Kesho nchi itasimama, CC ya CHADEMA itakutana!

Kesho nchi itasimama, CC ya CHADEMA itakutana!

Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Mbona leo nchi haijasimama na mambo yanaendelea kama kawaida?
 
Let's keep watching this movie with its peek sweetest..........

Kuna watu wanashauri mbowe aachie ngazi alioishikilia ila amini amini nawaambie hakuna mwamba atakaesimama kama mbowe.........
Mbowe akitoka utakuwa chanzo cha kifo cha vyama vingi inchini
 
Mm sio CCM, chadema wala ACT,, mm ni mpinzan na upinzan wangu ni wangu peke yangu, wa kutaka Ccm na genge lake ling'oke,. Kiufupi chadema ni wanafiki tena walioishiwa mbinu,,wakuburuzwa. Kwa issue ya Lowassa,,ilimpasa mbowe ajiuzulu tu wengn waongoze.

Zito nae pale anautaka uraisi na hela za ruzuku,, yaan jaman bado hatuna vyama. Naomba tuanzishe Chama cha Mabadiliko ya Wananchi ambayo ni taasisi huru. Na sio hawa watetea tumbo.
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Eti nchi itasimama,we mwandishi wa vitabu mbona unaakili ndogo hivi ninani aliruhusu uwe mwandishi wa vitabu? Hizi si zama za serikali dhaifu ambayo mliandamana na kutoa kauli tata mlivyotaka,sasaivi adabu tele ukileta ulimbukeni unatupiwa sero chapu. Lema anayejua kashfa tuu sasahivi kimyaaa amebaki kulalamikia matukio badala ya kuleta ideas(sidharau matukio anayolalamikia).
Kinachoudhi huwa hamji na concrete ideas za kuikomboa nchi kiuchumi,mnaleta viagenda vya kitoto maana kwasasa nchi imenyooshwa hoja zimekwisha. Chadema enzi za kikuboi kwa kwasasa hammo kwenye ramani
 
Let's keep watching this movie with its peek sweetest..........

Kuna watu wanashauri mbowe aachie ngazi alioishikilia ila amini amini nawaambie hakuna mwamba atakaesimama kama mbowe.........
Mbowe akitoka utakuwa chanzo cha kifo cha vyama vingi inchini
Mbowe akifa leo anakufa na vyama?! Mawazo ya kipumbavu kabisa.
 
nchi itasimama? kwani sasa hivi imekaa? CHADEMA ndio waisimamishe nchi? tukiwaambia CHADEMA ni SACCOS mnapinga, angalieni sasa mnaenda kufanya kikao mwishoni mwa mwezi wa tatu .unajua hiyo inamaanisha nini kihasibu? mnaenda kufunga mahesabu ya robo ya kwanza mwaka wa SACCOS yenu
Viashiria vya kukaukiwa hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tushawazoea ,wazee wa tunalaani

Hamna vitendo ,hicho kikao cha kesho hakuna jipya, mngekuwa mnamaana tusingefika hapa tulipo

Chadema kimejifia ,kwasasa chama cha kujiunga nacho ni ACT WAZALENDO

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Tumia uhuru wako vua gamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutaendelea tu kuwashauri hata kama hamtaki. Iwapo mwaka huu mtafanya uchaguzi wa ndani wa chama chenu, mumshauri kamanda Mbowe asigombee kwa mhula wa nne mfululizo hata kama ana nguvu na uwezo kiasi gani ili kuwanyamazisha lumumba na pia kujenga msingi imara wa kuachiana madaraka na kuondoa ile dhana ya kwamba chadema ni ya watu wa kaskazini.

Mpeni John Heche uenyekiti maana alishawahi kuwa mwenyekiti wa bavicha Taifa na alifanya kazi nzuri. Katibu pia abadilishwe na kupewa yeyote yule mwenye haiba kwa wanachama. Pia muanze mkakati wa kujenga ofisi za chama kuanzia makao makuu mpaka vijijini. Mlisha anza kuaminiwa na watanzania wapenda mabadiliko (ushahidi ni uchaguzi wa 2015) na hivyo si vizuri kuwakatisha tamaa kwa kufanya siasa nyepesi nyepesi zinazoenda sambamba na matukio.
Jitahidi unaweza kuja kupewa nafasi kwenye igizo la 'tender' ya kuchora nembo ya twiga kwa rangi ya maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.

Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,

Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.

Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Naisubir hiyo siku ya Chadema kusimamisha nchi. Chama kimeshindwa kusimamisha jengo la makao makuu leo kisimamishe nchi.

Ingekuwa huu uzi uko mambo ya wakubwa kusema watasimamisha zile zana zetu za mambo hayo ningekubaliana na wewe lakini sio nchi.

Mfike mahali mkubaliane tu na ukweli halafu mbadili mikakati mjipange upya, hizo siasa zenu zishapitwa na wakati.
 
Mku mimi ni ccm ila amini ninachokuambia ni kwamba Chadema hakita kufa bali kitazidi kuimarika zaidi.
Hivi kwa uelewa wako ww unavyoona hawa wanachama wa cuf ambao waelekee wapi na baada ya kujua wasisi wa ACT ni akina nani kwa mbinu ipo wataelekea wapi
Hata hii mizengwe unaona inayofanyika ili hawa wasikabidhiwe kadi ni mbinu pia ambayo itafaidisha vyama viwili

Sent using Jamii Forums mobile app
Leta ushahidi kama kweli wewe ni CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom