Kesi ya kupinga matokeo ya Godless Lema

Kesi ya kupinga matokeo ya Godless Lema

PakaJimmy.

Bahati mbaya wanaotumika hutaki tuwasema au kwakuwa wamevaa magwanda ?.au kwakuwa wanasema people powersssssssssss.Kama umbo dogo la Nanyaro ni kinga ya makosa ya jinai hakika wale wasambaa wa kule Mtae,Soni na wachina wa kariako wangekuwa na defence nzuri mahakamani.PakaJimmy una mambo karibu mnyama wa taifa J2 Apache.

Na tuiache Historia iwe Historia!
Kila zama zina kitabu chake, na hasira zako za Diwani Mawazo kuondolewa TLP unaziendeleza hadi leo, wakati unajua kulikuwa na conflict za ndani kwa ndani kwenye TLP yako!...Kwa akili zako unadhani Mawazo yeye hana akili hadi arubuniwe na Lema?
Ngongo huna jipya unaloweza kusema juu ya mwanacdm yeyote!...Ishu mbofumbofu kama za Nanyaro kutaka kumuua Meya, hata mtoto wa Baby-Class atajua kuwa ni za kusukwa ili kumharibia!
Hivi unajua namshangaa sana Meya kumwogopa mtu mwenye umbo dogo kama la Nanyaro, hadi akaamua kukimbilia polisi , kisa anaona support ya Nanyaro inamtishia, na anahofia msimamo wa Nanyaro kuwa unaiweka nafasi yake ya kiutawalamashakani!
Ngongo ubabaishaji wa nini, najua unatumika mkuu, lakini hata saa mbovu huwa inasema ukweli mara 2 kwa siku!
 
Nimegundua sasa kuna watu wana wivu humu sijapata kuona.
Kuna watu wakisikia Lema wanataka kunywa sumu.
Eti niliombwa na viongozi wa cdm na lema alikuwa hajui kitu! What a crap!!
eti ulichangisha fedha za kufanya party ya kumpongeza lema na ukala cha juu! How did you know that wakati ww hukuchanga?
Huyu ritz tunajua yeye yupo kazini, angalao nae aishi mjini.
 
crashwise what is up banaa, tupe news!!!
 
Mkuu CRASHWISE tunaomba utuhabarishe nini kimeendelea mchana huu
 
Nimegundua sasa kuna watu wana wivu humu sijapata kuona.
Kuna watu wakisikia Lema wanataka kunywa sumu.
Eti niliombwa na viongozi wa cdm na lema alikuwa hajui kitu! What a crap!!
eti ulichangisha fedha za kufanya party ya kumpongeza lema na ukala cha juu! How did you know that wakati ww hukuchanga?
Huyu ritz tunajua yeye yupo kazini, angalao nae aishi mjini.

Ngongo akisikia jina la Lema limetajwa anashtuka kama mtu aliyepigwa shoti ya umeme!!! tehe tehe tehe,...... ngongo mwanahabari, wa uhuru na mzalendo bila shaka, kama sio jamba leo au habari leo!!
 
....jaji kawa shauri waliofungua kesi wamrete batilda mwenyewe na awe tayari kupima vipimo vya DNA kuzipitisha kama mtoto ni wa baba husika...kesho itaendelea tena ila itakuwa chemba
 
Mkuu CRASHWISE tunaomba utuhabarishe nini kimeendelea mchana huu
Mkuu tutajua kesho kama ngoma inatupwa au inaendela ingawa jamaa wa CCM walikuwa wamebanwa sana...
 
Ngongo akisikia jina la Lema limetajwa anashtuka kama mtu aliyepigwa shoti ya umeme!!! tehe tehe tehe,...... ngongo mwanahabari, wa uhuru na mzalendo bila shaka, kama sio jamba leo au habari leo!!
Yaani kama angekuwa ni mungu basi Lema asingekuwa hai....hahahahaha
 
PakaJimmy sikupenda kuweka wazi wewe umenilazimisha nilishaamua kumuunga mkono Lema lakini baada ya haya madudu nikabaini Lema si mtu wa kubadilika kama aliweza kumdalali Mawazo CCM atashindwaje nini tena.
Umuunge mkono usimuunge Lema bado atakuwa Mbunge wako hadi 2015.
 
Mbona huwa niko pale kila j2?
Vipi j2 utakuwa umerudi toka Igunga?...Nasikia mlikuwa na kikao cha siri na Nape jana!
umemuuliza swali ngumu sana mpka amuulize Nape jinsi ya kujibu...
 
PakaJimmy.

