Mkuu asante kwa kunirekebisha but nadhani na wewe unanirekebisha kutokana na imani yako tu, so asante. ila kwa imani yangu Mungu anaumbua wale madhalimu anaowataka kuwaumbua mbele ya binadamu wenzio, japo ni kweli kuna wengine wataumbuka siku ya mwisho.Sidhani kama Mungu anafanya kazi ya kuumbua watu. Tunajiumbua wenyewe kwa matendo yetu. Kama angekuwa anaumbua watu, mbona tungekuwa tunaishi na wasiwasi mwingi, kutokana na maovu mengi tutendayo tukidhani tumejificha? Niliona tu nisahihishe hii statement yako iliyomongelea Mungu maana umeirudia mara mbili, ikimaanisha hukuandika kimakosa bali ni mawazo yako.