Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,053
- 74,787
Mpesa imedhibitisha kwamba Mwigulu Mchemba ametoa 50,000/ kwenda kwa Ludovic. Tehe tehe.
Ukisikia mission ime backfire ndio hii! Mwigulu hapo umeaibika kabisaaaa,kiongozi mzima unagawa fedha ili kuandaa mipango ya kuchafuana na kusababishia watu mateso? Nimeamini wewe una roho ya uuaji kabisa. Hii ni aibu sana,nani atakuamini tena kama pamoja na vyeo ulivyonavyo unathubutu kufanya mambo ya kitoto au kishamba (kama alivyoyaita Lissu) namna hiyo?
Habari ya kuhonga mtu ili atengeneze mpango mchafu lazima ifikishwe kule Iramba ili wamjue Mbunge wao anafanya nini, na wamjadili kama siyo yeye aliyepanga kumuua yule Kada wa CCM ili watu wengine waonekane hawafai yeye wamuonee huruma? Hata yule wa Igunga wa tindikali anayetembea naye naanza kupata fikra kuwa Mwigulu anahusika kumwagia tindikali kwa ajili ya manufaa yake kisiasa.