CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 289
...big up sana makamanda.
Wanabodi kama ilivyo ada kesho mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa anaingia mkoa Mtwara na Lindi kuifuta rasmi CCM na wana Kusini wameahidi kutofungua maduka yao ili kuonyesha na kushiriki mapokezi ya aina yake kwa rais wao mtarajiwa.
Chato nyumbani kwa magufuli Hii ndo maana ya home ground,alienipa habari kuwa wana rock city wanawasubiri akina kiba&mond yuko rock city na alikuwepo kwenye hiyo tour ya wasanii,hakuna mahali nimeandika msukuma mbunge geita mjini,na waliosema mamvi kajinyea ni wananchi waliokuwepo kwenye mkutano wa magufuli pale chato wkt m/kiti ccm mkoa akihutubia sasa unawashwa nanini Dada au kwa7bu wanakupiga paipu hapo kitaa unataka nami nikugeuze nn acha hizo mrembo
Wanabodi kama ilivyo ada kesho mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa anaingia mkoa Mtwara na Lindi kuifuta rasmi CCM na wana Kusini wameahidi kutofungua maduka yao ili kuonyesha na kushiriki mapokezi ya aina yake kwa rais wao mtarajiwa.
Kipi nimeongea ambacho ww unadhani nimekitoa kwenye akili yangu binafsi naona mnashindwa kutafuta ukweli wa hili lililosemwa na wanachato badala yake mnatiririsha matusi Mara sheria ya mtandao kwa lipi startv walikuwa online pale chato sasa km unauna wanachato kuongea vile ni sawa ila mwingine kunukuu yale ni kosa kaa na ulofa wako ila wanachato wameliongea hilo.
Tutakuwa live kila kinachojiri na picha kwa sana tu
ila mzee lowasa anaumwa mpeni mapumziko japo kidogo sio vizuri kumtesa vile mpaka anapoteza memory
Wanabodi kama ilivyo ada kesho mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa anaingia mkoa Mtwara na Lindi kuifuta rasmi CCM na wana Kusini wameahidi kutofungua maduka yao ili kuonyesha na kushiriki mapokezi ya aina yake kwa rais wao mtarajiwa.
Ama kweli mwaka huu huu mambo.Wafanyabiashara Mtwara tuliokubali kufunga maduka kila mtu amelipwa Mara 3 ya anachouza kwa siku.Hivi Lowassa anapata wapi pesa?
SINA JINSIA KAMA WEWE boxIla siyo kosa lako yaani mtu unaandika tusi huku umekunja sura mbayaa as if unaemwandikia unamfaham mmhhhh reyro jinsia gani ww au ni unthaa nn sio ishu ndg