Kesho Lowassa kuifuta rasmi CCM mikoa ya Kusini

Kesho Lowassa kuifuta rasmi CCM mikoa ya Kusini

yaan lowasa anapendwa sana hapa kusini,,tatizo lipo moja kuhusiana na migogoro ya muda ya wagombea ubunge hususan mtwara mjini,masasi na mtama.Hivyo akiweza kusolve out kura zitakuwa za kwake ila la mcngi bila kujali wadhifa ya wagombea inatakiwa amsimamishe mgombea anayekubalika na watu wengi hususan kundambanda ktk jimbo la masasi na kumuacha mzee makaidi ambaye hana mvuto wa kisiasa kwa wana masasi kama mm

Mkuu jambo hilo ni jepesi kama kilo ya pamba kwa lowasa
 
Acha kuzusha uwongo wewe, tumefunga maduka kwa hiari yetu, hakuna aliyelipwa. Tuna mahaba na Raisi wetu mtarajiwa, rais wa watu . Chaguo la wengi ni chaguo la Mungu.

Mkuu mwambie gamba huyo
 
Mkuu Ccm Imesha Jizika Yenyewe Kusini! Kesho Lowassa Anaenda Kuanua Matanga Ya Ccm, Ulikosea Kidogo Kwenye Uwasilishaji Ingawa Nayakubali Sana! Kesho Matanga Ya Ccm Kusini Yanaanuliwa Kiwanja Gani?! Nangwanda Sijaona? Uliona Wapi #tingatinga Likajiendesha Bila Operator?! Operator Mkuu Yuko Msoga Na Mafuta, Tingatinga Litasubiri Mno Amri Ya Operator

Mkuu nangwanda sijaona ni uwanja uliojimilikishwa na maccm,hivyo siyo rahisi kufanyikia hapo bali kazi itakuwa uwanja wa mashujaa
 
CCM hovyo kabisa mmeishiwa sera na hoja mmebaki matusi. Ila ninachoona ni kufilisika sera kichwani kumebaki kweupee nani wa kuwapeni kura.

Ccm mwaka huu hawana pa kukimbilia
 
uyo dada ana ugonjwa wa kuataka kuolewa na ktk records zake anajua ww tiba upo tuuu..akishapona huo ugonjwa ww ndo utaanza kuumwa ugonjwa wa kuachwa kwa mara nyingine tena!

Shughuli imeanza kama hivi mjini mtwara
 

Attachments

  • 1442823567565.jpg
    1442823567565.jpg
    69.6 KB · Views: 296
  • 1442823592996.jpg
    1442823592996.jpg
    63.1 KB · Views: 496
  • 1442823627556.jpg
    1442823627556.jpg
    82.8 KB · Views: 274
Chato nyumbani kwa magufuli Hii ndo maana ya home ground,alienipa habari kuwa wana rock city wanawasubiri akina kiba&mond yuko rock city na alikuwepo kwenye hiyo tour ya wasanii,hakuna mahali nimeandika msukuma mbunge geita mjini,na waliosema mamvi kajinyea ni wananchi waliokuwepo kwenye mkutano wa magufuli pale chato wkt m/kiti ccm mkoa akihutubia sasa unawashwa nanini Dada au kwa7bu wanakupiga paipu hapo kitaa unataka nami nikugeuze nn acha hizo mrembo

Mkuu tuelimisheni watanzania hasa katika kipindi hiki chakumpata rais atakae tuvusha katika kipindi hiki kigumu tulichonacho. Matusi hayatuelimishi hata wanaotoa matus majukwaani si sifa bali nikukosa Elim dunia na weledi la akili. Napenda sana usemi wa mheshimiwa Lowasa katika vipaumbele vyake. Chakwanza ELIMU Chapili ELIMU na cha tatu ELIMU. Mwanga huu utatusaidia sana kuondoa ujinga na ushabiki ktk nchi yetu. Mfno mdogo tu huu tulionao tumepata elim kidogo yakujitambua ndiomaana tunajua kizr kipi kibaya kipi. Acheni matusi na vitisho tupeni mwanga wakumtambua kiongozi aliye bora.
 
Chato nyumbani kwa magufuli Hii ndo maana ya home ground,alienipa habari kuwa wana rock city wanawasubiri akina kiba&mond yuko rock city na alikuwepo kwenye hiyo tour ya wasanii,hakuna mahali nimeandika msukuma mbunge geita mjini,na waliosema mamvi kajinyea ni wananchi waliokuwepo kwenye mkutano wa magufuli pale chato wkt m/kiti ccm mkoa akihutubia sasa unawashwa nanini Dada au kwa7bu wanakupiga paipu hapo kitaa unataka nami nikugeuze nn acha hizo mrembo

Maelezo yako hayana tofauti na ya show..ga hivyo naamini kabisa wewe ni show...ga ndiyo maana unajibalaguza ili uonekane kuwa we ni kidume najua fika mkuu wangu akikupa humuwezi ushazoea kuliwa na dole gumba la ccm pole sana MKUU ila tushakusoma well we subiri anguko na uanze kutafuta pakupeleka huo ushow...ga maana serikali yetu haitakuwa na hifadhi ya mashow..ga
 
Kama kura za mitandaoni lowasa atashi da ila kura za box ni za makufuli

Inaonekana we ni mchepuko wa mkuu na sio Mke maana siku zote Mke huwa na akili za maendeleo lakini mchepuko ni tamaa na anasa pole Kwa hilo
 
Kwa hili mimi ni CCM lakini nitampigia kura Lowassa. It is so low beyond description. UKAWA mmepata kura yangu.

Mkuu awajui tu laiti wangejua matusi yanawapungzia thamani kwawanchi wangeachana nayo. Sisi hatutaki matus tunataka watueleze kua wamefanya nini wameshindwa nini na nikwanini natukiwapa tena watatutoaje hapa tulipo. Mungu awatangulie wapunguze matus.
 
Najua inauma lkn tunataka ukweli wa hili je mamvi alijisevia km wanavyodai wanachato???hampaswi kuruka swali leta majibu nideal na ishu zingine sio kurukaruka tu na matusi juu.

Mkuu unaelim ndogo sana sana. Sis hayo hayatusaidi ukileta siasa yakitu kama hicho unawahamasisha wananchi kumpigia kura zauluma haya bhana lakini tambua yakua binadam anasehem nyingi zakutoa taka au uchafu mwilini hiyo nisayansi.
 
Wanabodi kama ilivyo ada kesho mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa anaingia mkoa Mtwara na Lindi kuifuta rasmi CCM na wana Kusini wameahidi kutofungua maduka yao ili kuonyesha na kushiriki mapokezi ya aina yake kwa rais wao mtarajiwa.
Basi amalize na mzozo wa jimbo la Mtama ili mambo yaeleweke kiungwana
 
Back
Top Bottom