Kesi ya Lwakatare .. KWEISHA..!!

Kesi ya Lwakatare .. KWEISHA..!!

Mwigulu ni zaidi ya shetani! Huwezi kumsingizia mtu kitu kikubwa hivyo kwa malengo ya kisiasa. Je kama ungekuwa kiongozi wa nchi si ungekuwa unaua wote wanaokupinga? Jaribu kumuwazia Lwakatare kama mwanadamu, jaribu kuwawazia wazazi wake wanavyojisikia mtoto wao kuwa kwenye mateso hayo. Jaribu kumfikiria mke na watoto wake. Hebu jiweke wewe nafasi ya Lwakatare na ujipime. Mwigulu, wewe ni Mkristo kweli? Huwa unaenda kanisani? Huwa unakwenda kufanya nini sasa! Kuna andiko linalosema, kabla hujatoa sadaka yako, nenda kwanza kapatane na nduguyo, unalijua? "Ole wao wale watakao watuhumu na kuwahukumu...."
Je Unajua kwamba imeandikwa kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti? Tubu dhambi zako na kayaondoe mashtaka anayoshtakiwa Lwakatare ambayo unajua si ya haki kwa kueleza ukweli, na Mungu atakusamehe.

Kidumu chama cha Mapinduzi,
Zidumu fikira sahihi za mwenyekiti wetu wa chama cha mapinduzi.
Adumu milele Ng'wigulu Nchemba na harakati zake
Time will tell 2015 is very near
2015 is just around the corner
Peopleooooooooooooosssssssssss Poweraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

ludo umetuzalilisha vijana yan 50 imekutoa iman dah!!!
 
Jambo lililo mahakamani haliwezi kuishia JF. Vuta subura.

Kumbuka Dr. Slaa alisema hadharani kuwa ule mkanda umetengenezwa na watu na ni fake kwa kuwa Lwax hajawahi kupigwa hiyo picha ya video. Leo taarifa ni tofauti!!!

By the way, umeona majibu ya Lwax na Ludo wakati wanahojiwa na polisi?

Wewe mara kadhaa nimekusihi uache ushabiki lakini naona unakichwa cha kuku..eti lipo mahakamani..!haya bana.
 
Hii movie imechuja,watuletee part 2...Nimejiuliza sana,ikawaje mtu apate taarifa kama hiyo kisha abaki kumrekodi mtu bila kuita polisi? Kwa nini Mwigulu akae na video nyumbani tangu desemba hadi pale lilipotokea suala la kutekwa kwa Kibanda? Mbona kuna ukimya sana kwa viongozi wa serikali kuhusu suala hili?
 
Mwigulu(Mulugo Jr ) aka Mchumi Daraja la kwanza kuanzia mwisho anahusikia na utesaji,shambulio la kudhuru mwili wa kibanda,Inatakiwa akamatwe huyo.
 
Kwani liko wapi?

Jambo kuwa mahakamani haliondoi haki ya kujadiliwa na jamii,ni katika tawala za kiimla pekee huzuiwa haya mambo,hili litajadiliwa hata ninyi magamba mfanyeje.pole kwa ukasuku.
 
Mwigulu ni zaidi ya shetani! Huwezi kumsingizia mtu kitu kikubwa hivyo kwa malengo ya kisiasa. Je kama ungekuwa kiongozi wa nchi si ungekuwa unaua wote wanaokupinga? Jaribu kumuwazia Lwakatare kama mwanadamu, jaribu kuwawazia wazazi wake wanavyojisikia mtoto wao kuwa kwenye mateso hayo. Jaribu kumfikiria mke na watoto wake. Hebu jiweke wewe nafasi ya Lwakatare na ujipime. Mwigulu, wewe ni Mkristo kweli? Huwa unaenda kanisani? Huwa unakwenda kufanya nini sasa! Kuna andiko linalosema, kabla hujatoa sadaka yako, nenda kwanza kapatane na nduguyo, unalijua? "Ole wao wale watakao watuhumu na kuwahukumu...."Je Unajua kwamba imeandikwa kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti? Tubu dhambi zako na kayaondoe mashtaka anayoshtakiwa Lwakatare ambayo unajua si ya haki kwa kueleza ukweli, na Mungu atakusamehe.
.Akisoma hapa if Realy he do have heart lazima alie, but Kama ana Moyo wa mnyama asilani..
 
Jambo kuwa mahakamani haliondoi haki ya kujadiliwa na jamii,ni katika tawala za kiimla pekee huzuiwa haya mambo,hili litajadiliwa hata ninyi magamba mfanyeje.pole kwa ukasuku.

Kwani nani kakwambia usijadili?
 
wewe ni gaidi, ngoja dola ikufuate hapo kwenye keybody ukaunganishwe na mgaidi wenzako kwenye kesi

mods na wanabodi, giving Kwa uchangiaji huu haitoshi kutoa ban???!!

Hakika Tijuana hata kama unatumika kama tatu bomba punguza kupayuka!!!!
 
Naona Kama walikuwa na uwezo wa kumkamata na kumpiga huyo Msacky kwanini wamshidwe Nchemba. Huyu Mwigulu anatafuta umaarufu kwa njia hatarishi. Na hali ilivyo sasa hata Mwigulu akiumwa na nyoka huko kwao lazima watakuwa wametumwa na CDM
rushanju
Leo ni siku ya pasaka kama wewe ni mkristo tafakali ni kwa nini Yesu alisurubiwa msalabani. Dunia hii ina watu wabaya sana kupindukia. Ni bahati mbaya sana kwa nchi masikini kama tz ktk karne ya 21 kuongozwa na watu wenye mtazamo finyu ambao uogopa mawazo mbadala kama Mwigulu! Watu wanaofikiri kuwa propaganda za kupakazia mambo hatari kama ya lwakatare yatakipa umaarufu chama tawala wanapoteza muda na kuwaumiza watz na raia wenzao bure! Ni dhambi kubwa sana. Watz wa leo hawahitaji maneno matupu, kupakazia chama shindani ili upendwe, watz wanahitaji huduma lkn vile vile watz wanahitaji mabadiliko.
 
Last edited by a moderator:
Mwigulu ni shujaa na ni mzalendo kwani amesaidia kukomesha ugaidi hapa nchini
Yaani wewe ungekuwa karibu yangu ningekunyofoa hiyo mijicho yako isiyoona. Naona niishie hapa nisije chafua Pasaka yangu kwaajili ya huu ujinga wako hapa. Mwigulu Mzalendo!!?? au ulikuwa unamaanisha kile kigazeti chenu cha kufungia maandazi siku za jumapili?
 
Mwigulu ni zaidi ya shetani! Huwezi kumsingizia mtu kitu kikubwa hivyo kwa malengo ya kisiasa. Je kama ungekuwa kiongozi wa nchi si ungekuwa unaua wote wanaokupinga? Jaribu kumuwazia Lwakatare kama mwanadamu, jaribu kuwawazia wazazi wake wanavyojisikia mtoto wao kuwa kwenye mateso hayo. Jaribu kumfikiria mke na watoto wake. Hebu jiweke wewe nafasi ya Lwakatare na ujipime. Mwigulu, wewe ni Mkristo kweli? Huwa unaenda kanisani? Huwa unakwenda kufanya nini sasa! Kuna andiko linalosema, kabla hujatoa sadaka yako, nenda kwanza kapatane na nduguyo, unalijua? "Ole wao wale watakao watuhumu na kuwahukumu...."
Je Unajua kwamba imeandikwa kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti? Tubu dhambi zako na kayaondoe mashtaka anayoshtakiwa Lwakatare ambayo unajua si ya haki kwa kueleza ukweli, na Mungu atakusamehe.
jamaa anajiita mzlalendo wakati amejificha katikati ya ngenge la wanyakanyi ngenge linalotaka kukandamiza demokrasia na kuua upinzani, ngenge linalojiona litatawala nchi hii milele.
 
