Kesho nchi itasimama, CC ya CHADEMA itakutana!

Kabisa lazima nchi isimame kwani Dr. Wilbroad Slaa ndani ya nyumba ni hatari baba pipoooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzzziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimaaaaaa!!!
 
Mbowe alipokua Gerezani Chama kilistawi zaidi na kilianza mwamko mpya na mvuta kwa wananchi . Ametoka Sarakasi za kutuhumiana kuhama na kurudi CCM zimeanza na vikao vya majungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Nchi gani isimame ? hakuna watu wapuuzi kama hawa.Nchi inasimama yanapotoka matokeo ya mitihani kidato cha nne na cha sita.Siyo kwa ajili ya wajinga wajinga kama hawa.
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko Nyerere

MBona vikao kama hivi vimekuwa vikifanyika mara kwa mara na sijaona nchi ikisimama? Mkakati mzuri wa kufanya upinzani hauwezi kuuandikia memorandum!
 
nchi itasimama? kwani sasa hivi imekaa? CHADEMA ndio waisimamishe nchi? tukiwaambia CHADEMA ni SACCOS mnapinga, angalieni sasa mnaenda kufanya kikao mwishoni mwa mwezi wa tatu .unajua hiyo inamaanisha nini kihasibu? mnaenda kufunga mahesabu ya robo ya kwanza mwaka wa SACCOS yenu

Hahahaha
Yaani hawa fanatics ni hovyo kabisa walahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama POLICCM hawajapata TAARIFA za KIINTELEJENSIA Basi BADAMU BATAMWAGIKA LEO.
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350
CHADEMA pigeni kazi,tunaotembea vijijini huko tunawasikia wananchi jinsi walivyo kichoka chama hiki kilichobeba watu waliokufa dhamiri zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Umetuletea taarifa lakini kichwa cha habari kimekaa "kikejeli kejeli".Ulikiandika wewew au mods ndio wamepachika?
Kama ni wewe,naanza kuweka alama za kuuliza kuhusu mahaba yako kwa CDM.
 
huu utawala sio wa kutolea press relies baada vikao vya ndani bila kuingia barabaran ni kazi bure..mbowe anataka afanyiwe nn ili kuidhhirishia dunia kwamba ana mtaji wa watu? vyama viungane viingie barabarani tutaelewana vizur

na wewe utakuwepo kwenye hayo maandamano? au unataka kushuudia vilema vya wenzio
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Bila kumuondowa Mashinji huyo Mbowe na kamati kuu yake tutwapuuza tu na kuwaona mazwazwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mku mimi ni ccm ila amini ninachokuambia ni kwamba Chadema hakita kufa bali kitazidi kuimarika zaidi.
Hivi kwa uelewa wako ww unavyoona hawa wanachama wa cuf ambao waelekee wapi na baada ya kujua wasisi wa ACT ni akina nani kwa mbinu ipo wataelekea wapi
Hata hii mizengwe unaona inayofanyika ili hawa wasikabidhiwe kadi ni mbinu pia ambayo itafaidisha vyama viwili

Sent using Jamii Forums mobile app
Amini nakuambia wafuasi wa CUF Maalim hawawezi kwenda CHADEMA hata wakihisi ACT imeasisiwa na CCM.

Mizengwe wanyopigwa ACT wasifanye mitihani ya kugawa ni kujaribu kuonesha hakuna upendeleo. Kuonesha no partiality, no double standard kwa vyama vyote hakuna mikutano.

Lakini kiuhalisia CCM wanafanya mikutano bila vikwazo hivyo hii ni partiality, na double standard.

CHADEMA kwa sasa baada ya Maalimy kupeleka wafuasi ACT inapunguza nguvu kubwa ya CHADEMA. Maalim Seif ana wafuasi wengi sana sio Zanzibar tu bali kote hadi huku Tanganyika. Kuna wafuasi wa chadema wa siku nyingi tumeshawaona sasa wanashabikia ACT hii ni sababu ya imani yao kwa Zitto na Maalim Seif.
 
Haiwezi kusimama mkuu,nchi inasonga mbele kwa mbele.Mmeshaminywa hata kupumua hamuwezi.Mjipange kweli kweli mwakani.
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350

Utasikia intelejensi yapolisi inasema kuna watu toka chama fulani wanatakuleta vurugu, hivyo hicho kikao kiahirishwe.
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Kila wakati hayo ndiyo maneno yako. Hakuna jipya maisha hayatasimama yataendelea km kawaida. Acha falisafa za kijinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom