Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
Kesho ni jumamosi kwa wale wakazi wa dodoma wanajua kesho ni siku ya mnada yaani ni siku ya kwenda kula nyama,
Kuna mnada wa Msalato, N'kome chipogoro,na N.K.
ila mnada maarufu sana kwa nyama ni mnada wa pale Msalato watu wengi wenye heshima zao wakiwemo ,wabunge,wafanyabiashara wakubwa,mawaziri N.K. kesho utakutana nao pale mnadani wakila nyama ,
Je wewe mkazi wa dodoma na mkoa mwingine kesho utakuwa wapi ukila nyama Chomaaaaa?
Kwa Mrombooooooooooooooooooooo.
CC Zero IQ