master peace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 1,450
- 444
Mwigulu ni shujaa na ni mzalendo kwani amesaidia kukomesha ugaidi hapa nchini
Mkuu naona unajitahidi kutafuta posho ya PASAKA kwa hali na mali; Pole sana hayo ndo matunda ya kukimbia umande, hivyo kaa mkao wa kula utumiwe vizuri kwa ajili ya njaa zako.
Kumbuka mwanaume ukikubali kutumiwa kifikra kuna kila dalili unaweza kuwa unatumiwa KIMWILI. Hiyo ndo habari ya mjini njombaa.