwa na polisi?

Mwigulu ni shujaa na ni mzalendo kwani amesaidia kukomesha ugaidi hapa nchini

ndio mana tunasema nyie ni magaidi, yaani unapendekeza mtu atekwe na kuteswa?

wewe ni gaidi, ngoja dola ikufuate hapo kwenye keybody ukaunganishwe na mgaidi wenzako kwenye kesi

cdm ni kitengo cha magaidi tuu .tutawashughulikia nyote

..shame on you kuuwa na kutesa mfanye wote kisha mnamtosa mwenzenu

ahaha mzee kweli mmeshikwa kend* , nafikiri la maana hapo ni cdm kujutia ugaidi wao basi na si vinginevyo ahahah, nendeni public mu apology wananchi tuwasamehe muanze upya hamna ujanja ktk hili


Ulizeni kwanini viongozi wa Zanzibar walipiga kelele walipoambiwa na waziri wa mambo ya ndani kuwa magaidi wamemuua padre kwa risasi!!!...

Rejea maneno ya shehe ILUNGA penye neno gaidi weka nani vile?!!!.. Halafu jiulize kwa nini shehe ILUNGA HAKAMATWI maana yeye ndiye aliyeagiza watu wa imani yake waue wakristo na kweli ndani ya miezi 6 mapadre wawili walipigwa risasi!!!..

Najiuliza kuna nini humu JF, Mbona wafuasi na mashabiki woote wa mwigulu nchemba pia ndiyo watetezi wa maovu ya USTAADHI ILUNGA?!!!!!

Swali jingine tena Mbona wote wanapinga kila anayeikosoa serikali?!!! Mbona hoja zao zimeegemea dini ya wakubwa?!!!

Hivi baada ya 2015 tutaendelea kuwaona wanaunga mkono chama cha MWIGULU?!!!
 
mwigulu ni hatari sana nakama ccm itabaki madarakani miaka ijayo wengi macho na kucha zetu ziko mashakani lakini sijui tutandaliwa video ngapi?:smile-big:
 
Back
Top Bottom