Kesho nchi itasimama, CC ya CHADEMA itakutana!

Kesho nchi itasimama, CC ya CHADEMA itakutana!

Mkuu Yeriko, kwanza asante kwa taarifa hii, hivyo na sisi kesho tukae mkao wa kula, pili hakuna ubaya wowote kwa my kuwa na great expectations, kuwa kesho nchi nchi itasimama, kwa Chadema ipi?, kama ndio kwa Chadema hii hii ninayoifahamu mimi, then take it from me, there will be nothing new kwa sababu kwa sasa Top Brass ya Uongozi wa juu wa Chadema, is a saturated solution, it can take no more than what it can, hivyo haina watu wenye that capacity kuisimamisha nchi.

Kama 2015 mlishindwa, there is nothing big you can do now simply kwa sababu ....

https://www.jamiiforums.com/threads...angi-na-hamtajipanga-2015-ni-ccm-tena.624364/

Japo mimi sina chama kabisa lakini kuna vitu huwa nawaambia humu na nikikutana nao nawaambia face to face.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/87532-ccm-imechokwa;-chadema-haijajipanga.html

https://www.jamiiforums.com/threads...i-zisikilizwe-zizingatiwe-zisipuuzwe.1352784/

https://www.jamiiforums.com/threads...us-credible-mature-enough-opposition.1249668/

Hivyo there will be nothing more zaidi ya kutangaziwa ushirikiano wa Chadema na ACT.

Na kumfukuza Nassari

P
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Genge la wahuni hilo,linajifia polepole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikao kinaongozwa na Kada wa CCM na Mtumishi wa SSIT Freeman Aikael Mbowe.
Mtoto wa Kada Mbobezi wa CCM na TANU .
Aliyewahi kuitumikia Benki kuu kwa kazi maalim ya SSIT
Hakuna jipya. Yupo kwa ajiili ya kuua chama.
Muda wake uliisha akarudi kama Lipumba kwa mgongo wa Katiba ya chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nchi itasimama? kwani sasa hivi imekaa? CHADEMA ndio waisimamishe nchi? tukiwaambia CHADEMA ni SACCOS mnapinga, angalieni sasa mnaenda kufanya kikao mwishoni mwa mwezi wa tatu .unajua hiyo inamaanisha nini kihasibu? mnaenda kufunga mahesabu ya robo ya kwanza mwaka wa SACCOS yenu
Toa us*nge wako hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila lakheri, TZ tunahitaji chama imara na madhubuti.Checks and balance. Raisi amedhibiti mihimili, vyama navyo kitanzi shingoni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Upumbavu kabisa huu. Ni cc ngapi za chadema zimekaa hatujayaona hayo unayoyasema??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom