Mkuu Yeriko, kwanza asante kwa taarifa hii, hivyo na sisi kesho tukae mkao wa kula kusubiria nchi kusimama kwa kishindo kikuu, pili hakuna ubaya wowote kwa mtu yoyote kuwa na too great expectations, kuwa kesho nchi itasimama kwa kishindo kikuu, ila swali la kujiuliza ni kwa Chadema ipi hiyo ya kusimamisha nchi kwa kishindo kikuu ?, kama ndio kwa Chadema hii hii ninayoifahamu mimi, then take it from me, there will be nothing new cha kusimamisha nchi kwa kishindo kikuu kwa sababu kwa sasa karibu top brass yote ya uongozi wa juu wa Chadema, imeshehenezwa na a saturated solution, it can take no more than what it can, hivyo haina watu wenye that capacity ya kuisimamisha nchi kwa kishindo kikuu.
Kama ni kusimamisha nchi kwa kishindo kikuu, ilikuwa ni ile, 2015. Sasa kama mlishindwa pale, kwa sasa there is nothing big you can do cha kusimamisha nchi kwa kishindo kikuu now simply because kumetokea a beast ambae ni game changer, amechange all the political game of this country, and there is nobody and nothing anyone or anybody can do now kwa sababu Chadema toka zamani tuliwaambia humu
https://www.jamiiforums.com/threads...angi-na-hamtajipanga-2015-ni-ccm-tena.624364/
Japo mimi sina chama kabisa lakini kuna vitu huwa nawaambia watu humu na siku nikikutana nao huwa nawaambia face to face mfano
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/87532-ccm-imechokwa;-chadema-haijajipanga.html
https://www.jamiiforums.com/threads...i-zisikilizwe-zizingatiwe-zisipuuzwe.1352784/
https://www.jamiiforums.com/threads...us-credible-mature-enough-opposition.1249668/
Hivyo there will be nothing cha kusimamisha nchi kwa kishindo kikuu zaidi, the only thing kwa Chadema sasa and all serious opposition in Tanzania ni ku open up kwa ushirikiano wa vyama kuungana na kujenga umoja wenye nguvu ili kutengeneza a winning coalition against the giant beast, to start with kutangaziwa Chadema kujitoa iliyokuwa UKAWA na kuanzisha ushirikiano mpya wa Chadema na ACT, na kukaribisha vyama vingine serious opposition na sio vikaragosi.
P