Kipi nimeongea ambacho ww unadhani nimekitoa kwenye akili yangu binafsi naona mnashindwa kutafuta ukweli wa hili lililosemwa na wanachato badala yake mnatiririsha matusi Mara sheria ya mtandao kwa lipi startv walikuwa online pale chato sasa km unauna wanachato kuongea vile ni sawa ila mwingine kunukuu yale ni kosa kaa na ulofa wako ila wanachato wameliongea hilo.
Ama kweli mwaka huu huu mambo.Wafanyabiashara Mtwara tuliokubali kufunga maduka kila mtu amelipwa Mara 3 ya anachouza kwa siku.Hivi Lowassa anapata wapi pesa?
Wana ccm wameshafikia kwenye kitu inaitwa.. koma..
Wanabodi kama ilivyo ada kesho mgombea urais kupitia CHADEMA/UKAWA mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa anaingia mkoa Mtwara na Lindi kuifuta rasmi CCM na wana Kusini wameahidi kutofungua maduka yao ili kuonyesha na kushiriki mapokezi ya aina yake kwa rais wao mtarajiwa.
Poa mkuu nami nilishaligundua hilo,samahani sana mkuu
Mnashinda mitandaoni mnadanganyanaaa weeeeeeee kuipata nafasi unaandika Kama mwehu tuu ,hivi Wewe unaijua Tanzania vizuri au unajiandikiaaaa tu u kila maharage