Mtimti
JF-Expert Member
- Feb 23, 2008
- 942
- 647
Je kulisemwa nini na muhimu? Dataz za wakati ule nz za sasa unaweza kukuta ziko tofauti na hivyo kila kitu kuwa na sura tofauti. Mie wakati ule sikuwemo humu ndani ya JF. Ukiweza tujulishe kwa mbalimbali maana hata mimi nilisikia kuwa ule wimbo wa Seya tutoke wote ambazo Nguza anamvalisha mtoto PETE ulisababisha yote haya.
sawa kabisa kaka,ule wimbo ndio ulioitimisha mambo ingawa mambo yenyewe yalikuwa yanawaka kichini chini,yule mwanamke alikuwa mwanamke alikuwa kimada wa OMARY MAHITA,na bwana mkubwa alimpangia nyumba lakini baadae yule mwanamke akamtosa bwana mkubwa akawa anachukuliwa na babu seya(nguza),huo ndio ulikuwa mwanzo wa safari ya nguza na wanawe gerezani......!