Bahati mbaya wanaotumika hutaki tuwasema au kwakuwa wamevaa magwanda ?.au kwakuwa wanasema people powersssssssssss.Kama umbo dogo la Nanyaro ni kinga ya makosa ya jinai hakika wale wasambaa wa kule Mtae,Soni na wachina wa kariako wangekuwa na defence nzuri mahakamani.PakaJimmy una mambo karibu mnyama wa taifa J2 Apache.
Hiyo njama ya kuwafunga mdomo viongovi wa Chadema hamuwezi kufanikiwa...
waambia hata hao waumezako usalama wataifa tunajua Ijumaa walipanga nini juu ya Lema...tatizo lao hawajui kuwa CHADEMA kikubwa inacho pendwa nyie mkipanga tunapenyezewe....na mkituchosha tutawatafuta na sisi kwani mna fikiri hatujui makwenu...
 
Hivi wewe Crashwise! Kazi unafanya saa ngapi kila siku unashinda vijiweni pale maeneo ya Sakina, ukitoka hapo unakwenda vijiwe vingine vya Unga Limeted, ukisikia kesi za CDM unakimbila mahakamani kuripoti humu JF, tafuta kazi kijana maisha ya kama kwale sio mazuri.
Jaribu kuongea na Dr Slaa, upate kibarua hata cha utingo kwenye zile Fuso za CDM, msingi wa maisha ni kufanya kazi kwa bidii tu hakuna ujanja ujanja

Tafutaka kazi kijana hakuna maisha ya ujanja ujanja CDM haiwezi kukusomeshea watoto wako, CDM haiwezi kukulipia kodi ya nyumba ushauri wangu Serikali ya maisha yako ni kichwa chako kijana, angalia usije kuwa kama Tambwe Hizza
Wewe unapotunziwa mkeo na Nepi unafikiri wote wako hivyo, mimi sitegemei CDM inifanyie kitu mimi ndio natakiwa niisaidie Chadema.
 
Nilishamkanya sana lakini mbishi kichwa ngumu,sasa nifanyeje hakanyiki.

Kwa kweli mimi nitakuunga mkono kama unachuki na hao lakini yule bwana mdogo muonye,mkanya,mpe ushauri kama mwana Arusha bwana Ngongo mmh
 
Akishindwa nitamwalika diwani wa Levolosi mwenye kinga ya makosa ya jinai kwasababu ya umbo dogo.

Kwa kweli mimi nitakuunga mkono kama unachuki na hao lakini yule bwana mdogo muonye,mkanya,mpe ushauri kama mwana Arusha bwana Ngongo mmh

Hivi Ngongo naLema wanafahamiana in person,manake chuki aliyonayo kwa Lema inaonyesha ni zaidi ya mambo ya kisiasa,nakubaliana na wewe Ngongo angepunguza hasira na chuki kwa Lema haimsaidii hata kidogo wana Jamvi wengi wetu tumejua kwamba ana mtazamo wa kutaka Lema ashindwe na je akishindwa atabalika na kuitwa ngungu jamani too much
 
....jaji kawa shauri waliofungua kesi wamrete batilda mwenyewe na awe tayari kupima vipimo vya DNA kuzipitisha kama mtoto ni wa baba husika...kesho itaendelea tena ila itakuwa chemba
Duh yamekuwa hayo tena sijui kama Batilda atakubali maana anaweza kuzua ugomvi mwingine mkubwa zaidi ya huo ubunge.
 
Hii inamhusu Crashwise zaidi nakushangaa unashindwa kumweleza.

Kama wewe ni mwanahabari halafu huwa unatoa habari za upande mmoja tuu then wewe ni mwanahabari hatari sana unachuki sana na Lema ya wazi wote tulidhani ulikuwa wakati wa uchaguzi lakini jinsi unamshusha kwenye mizani ya utu kwa kweli unalo jambo kati yako naye
 
Mpenda maziwa unajua dhahiri angekuja Lema Sr au Jr Ngongo hasingekuwa na kinyongo au umesahau pitia mabandiko taratibu lazima kuna kitu umesahahu.

[1] Nanyaro mwenyewe yuko hapa muulize hakuaanda sherehe za kumpongeza Lema ?.Usitake nichimbue zaidi utashangaa.

[2] Mambo ya sherehe madogo sana.Huyu Nanyaro ana tuhuma za kutishia kumuuwa Meya wa Arusha.
ama kweli Ngongo umeishiwa yaani mtu kuandaa sherehe ni tuhuma, njo kwangu nina tuhuma za kufanya sherehe ya kuzali mtoto wangu maana inaelekea unatuhuma nyingi sana zidi wana-CHADEMA ila kwasasa na kushauri concentrate kwenye hii kesi maana inavyoelekea kesho mna chinjiwa baharini...
 
Birigita kuna uwezekano wewe ni nyumba ndogo ya Lema,shangazi yake,mama mdogo,mama mkubwa,shemeji yake,mke wake na nk.Huna mamlaka ya kutukataza kumjadili maadamu yeye ni mbunge wetu [public office].Nina kila sababu ya kukuweka kundi la wajinga hujui kitu unajidai unajua Nanyaro yupo hapa nina hakika kasoma niliyoandika kakaa kimya wewe ni nani ?.Rejea bandiko la PakaJimmy yamkini utaelewa na kuacha uropokaji na ushabiki maandazi.

Back
Top Bottom