Kesi ya IGP Mahita na tuhuma za kuzaa na mtumishi wake wa ndani

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,542
Points
2,000

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,542 2,000
kaka,hiyo kesi haijaanza leo,kwa jinsi ushahidi ulivyokuwa unatolewa na huyo binti pamoja na mahita jinsi alivyokuwa anajitetea utaona kabisa kuwa mahita ndie baba wa mtoto.
mahita aliiomba mahakama iyatupe hayo mashtaka lakini mahakama ilipomwambia achukuliwe DNA ili wakate mzizi wa fitina mahita akachomoa kuchukuliwa,sasa mahita ana uhakika kuwa yule mtoto si wake na anataka hiyo kesi iishe kwanini asikubali kuchukuliwa DNA?TAFAKARI
Atakubali vipi wakati JUma Mahita ni COPY ya Omary Mahita?
 
BelindaJacob

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2008
Messages
6,162
Points
2,000

BelindaJacob

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2008
6,162 2,000
Kama anajijua si baba si akubali DNA tu, tatizo liko wapi?
Kabisa, akubali DNA na yaishe. Mambo ya kurefusha kesi wakati ukweli unaweza kupatikana kirahisi inaboa.
Inawezekana kuna mrundikano wa kesi zingine kibao hazisikilizwi wakati yake sijui raundi ya ngapi hii..
Mahita kubali DNA ujue unasimama wapi!..
 
Mtimti

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2008
Messages
934
Points
250

Mtimti

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2008
934 250
Kabisa, akubali DNA na yaishe. Mambo ya kurefusha kesi wakati ukweli unaweza kupatikana kirahisi inaboa.
Inawezekana kuna mrundikano wa kesi zingine kibao hazisikilizwi wakati yake sijui raundi ya ngapi hii..
Mahita kubali DNA ujue unasimama wapi!..
Alhaji anaona akikubali AMEADHIRIKA..kwi kwi kwi kwi
 
Bluray

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2008
Messages
3,456
Points
1,225

Bluray

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2008
3,456 1,225
Alhaji anaona akikubali AMEADHIRIKA..kwi kwi kwi kwi
Na mimi nafikiri hivyo hivyo.Yaani mtu yeyote ambaye si baba angetaka kujisafisha mapema sana kwa teknolojia hii.

Yaani hawa watu wenye hii level ya integrity ndio waliokuwa wanaendesha polisi Tanzania nzima, na bado tunao wengi tu.Si ajabu Mkapa aliposema ua/ tesa wanafanya tu, ikiwa kushirikiana na majambazi wanashirikiana tu, integrity iko wapi?

OK, to err is human, na huyu baba ni mwanamme, simtetei, lakini sote tunajua vishawishi ni nini, kamtia mimba huyu msichana, thats bad enough, lakini sasa anaongeza insult to injury kamkataa hata mtoto wake mwenyewe (kwa kukataa DNA amekataa kuji exonerate na amekubali charges).Yaani kukataa mtoto kumempeleka katika level nyingine kabisa ya ubaradhuli, afadhali hata angefanya umaaluni wa kumtia mimba housegirl na kumtunza mtoto.
 
Bluray

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2008
Messages
3,456
Points
1,225

Bluray

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2008
3,456 1,225
jamani samahani mimi sina records nzuri juu ya hii kesi,
HIVI MAHITA ALIBAKA?
Alikuwa anakula nyama ya hamu wakati huyu mtoto wa kike akiwa housegirl, kutegemea na statutory rape laws za Tanzania na miaka ya huyu mwanadada aliyokuwa nayo then (anaonekana mdogo bado na huyu mtoto mkubwa) inawezekana kabisa kwamba at the very least ilikuwa statutory rape.

We unafikiri Mahita anayoogopa madogo.

Lakini utasikia, hawawezi kumgusa, na hata hiyo DNA labda waifanyie nje ya nchi, ikifanyiwa bongo inaweza kuwekwa sawa majibu tu.
 
MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
5,566
Points
1,195

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
5,566 1,195
Hii kesi ina udini tu ,mbona CUF walipomfungulia mashtaka hawakumfanya kitu ?
Mkuu udini wapi sasa? Au kila kitu ni udini? Sasa CUF chama cha Kiislamu mpaka ulalamike ni udini hawakumfanya kitu alipo shitakiwa na CUF? Please let's not turn things into what they are not. Au wewe unataka ashitakiwe na nani ndiyo uone hakuna udini?
 