Mwigulu ni shujaa na ni mzalendo kwani amesaidia kukomesha ugaidi hapa nchini

Ndio maana sisi Iramba Magharibi chaguo letu ni Mwigulu watasema lakini huyo ndio shujaa wetu.Ukiona kiongozi anapendwa na wapinzani wake basi kuna mahali anakosea....hata Marehemu Chavez ni kipenzi cha wananchi wake lakini wapinzani wake hawakutaka hata kumsikia. Kwa hili la Lwax wanajikoroga sana kila mtu husema chake ukweli wanaujua.Tusubiri mahakama.
 
Mwigulu ni zaidi ya shetani! Huwezi kumsingizia mtu kitu kikubwa hivyo kwa malengo ya kisiasa. Je kama ungekuwa kiongozi wa nchi si ungekuwa unaua wote wanaokupinga? Jaribu kumuwazia Lwakatare kama mwanadamu, jaribu kuwawazia wazazi wake wanavyojisikia mtoto wao kuwa kwenye mateso hayo. Jaribu kumfikiria mke na watoto wake. Hebu jiweke wewe nafasi ya Lwakatare na ujipime. Mwigulu, wewe ni Mkristo kweli? Huwa unaenda kanisani? Huwa unakwenda kufanya nini sasa! Kuna andiko linalosema, kabla hujatoa sadaka yako, nenda kwanza kapatane na nduguyo, unalijua? "Ole wao wale watakao watuhumu na kuwahukumu...."
Je Unajua kwamba imeandikwa kwamba Mshahara wa dhambi ni mauti? Tubu dhambi zako na kayaondoe mashtaka anayoshtakiwa Lwakatare ambayo unajua si ya haki kwa kueleza ukweli, na Mungu atakusamehe.

Mkuu, naona umeamua kumhukumu Mwigulu fasta fasta.
 
utaifakwanza, wewe ndiyo yule unavaaga shingoni ile bendera ya lile taifa tajiri sana duniani?
 
Mpesa imedhibitisha kwamba Mwigulu Mchemba ametoa 50,000/ kwenda kwa Ludovic. Tehe tehe.
Ukisikia mission ime backfire ndio hii! Mwigulu hapo umeaibika kabisaaaa,kiongozi mzima unagawa fedha ili kuandaa mipango ya kuchafuana na kusababishia watu mateso? Nimeamini wewe una roho ya uuaji kabisa. Hii ni aibu sana,nani atakuamini tena kama pamoja na vyeo ulivyonavyo unathubutu kufanya mambo ya kitoto au kishamba (kama alivyoyaita Lissu) namna hiyo?
Habari ya kuhonga mtu ili atengeneze mpango mchafu lazima ifikishwe kule Iramba ili wamjue Mbunge wao anafanya nini, na wamjadili kama siyo yeye aliyepanga kumuua yule Kada wa CCM ili watu wengine waonekane hawafai yeye wamuonee huruma? Hata yule wa Igunga wa tindikali anayetembea naye naanza kupata fikra kuwa Mwigulu anahusika kumwagia tindikali kwa ajili ya manufaa yake kisiasa.
 
ukiona mateso yamezid ujue ushindi umekaribia....! Chadema mwendo mdundo wakat wnywe {ccm} wanaanda propaganda za kuimaliza chadema chama makin, sisi {cdm} tunawaanda wananch kuupokea uhuru wa kwel mwaka 2015 uhuru utakao leta haki na usawa kwenye taifa letu, uhuru utakao ondoa umaskin, maradh na ujinga ambao serikal ya ccm imeshndwa kufanya hvyo kwa takriban miaka 51.
unaidanganya nafsi yako itakusuta
 
Back
Top Bottom