Kesi ya kupinga matokeo ya Godless Lema

Kesi ya kupinga matokeo ya Godless Lema

Lema kaanza ujambazi siku nyingi sana kabla hata zombe kusema!

Kuna wizi wa magari ulifanyika Mwanza mwaka 1998 Lema alikuwemo, wakati huwo Lema anakaa Mwanza, hiyo kesi yake ilimalizwa na mjomba wake wa Mwanza ambae Lema alikuwa anakaa kwake!

Baade tena Lema akamuibia huyo mjomba wake, mjomba akamfukuza Mwanza, ndio akakambilia Arusha kuanzisha Kanisa
alimuibia mmeo? Mwambie aende polisi kesi iende mahakamani.
Blah blah tuuu! Wanywa gahawa wa kariakoo utawajua tu!

Uwezo Tunao.

Usidandie treni mbele tutakusahau bure.

Ngongo, mtu akikuangalia kupitia michango yako hapa ubaoni kidooogo anatambua kwamba wewe ni Mwana-JF mmoja mwenye aakili nyingi sana tu lakini akikusogelea kwa karibu kidogo anagundua kapicha kaajabu kidogo; kwamba ugonjwa wako weye ni kawoga tu ambayo siku zote ni mtaji mkubwa kwa CCM kupat watu wa aina hiyo.

Ni vema ukagundua kwamba vita ni mbeele kwa mbele mpaka kieleweke kama kuna yeyote mwenye uwezo wa kuua fikr za maageuzi na basi akajitokeze hadharani wenzake tukamhesabu. Be your man in this youth revolution in Tanzania and always.

Lema pamoja na mapungufu unayoyaona kwake kama binadamu yeyote (lakini si extreme kama madhaifu ya wengine yanaendelea kujadiliwa hapa JF hivi sasa) ndiye sura halisi ya Mapambano ya Vijana kulet Mageuzi ya kweli nchini.

Na hiyo ndio maana serikali inaendelea kumuongezea umaarufu wa hiari kwa kumuandama sana kilaa kukicha. Karibu ukaunge mkono mageuzi bila kuoneka hizo LUKUMBA LUKUMBA zako katika shredisi mbali mbali hapa jukwaani au ukawa kimoja na akina FF, Kishongo, na yule Mwita fotokopi (si Maranya) na ukaeleweka kimoja.

Ile kesi ya kupinga matokea ya ubunge wa Arusha mjini iliyofunguliwa na Musa mkangaa na wenzake

Huyu Jamaa alikuwa diwani kwa tiketi ya ccm akatimuliwa kwa ufisadi wa kuuza kiwanja cha wazi pale sokoni kilombero. Kutimuliwa kwake ndio kulimwingiza madarakani mawazo kwa tiketi ya tlp kabla ya kuamua kurudi ccm. Sasa ameamua kujikomba tena kwa magamba ili wamrudishe au? Yeye mwenyewe anatakiwa afunguliwe mashtaka ya ufisadi akaozee kisongo!

Kati yangu mimi na wewe nani mtumwa wa Lema ebu pekua kamusi yako tafuta maana ya neno mtumwa labda unazungumza jambo usilojua.
Nimepekua kamusi nimekuta mtumwa wa akili ni mtu ambaye yuko obsessed na kitu fulani nikakufananisha wewe ulivyo obsessed na ubunge wa Lema.

Sisiemu si wanazo hela, wamnunue jaji na wajitangazie ushindi waone mtiti wake..

Duuuuuh huu UCDM na UCCC utatuua, lakini tuache uongo hayo madai kwa nini wasiyafungue kipindi kile ambacho walishindwa? Hapa kwa kutumia akili ya kawaida ni lazima kutakuwa na zengwe! Any way najua siasa ni badi dirty game sioni ajabu kwa yote hayo. Lakini yote haya yanapofanyika ni lazima serikali iliyopo madarakani ifanye jitihada kusolve problems matatizo ya wananchi ikiwemo kero ya umeme, sukari n.k badala ya kubaki kupiga domo kaya na mizengwe mingi kuua upinzani.

Mijitu ya Ungalimited mtaa wa jambazi utaijua tu.
majibu ya wanaotoka mitaa ya mashoga utawajua tu..

Sijui kwanini kuna watu hawana kasumba ya kukubali matokeo.
Uchaguzi umeisha na sasa ni wakati wa kufanya kazi.
mtu unapitwa kura 18736 na bado wapinga matokeo...huwezi kuwa na akili timamu.

Sasa fuatilia mahakamani ili uweze kujua sababu za watu kwa nini wanapinga matokeo, ili usiendelee kutojua sababu.

Hivi wewe Crashwise! Kazi unafanya saa ngapi kila siku unashinda vijiweni pale maeneo ya Sakina, ukitoka hapo unakwenda vijiwe vingine vya Unga Limeted, ukisikia kesi za CDM unakimbila mahakamani kuripoti humu JF, tafuta kazi kijana maisha ya kama kwale sio mazuri.
Jaribu kuongea na Dr Slaa, upate kibarua hata cha utingo kwenye zile Fuso za CDM, msingi wa maisha ni kufanya kazi kwa bidii tu hakuna ujanja ujanja

tumia akiri mkuu sana anaishi vipi?
au kazi wewe ni kuvaa tai na kwenye ofosini?
vipi kama ni mtu wa UWT na hapo unapoona hayupo kazi anakuwa kazini

Lema kaanza ujambazi siku nyingi sana kabla hata zombe kusema!

