Mkuu awajui tu laiti wangejua matusi yanawapungzia thamani kwawanchi wangeachana nayo. Sisi hatutaki matus tunataka watueleze kua wamefanya nini wameshindwa nini na nikwanini natukiwapa tena watatutoaje hapa tulipo. Mungu awatangulie wapunguze matus.
Tunatarajia Mzee wa Gas haitoki Ntwara the BG SHOW atahudhuria hadhara hiyo na atajiondoa rasm kutoka kundi la wazee wa mchakato,mkakati......Ntwara hoyeee ohoyeee.
Kwa pro ccm silaha yao waliobakiwa nayo ni matusi
Ama kweli mwaka huu huu mambo.Wafanyabiashara Mtwara tuliokubali kufunga maduka kila mtu amelipwa Mara 3 ya anachouza kwa siku.Hivi Lowassa anapata wapi pesa?
Mkuu ni maombi yetu mambo yaende shwari ili tujue nani anatekeleza ahadi mimi naamini ataweza tu ili kukata hii chain ya ulaji ili hata watoto wa wakulima wapate nafasi maana ni shida sanaMkuu hilo ni moja ya mambo yatakayozingatiwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa nape anaambulia 0000 kwenye jimbo la mtama
Mkuu ni maombi yetu mambo yaende shwari ili tujue nani anatekeleza ahadi mimi naamini ataweza tu ili kukata hii chain ya ulaji ili hata watoto wa wakulima wapate nafasi maana ni shida sana
Wanabodi kama ilivyo ada kesho mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa anaingia mkoa Mtwara na Lindi kuifuta rasmi CCM na wana Kusini wameahidi kutofungua maduka yao ili kuonyesha na kushiriki mapokezi ya aina yake kwa rais wao mtarajiwa.
Wewe akulipe nani wakati kazi yako ni kusuka mitego ya panya?
Wanabodi kama ilivyo ada kesho mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa anaingia mkoa Mtwara na Lindi kuifuta rasmi CCM na wana Kusini wameahidi kutofungua maduka yao ili kuonyesha na kushiriki mapokezi ya aina yake kwa rais wao mtarajiwa.
Watu wa mtwara bwana!!! Ukiwauliza mbona mmejiandikisha kwa wingi? Wanajibu " tuna maana yetu".. Sasa hiyo maana yao sijui nini??Nasubiria mafuriko mengine kama/zaidi ya Bukoba.
Kila la kheri wana wa kusini,kesho tunawatazama nyie mmeyapokea vipi mabadiliko.