Last edited:

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
7,702
Points
1,250

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
7,702 1,250
Mkuu udini wapi sasa? Au kila kitu ni udini? Sasa CUF chama cha Kiislamu mpaka ulalamike ni udini hawakumfanya kitu alipo shitakiwa na CUF? Please let's not turn into things they are not. Au wewe unataka ashitakiwe na nani ndiyo uone hakuna udini?
Achana na mdini huyu. Hawa ndio wametukimbiza kafu. Wadini watupu. Kila akikosa mwislamu kaonewa.
 
Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Messages
2,881
Points
1,195

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2009
2,881 1,195
Alikuwa anakula nyama ya hamu wakati huyu mtoto wa kike akiwa housegirl, kutegemea na statutory rape laws za Tanzania na miaka ya huyu mwanadada aliyokuwa nayo then (anaonekana mdogo bado na huyu mtoto mkubwa) inawezekana kabisa kwamba at the very least ilikuwa statutory rape.

We unafikiri Mahita anayoogopa madogo.

Lakini utasikia, hawawezi kumgusa, na hata hiyo DNA labda waifanyie nje ya nchi, ikifanyiwa bongo inaweza kuwekwa sawa majibu tu.
ndo hivyo...huwezi amini kitu kinafanywa chini ya jina la serikali ya tanzania. Hii imani imeondoka kabisa. Ni jambo la kusikitisha sana, lakini ndo ukweli. Wananchi hawana imani na serikali yao. Tukiweza kupata serikali mpya chini ya chama tofauti, au hata hichi lakini kilichosafishwa, basi itachukua muda kurudisha hii imani. Itabidi kazi ya kwanza ya hiyo serikali iwe kurudisha imani kwa wananchi!
 
WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
5,463
Points
0

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
5,463 0
Polisi ndio wanatakiwa kusimamia haki, kulinda raia na mali zao.Polisi wanatakiwa kuwa mfano wa raia mwema, mtiifu na mfuata sheria.Mahita alikuwa ndio Head prefect - sijui alikuwa mfano gani wa kuigwa?

Katika hili suala, kama kawaida tutasikia kuwa ati shetani naye alimpitia, hadi akamwona binti wa ndani ( hawa nawaona kama sehemu ya familia) naye anafaa kujitwalia kwa starehe zake binafsi na kumdhalilisha mama watoto wake maana naamini upuuzi huo ulikuwa ukifanyika humohumo ndani mwao na si ajabu kwenye matrimonial bed! Alhaj mzima bila haya kumvulia na kumvua mtoto mdogo yule! Wacha aumbuke sasa.

Tukija upande wa sheria, sasa hivi DNA ndio njia murua na ya uhakika kujua kama mtoto yule ni wa Mahita au la.Kama mtoto ni wake basi sheria mbona iko wazi? Lazima awajibike kutunza mtoto... anataka nani amtunzie?

Hayo ya Statutory Rape - kama binti alikuwa chini ya miaka 18 wakati kitendo kinafanyika hata kama binti alidanganyika akatoa penzi haijalishi. Angestahili mvua 30 kama wabakaji wengine!...Je ni kweli watu wote ni sawa mbele ya Sheria? Ofcourse not!
 
Zogwale

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
12,530
Points
2,000

Zogwale

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
12,530 2,000
Pengine Mahita hajafanya hasa hayo mambo lakini, Mw'Mungu anamfedhehesha tu kutokana na ubabe na uhuni na mauwaji ya watu wasio na hatia alipokuwa IGP

Junius ili kupata ukweli tunataka ile DNA test ifanyike under restricted supervision, I mean bila mkono wa rushwa hapo!!!!
 
Boney E.M.

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2007
Messages
425
Points
195

Boney E.M.

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2007
425 195
Nampa ushauri wa bure Mahita ili asiumbuke, akubali wayamalize nje ya mahakama ila tu asije kumpunja msichana wa watu. Kuwe na namna ambayo huyo msichana atapata msaada maana 'Ngunguri' anaweza kumzidi kete. Hili lifanyike kama DNA hataki.
 
agika

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
381
Points
0

agika

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
381 0
Polisi ndio wanatakiwa kusimamia haki, kulinda raia na mali zao.Polisi wanatakiwa kuwa mfano wa raia mwema, mtiifu na mfuata sheria.Mahita alikuwa ndio Head prefect - sijui alikuwa mfano gani wa kuigwa?

