njiwa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 13,258
- 7,101
Mkuu.. Abdul Nondo anakutafutaTarajia kishindo kikuu kesho, mwelekeo mpya wa siasa za Tanzania utajipembua.
Kesho Kamati Kuu ya Chama Kikuu cha Upinzani Nchini Tanzania inakaa kitako kujadili mambo kadhaaa ya kisiasa na mwenendo mzima wa nchi,
Chama cha siasa kinachojiandaa kushika dola silaha kubwa ni vikao. Kikao hiki kitaongozwa na Mwenyekiti nguli wa chama hiki Mh Freeman Mbowe.
Na Yericko NyerereView attachment 1057350
Sent using Jamii Forums mobile app