Punguza Hasira Gamba wewe...wenzenu tumetoka kwenye campain za wagombea ukawa na keyboard pia tunazitumia kueneza ujumbe wa mabadiliko. Kama vipi changa ndimuuuuu na summmuuu ukaaanyweeee.Mnashinda mitandaoni mnadanganyanaaa weeeeeeee kuipata nafasi unaandika Kama mwehu tuu ,hivi Wewe unaijua Tanzania vizuri au unajiandikiaaaa tu u kila maharage