Acha ujinga ***** wewe, hivi unaweza kushindwa kutoa copy hapa Arusha kwa kisingizio hakuna umeme.....Crashwise unaishi dunia ipi tatizo la umeme lipo hakuna mtanzania asiyelijua unaposema kwa kisingizio hakuna umeme hakika ndiyo ule ushabiki niliokukataza mwanzoniiiiiiiii.
Asante crashwise tuletee unachosikia achana na kina ngongo and co siku hizi wameishiwa.
Mleteni kesho batilda tumpime DNA kama mtoto siyo wa yule msomali....
Madai ya washitaki ni kuwa Batrilda amezaa nje ya ndoa sasa kama wanataka kuthibitisha nini kinatakiwa kutumika kama siyo kumpeleka mtoto akapimwe DNA pamaja na Lowasa na yule msomali..Crashwise ebu soma bandiko lako taratibu halafu tueleze kama huu si ushabiki.
Akili yako ndogo ndiyo maana kazi ya uratibu wa mbunge imekushinda.Umeshindwa kuelewa Jaji kakubali hoja za wakili wa upande wa mashtaka !Najua hauko tayari kuwaambiwa mashabiki wasichopenda kusikia.Ngoja nikufafanulie kidogo Dr Batilda akitinga mahakamani na akawa tayari kupima vipimo vya DNA na ikithibitika kwamba Lema alikuwa akimzushia uongo [Defamation] unadhani nini kitafuata !.Crashwise sidhani kama kuna mtu mwenye akili nzuri atapinga mageuzi ninachokataa ni kuburuzwa na wajinga.
Niko mbali lakini tayari nimebaini mambo si mazuri kwa Lema bwahaa haaa.Umejitahidi kuficha lakini wenye akili zetu tumeguindua nini kimejiri leo huko Arusha.
Madai ya washitaki ni kuwa Batrilda amezaa nje ya ndoa sasa kama wanataka kuthibitisha nini kinatakiwa kutumika kama siyo kumpeleka mtoto akapimwe DNA pamaja na Lowasa na yule msomali..
nyumba ndogo ya lowasa..
Hakika hiki ni kilio cha watanzania walio wengi siku mahakama zitakapokuwa huru basi tutakuwa tumepiga hatu mbele...hizi kesi za zinazo funguliwa baada ya chaguzi mbalimbali kuisha
,zinatupa mashaka kuwa wanao husika na kusimamia chaguzi
na wanotaka madaraka kwa lengo la kujitajirisha na kuifaidisha familia zao kwa kodi za wana nchi,na ndomaana
unaona kwenye kampeni wanatoa posho ndogo na kubwakubwa,kwa watanzania wajinga walioamua na wachache
kuwasaliti watanzania walio wengi.hivyo nawatia moyo watumishi wa mahakama yetu tukufu tuna imani nao hawatafuata
hao wenye nia bifsi.wa wazidi kuhukumu kwa haki bila kujali huyu ni wachama gani, kwa faida ya watanzania.
Kwanza nashangaa kwanini hakujitoa mpaka awakili wa Lema alipoweka pingamizi hilo waka swala la yeye kuwana uhusiana na washitaki liko wazi kabisa....Hata mimi naunga mkono Mujulizi ajitoe anaconflict of interest
kwani madai yao ni nini? au ukweli juu ya madai yao ni yapi?Haipendezi JF kuwa forum ya kujadili non issues kama masuala ya watu ambayo hayana ukweli ndani yake tujadilia issues.