Katika hili suala, kama kawaida tutasikia kuwa ati shetani naye alimpitia, hadi akamwona binti wa ndani ( hawa nawaona kama sehemu ya familia) naye anafaa kujitwalia kwa starehe zake binafsi na kumdhalilisha mama watoto wake maana naamini upuuzi huo ulikuwa ukifanyika humohumo ndani mwao na si ajabu kwenye matrimonial bed! Alhaj mzima bila haya kumvulia na kumvua mtoto mdogo yule! Wacha aumbuke sasa.

Tukija upande wa sheria, sasa hivi DNA ndio njia murua na ya uhakika kujua kama mtoto yule ni wa Mahita au la.Kama mtoto ni wake basi sheria mbona iko wazi? Lazima awajibike kutunza mtoto... anataka nani amtunzie?

Hayo ya Statutory Rape - kama binti alikuwa chini ya miaka 18 wakati kitendo kinafanyika hata kama binti alidanganyika akatoa penzi haijalishi. Angestahili mvua 30 kama wabakaji wengine!...Je ni kweli watu wote ni sawa mbele ya Sheria? Ofcourse not!
Dada WoS uko right ni Mungu tu anataka kumuumbua kwa kumdhalilisha mkewe na huyo mfanyakazi wake, kwasababu haiingiii akili mtu mwenye nyadhifa kama yeye kukubali kudhalilishwa mpaka mahakamani kisa eti ni kutoa matunzo tu? hela ngapi za ufisadi amejilimbikizia jamani? how much does it take to rise a kid in Bongo jamani?am sure wakati huo hata angemwambia huyo mama atampa laki tano kwa kila mwezi za matumizi angeziona nyingi kwa maisha ya bongo, en what is lakini tano kwa mahita kwa mwezi plus ufisadi? SO NI MUNGU ANAMUUMBUA NA MIE NAMUOMBEA AZIDI KUMTOKOMEZA.
 
Sidhani kama Mungu anafanya kazi ya kuumbua watu. Tunajiumbua wenyewe kwa matendo yetu. Kama angekuwa anaumbua watu, mbona tungekuwa tunaishi na wasiwasi mwingi, kutokana na maovu mengi tutendayo tukidhani tumejificha? Niliona tu nisahihishe hii statement yako iliyomongelea Mungu maana umeirudia mara mbili, ikimaanisha hukuandika kimakosa bali ni mawazo yako.
 
Chapakazi

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2009
Messages
2,881
Points
1,195

Chapakazi

JF-Expert Member
Joined Apr 19, 2009
2,881 1,195
Polisi ndio wanatakiwa kusimamia haki, kulinda raia na mali zao.Polisi wanatakiwa kuwa mfano wa raia mwema, mtiifu na mfuata sheria.Mahita alikuwa ndio Head prefect - sijui alikuwa mfano gani wa kuigwa?

Katika hili suala, kama kawaida tutasikia kuwa ati shetani naye alimpitia, hadi akamwona binti wa ndani ( hawa nawaona kama sehemu ya familia) naye anafaa kujitwalia kwa starehe zake binafsi na kumdhalilisha mama watoto wake maana naamini upuuzi huo ulikuwa ukifanyika humohumo ndani mwao na si ajabu kwenye matrimonial bed! Alhaj mzima bila haya kumvulia na kumvua mtoto mdogo yule! Wacha aumbuke sasa.

Tukija upande wa sheria, sasa hivi DNA ndio njia murua na ya uhakika kujua kama mtoto yule ni wa Mahita au la.Kama mtoto ni wake basi sheria mbona iko wazi? Lazima awajibike kutunza mtoto... anataka nani amtunzie?

Hayo ya Statutory Rape - kama binti alikuwa chini ya miaka 18 wakati kitendo kinafanyika hata kama binti alidanganyika akatoa penzi haijalishi. Angestahili mvua 30 kama wabakaji wengine!...Je ni kweli watu wote ni sawa mbele ya Sheria? Ofcourse not!
We need to be...and we hope this will be a step towards equality under the law. Hii ishu ikipewa publication zaidi, italeta uwazi na hata kuchangia haki kutendeka.
 
Forum statistics

Threads 1,381,381
Members 526,069
Posts 33,797,771
Top