Kuna wizi wa magari ulifanyika Mwanza mwaka 1998 Lema alikuwemo, wakati huwo Lema anakaa Mwanza, hiyo kesi yake ilimalizwa na mjomba wake wa Mwanza ambae Lema alikuwa anakaa kwake!

Baade tena Lema akamuibia huyo mjomba wake, mjomba akamfukuza Mwanza, ndio akakambilia Arusha kuanzisha Kanisa
mjomba wake aliimalizaje hiyo kesi, unaimanisha baada ya kuwa mwizi akafungua kanisa....?linaitwa je hilo kanisa?

Wana JF,

Kuna jambo mmoja tu lilikuwa very simple nataka mnijuze Lema alipata na Kura ngapi na Bhuriani alipata kura ngapi? Je Buriani na Lema waliafikiana na waka saini zile document za NEC kuhusu matokeo yao?? na Je walisoma upepo wa alama za nyakati wakati kabla na baada ya uchaguzi?

Hapo tu ndipo chanzo cha kujadili hoja sioni haja ya sisi kurumbana saaaana huku matokeo yapo.

Na waswalika Mahakama Kuu Hivi mahakama mnapo letewa Kesi huwa kwanza kazi yenu nini just kuchukua case na kuipresent au mnaifanyia utafiti kwanza kuwa hii kesi tokana na matokea haya inapaswa kuitizama upya au? Nadhani mahaka huwa uhamuru kitu kama kina utata zaidi lakini kama cha hapo arusha mtu kashindwa kwa range kubwa kweli mahakama nayo inapoteza muda wa kujadili jambo kwa kulitizama pia kwa alama za nyakati tu unajua hapo kuan ushindi wa wazi .

Wananchi wa Jimbo la Arusha tunavyovyo waelewa huko ndiko Upinzani mkuu na ngome kuu ya CDM iliko sasa sielewi ni nini CCM wanakitaka wazi walisha liona hilo hawataki kukili wao CCM nUVCCM tulivyo jua walikanganyana kwenye kura za maoni sasa CCM mlitegemea mngeshinda kweli?? Kura za Maoni CCM ndio kilipo tokea baraaa la kupoteza majimbo mengi na watu kuwachoka kwani walikuwa wana wasomea ramani.

CCCM kama mumeamua kuwa komoa watu wa Arusha mseme tu na mliweke wazi kuwa hiyo ngome ya Arusha ni nzito hamuiwezi na mbaya zaidi tukiona kwenye matukio hata mkitumia nguvu ya dola still hamuwawezi CDM sasa mwataka nini si mkubali yaishe tuu madiwani mkajikuta viongozi wa CCM mwaipindisha sheria ya Uchaguzi kama diwani ulisha fukuzwa na chama chako huna tena mamlaka ya uongozi sasa Mkuchika akaingia kama yeye ndie anae ijua sheraia na sheria ikamsuta kuwa yeye ni mwongo.

My Take;

CCM wanalipotosha Taifa kwa kuwarubuni wananchi, na wananchi wameisha jua nini maana ya vyama vingi na nini maana ya kura na mwamko ni mkubwa sasa wao hawajiulizi Mwanza Nyamagana/Ilemela ngome nzito hizo zime hamia CDM plus Arusha still mwa taka kuwavuruga watu wa Arusha kuna nani hapo arusha au kwakuwa ni Makao makuu ya EAC???? iko wazi hilo na ni fundisho kwa viongozi wengine kama wakina Museveni Kagame, kuwa kama wananchi wamechoka basi wamechoka yanini muwatishie Dola ????

NB:
Mahakama ituambie imegundua nini katika hiyo Case cha kuwa fanya wao hasa waendelee kuiweka mtazamo wangu na ni kuwa mahakama isipo jihadhari na hili italeta maafa nchini, na itakuwa ya kwanza kupingwa kwa kuwa na kigugumizi kwenye maamuzi ya hizo kesi.

Ngongo,sijajibu umbeya wako wa kupotosha umma,kuwa nilidalalia hadi sherehe,na pengine hata wewe ulikula vya bure,sijibu kwani huwa sina tabia ya kudiscuss umbeya kama wewe,hoja hapa ni kesi ya Lema wewe kwa upumbavu wako unakuja na umbeya wa sherehe...

A question of a carpetbagger has almost wiped out Dr. Batilda’s chances of snapping the Arusha Municipal constituency. Eligible voters are questioning her residential status following being married to a Zanzibari DPP: Voters oppugn whether she is an Arusha or an Ungujan? Though she admits that she is married to a Zanzibari but she vows her Arusha roots remain irreproachable and she quips that since her husband has added a second wife, she will divorce him, if she sails through and bags this populous constituency. Whether it was a campaign ploy to garner votes, time will tell how successful she was in swaying public opinion with this banter.

