Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 19,152
- 43,111
Anza kwa kusoma post ya kwanza utajifunza na kujua mengiAsante kunitag bestie

Yeah ndio Niko nasomaAnza kwa kusoma post ya kwanza utajifunza na kujua mengi
Ndio assignment yako weekend hii 😂Yeah ndio Niko nasoma
Kama walisingizia...hawa watoto watakuwa wameharibiwa kisaikolojiaList ya watoto(now ni watu wazima) waliofanyiwa ubakaji na babu sea (kama ni kweli) wapo wapi..?
Alicia Longino
Rehema Mgweno
Juliet Mbank
Dei Jaffari
Yasinta Mbele
Agnesta Sia
Amina Shomari
Gift Kipwapwa
Isabella Angomile
Agnesta Sia.
Ulienda?Katika mambo ambayo nina mpango wa kuyafanya in 2008 ni kuwatembelea hawa mabwana huko gerezani walipo na nitajitahidi kadri ya uwezo wangu kuujua upande wao wa hii story na kuwaletea hapa. Kwa mazingira yetu ya bongo yalivyo,kama agizo limetoka juu, najua kila kitu kinawezekana coz kila mtu anataka kulinda kitumbua chake.
Ukifatilia ile kesi kuna mambo mengi ya ukakasi, kifupi ilitengenezwa.Sina hakika kama issue ya Mzee Nguza Viking na wanae iliwahi kukatwa hapa, by then ilipokuwa hot nilikua sija join JF.
Kwanza kabisa lazima niseme kwamba sifagilii kabisa vitendo vichafu vya aina yoyote ile kwa watoto na kama kweli walifanya hayo wanayotuhumiwa kufanya- they deserve to rot in jail.
Wikiend hii nilibahatika kukutana na mtu ambaye alitoa ushahidi kwenye hii kesi (Mwanamuziki na rafiki wa karibu wa Papii) na my feelings kwamba hawa jamaa walikuwa stitched up zimezidi kukua.
Baadhi ya mambo aliyoniambia ni pamoja na kwamba baadhi ya tarehe na saa ambazo Papii anatuhumiwa kushiriki kwenye huo ufirauni- hakuwepo kabisa jijini Dar na hata pale alipokuwepo Dar, alikuwa yuko jukwaani akifanya kile anachopenda kufanya.
Jambo jingine la kushangaza pia ni usiri mkubwa wa jinsi ambavyo kesi hiyo iliendeshwa, na chanzo changu cha habari kinaamini kwamba kwa sababu hii ushahidi mkubwa na wa maana umetiwa kapuni. Hadi leo huyu jamaa anamtembelea Papii gerezani na anasema huwa anagoma kula kwa siku kadhaa na kushinda akilia tu, anatamani afe kuliko kuendelea kuishi na machungu ya uonevu aliofanyiwa yeye pamoja na nduguze.
Nimesikia mengi kuhusu hii kesi- ambalo ni common kwa wengi ni kwamba Mzee Nguza aliingia anga fulani za Waziri mmoja wa serekali ya sasa na waziri huyo aliahidi kumkomesha- yeye pamoja na familia yake. Kuna baadhi wanasema sio Waziri ni Balozi fulani.
Kwa jinsi nionavyo mimi, inawezekana labda watoto wakafanya kitu kama hiki peke yao bila baba yao and the vice versa is possible. Lakini kweli inaingia akilini kwa mzee mzima wa kiafrika kufanya huo upuuzi mbele ya wanae huku wakipokezana tena kwa kitoto kidogo?
Rumours zimekuwa nyingi kwenye hii kesi - kuna yeyote anayeujua ukweli wa hii kesi? I understand kwamba hawa jamaa walikata rufaa na ikatupwa, is there any other way anyone can help them?
=====
Kuhusu hukumu, soma Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha - Soma hukumu
UPDATE:
Hatimaye waachiliwa kwa msamaha wa Rais. Habari zaidi soma...
Breaking News: - Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli
Uliona mbali Sana aisee,ilikuja kuwa kwelime nilisikia ni anga za huyo mtalii muungwana dats why pia yasemwa jamaa kutoka may be awe anavyoomba kwa Mungu kuwa atoke pia awe anamuombea mtalii atoke madarakani either kwa kusinda uchaguzi au lolote baya else angalau wasubirie mpaka 2015
I will be backSina hakika kama issue ya Mzee Nguza Viking na wanae iliwahi kukatwa hapa, by then ilipokuwa hot nilikua sija join JF.
Kwanza kabisa lazima niseme kwamba sifagilii kabisa vitendo vichafu vya aina yoyote ile kwa watoto na kama kweli walifanya hayo wanayotuhumiwa kufanya- they deserve to rot in jail.
Wikiend hii nilibahatika kukutana na mtu ambaye alitoa ushahidi kwenye hii kesi (Mwanamuziki na rafiki wa karibu wa Papii) na my feelings kwamba hawa jamaa walikuwa stitched up zimezidi kukua.
Baadhi ya mambo aliyoniambia ni pamoja na kwamba baadhi ya tarehe na saa ambazo Papii anatuhumiwa kushiriki kwenye huo ufirauni- hakuwepo kabisa jijini Dar na hata pale alipokuwepo Dar, alikuwa yuko jukwaani akifanya kile anachopenda kufanya.
Jambo jingine la kushangaza pia ni usiri mkubwa wa jinsi ambavyo kesi hiyo iliendeshwa, na chanzo changu cha habari kinaamini kwamba kwa sababu hii ushahidi mkubwa na wa maana umetiwa kapuni. Hadi leo huyu jamaa anamtembelea Papii gerezani na anasema huwa anagoma kula kwa siku kadhaa na kushinda akilia tu, anatamani afe kuliko kuendelea kuishi na machungu ya uonevu aliofanyiwa yeye pamoja na nduguze.
Nimesikia mengi kuhusu hii kesi- ambalo ni common kwa wengi ni kwamba Mzee Nguza aliingia anga fulani za Waziri mmoja wa serekali ya sasa na waziri huyo aliahidi kumkomesha- yeye pamoja na familia yake. Kuna baadhi wanasema sio Waziri ni Balozi fulani.
Kwa jinsi nionavyo mimi, inawezekana labda watoto wakafanya kitu kama hiki peke yao bila baba yao and the vice versa is possible. Lakini kweli inaingia akilini kwa mzee mzima wa kiafrika kufanya huo upuuzi mbele ya wanae huku wakipokezana tena kwa kitoto kidogo?
Rumours zimekuwa nyingi kwenye hii kesi - kuna yeyote anayeujua ukweli wa hii kesi? I understand kwamba hawa jamaa walikata rufaa na ikatupwa, is there any other way anyone can help them?
=====
Kuhusu hukumu, soma Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha - Soma hukumu
UPDATE:
Hatimaye waachiliwa kwa msamaha wa Rais. Habari zaidi soma...
Breaking News: - Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli
FafanuaUkifatilia ile kesi kuna mambo mengi ya ukakasi, kifupi ilitengenezwa.
Na Ikawa hivyo.me nilisikia ni anga za huyo mtalii muungwana dats why pia yasemwa jamaa kutoka may be awe anavyoomba kwa Mungu kuwa atoke pia awe anamuombea mtalii atoke madarakani either kwa kusinda uchaguzi au lolote baya else angalau wasubirie mpaka 2015