Hivi wewe Crashwise! Kazi unafanya saa ngapi kila siku unashinda vijiweni pale maeneo ya Sakina, ukitoka hapo unakwenda vijiwe vingine vya Unga Limeted, ukisikia kesi za CDM unakimbila mahakamani kuripoti humu JF, tafuta kazi kijana maisha ya kama kwale sio mazuri.kesi itaendelea muda si mrefu...
Anachofanya wakili wa CCM ni kuhakikisha anapoteza kesi ili akate rufaa, chenji ziendelee kutembea...kiukwe wakili wa ccm amekabwa..ngoja tuendelee kufatilia
Mtu kama huna kazi za kufanya unakuwa kama chizi angalia huyu jamaa anaripoti kesi kutoka mahakamani kama anatangaza mpira, teh teh tehjaji anamkumbusha tena kuwa alitakiwa afungue malalamiko kwenye baraza...wakili anasema walalamikaji hawakuwa na haki hiyo lakini wana haki ya kufungua kesi mahakama kuu..
Unakopi- pesti tekniki ya maisha yako ya kujipendekeza kwa mafisadi na mitoto yao kwa watanzania wengine?Unga Limeted.....................,
kuongea na Dr Slaa, upate kibarua hata cha utingo kwenye zile Fuso za CDM,
Heshima Crashwise.
Hivi wewe ni Mtanzania kweli ?.Unaposema kifungu na 11 cha sheria za uchaguzi inamapungufu una maana gani ?.
Ninavyokuona kwa macho ya computer Ngongo una matatizo binafsi majibu yako mara nyingi huwa ya kishari zaidi, wivu kwa Lema usio na mashiko. Ukiendelea na hiyo roho hautakuwa na amani maishani mwako pindi unapotegemea adui yako ashindwe instead anaendelea kushamiri.Bahati mbaya niko nje ya mkoa lakini niko well represented.
Kizuri ni kuwa we ni mfuatiliaji mzuri sana wa kesi hii thanks to Crashwise.Mtu kama huna kazi za kufanya unakuwa kama chizi angalia huyu jamaa anaripoti kesi kutoka mahakamani kama anatangaza mpira, teh teh teh
Kwa hiyo ni mapumziko dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeisha, nani kazidiwa?kesi itaendelea saa nane..kuwasikiliza upande wa washitakiwa..
Asante crashwise tuletee unachosikia achana na kina ngongo and co siku hizi wameishiwa.kesi itaendelea saa nane..kuwasikiliza upande wa washitakiwa..
Kwa hiyo ni mapumziko dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeisha, nani kazidiwa?
Acha upuuzi kama huna kazi kacheze bao kwenye vibaraza vya Lumumba usubiri posho.Kwa hiyo ni mapumziko dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeisha, nani kazidiwa?
unataka uraia wangu, au unashangaa mimi kutokujua sheria, mimi naandika kinachosemwa na wakili wenu na jaji..
Ninavyokuona kwa macho ya computer Ngongo una matatizo binafsi majibu yako mara nyingi huwa ya kishari zaidi, wivu kwa Lema usio na mashiko. Ukiendelea na hiyo roho hautakuwa na amani maishani mwako pindi unapotegemea adui yako ashindwe instead anaendelea kushamiri.
Tafutaka kazi kijana hakuna maisha ya ujanja ujanja CDM haiwezi kukusomeshea watoto wako, CDM haiwezi kukulipia kodi ya nyumba ushauri wangu Serikali ya maisha yako ni kichwa chako kijana, angalia usije kuwa kama Tambwe HizzaAcha upuuzi kama huna kazi kacheze bao kwenye vibaraza vya Lumumba usubiri posho.
<br />wakili wa ccm anasema kunakipengele hakijui baada ya kuambiwa afafnue kipengele alichokuwa anajaribu kukijengea hoja ni juu ya kupinga kuitwa kesi hii ni ya binafsi..