To her detractors, they would have none of that as they circulate information belittling her: She is a cold calculating material girl who will do anything to secure her parochial delusions.

One woman, I accosted to, gloated that Dr. Batilda will lose this election big time because women of Arusha will not permit her to jettison her marriage for a political career. She pleaded that “Marriage is a lifetime commitment not to be taken lightly as Dr. Batilda was trying to do.” She also blurted that “political career is temporary venture which should not be parlayed to demean an institution of marriage.” Others feel that being in an Islamic marriage Dr. Batilda ought to have contemplated that a polygynous marriage and her concomitant cry for rescue were totally misplaced. Some of those who will not vote for her consider themselves doing her a huge favour of shielding her marriage from being irreparably broken by her insatiable political ambitions!

But those who support Dr. Batilda candidacy review the same election dilemmas and reach a conclusion that she loves her constituency so much that she is willing to abandon a blossoming marriage in order to re-dedicate herself to her people!

Another issue that has morphed to be a hot button campaign issue is her employment excursion with KKKT. After successfully completing her undergraduate studies at University of Dar-Es-Salaam in 1988, Dr. Batilda joined KKKT where after a short stint she was privileged to secure a missionary scholarship to pursue further studies leading to a doctorate. After obtaining her doctorate, she returned to KKKT but left in a huff for a greener pasture to an international NGO in Dar. Right there, her critics believe that her mien sums up a composure of someone who uses and dumps others to sate her myopic escapades! This damaging brickbat of a ruthless, calculating materialistic girl appears to have stubbornly stuck with her despite her former boss at KKKT Bishop Laizer stepping forward to her defense. According to Bishop Laizer, KKKT parted ways with Dr. Batilda on mutual consent following her new flamboyant qualifications jostling for a significant much higher pay than the Diocese could afford. But even there, a whiff of opportunism is conspicuously undisguised: Having been trained by KKKT, at least she could have worked for the Arusha Diocese for five years to repay their compassion rather than assailing corporate obligations in order to advance a burning personal ambition.

In one of her “meet the voters” familiarization tours, one male voter wanted to know whether Arusha men were not “man enough” for her foisting her to hurtle all the way to Unguja to pick someone who was materially well off, say to speak. Her riposte has left many unanswered questions, though. Dr. Batilda retorted that she had always fancied for an Arusha “hunk of a man” but after decades of patiently stalling for that ‘marital calling’ she came to a bitter realization no one here in Arusha seemed interested in her. Whether that is a campaign ploy or a true revelation of her predicament only voters can decide.

As days tick off to D-Day, time has been unkind to Dr. Batilda and if she loses this election it will be her first time to test political defeat. For someone who has been junketing in the House for a decade with nothing to show off it may be “poetic justice” to Arusha residents reminding all leaders that public service demands diligently serving the people but not succumbing to “wanamtandao” machinations who are positioning themselves to triumph CCM succession politics of 2015.

Many fancy an election loss to Dr. Batilda will be too devastating to her locking her permanently out of ministerial sinecures in the cabinet….Well, who said politics is not a dirt game?

crashwise heshima mkuu, vipi kesi haiendelei leo.

Jathro naunga mkono hoja,iweje tangu matokeo yametolewa na batilda alishindwa vibaya sana kwa kura zaidi ya 18,000 leo hii eti kesi mahakamani? kweli ccm wanachezea moto, hawajui kuwa hayo mauchonganishi yao cdm ni vichwa na wanajua wanafanya nini so please kama wanataka arusha isitawalike waendeleee na ukilaza wao tutawaonyesha arusha ni wachaga na wameru na sio vinginevyo.

Jathro naunga mkono hoja,iweje tangu matokeo yametolewa na batilda alishindwa vibaya sana kwa kura zaidi ya 18,000 leo hii eti kesi mahakamani? kweli ccm wanachezea moto, hawajui kuwa hayo mauchonganishi yao cdm ni vichwa na wanajua wanafanya nini so please kama wanataka arusha isitawalike waendeleee na ukilaza wao tutawaonyesha arusha ni wachaga na wameru na sio vinginevyo.

Duuuh,

Mambo yamechacha ila nilicho juzwa leo ni kuwa Hiyo Case ya Batlda kwa Lema inatupiliwa mbali muda si mrefu kwani wanasheria wamisha iangalia na hawajaona mantiki ya hiyo case kwani mpiga matokeo Batilda na mwansheria wake hawana vigezo vya kufanya iyo case kusikilizwa, eg walisema ooooh Jukwaani CDM ilikuwa ina mpoka matope na ndio maaana mama alishindwa kweli hiiiyo na yo ni Case mipasho ya jukwaaani unaleta pingamizi kwenye ushindi wa kura jamani??

My Take:

Hawa wanasheria wetu wanatakiwa kuchunguza sana Case hizi kabla ya kuzipeleka mahakamani they need to investigate deeply na waje na concrete evidence to sue mtu nasio kuwa na maslahi ya mtu badala ya taifa

Back
Top Bottom