Kesho Lowassa kuifuta rasmi CCM mikoa ya Kusini

Kesho Lowassa kuifuta rasmi CCM mikoa ya Kusini

Mkuu vipi mbona hamna updates?

Mkuu kwanza baada tu ya lowasa kutua uwanjani wamekata umeme, pili mtandao ni tatizo kubwa sana, tatu watu ni wengi sana kiasi hata kupata nafasi ya kupiga picha huwezi kupata
 
Sasa hivi ndio magari ya standby generators ya UKAWA yameingia na lowasa ndio ameanza kuongea
 
Anasema ameamua kugombea urais ili awakomboe watanzania kutoka kwenye lindi la umasikini ulio kithiri kwa kuwawezesha kupata mikopo wafanya biashara
 
Sumaye alikuwa wa kwanza kusema ccm wameichoka ccm yao ndio maana wameiga M4C ya chadema
 
Suara la wagombea ubunge wa ukawa litatatuliwa ktk muda mfupi ujao
 
Nini kinaendelea hapo viwanja vya mashujaa??
 
Mkuu wakati wa kufanya maamuzi sahihi ni sasa maana muda haurudi

Kabisa mkuu.... Kikatio change nimetunza km mboni ya jicho langu. Nimewaambia na ndugu zangu huko kijijini wafanye hivyo pia na wafanye maamuzi sahihi
 
Kabisa mkuu.... Kikatio change nimetunza km mboni ya jicho langu. Nimewaambia na ndugu zangu huko kijijini wafanye hivyo pia na wafanye maamuzi sahihi

Hakuna lisilowezekana mkuu, tutawaondoa hawa mafisiem
 
Hapo ndio watakuwa wamejimaliza kabisa na kuwafanya washindwe hata kuongoza kambi rasmi ya upinzani bungeni

Kwa vile Mungu ameamua kuwaadhibu basi wanaweza kufanya hivo ili kuruhusu ushindi usogee mpaka 89%
 
Kwa vile Mungu ameamua kuwaadhibu basi wanaweza kufanya hivo ili kuruhusu ushindi usogee mpaka 89%

Tuombe mungu kwa kila mtu na imani yake tuwaondoe hawa wanyonyaji
 
Back
Top Bottom