kukukakara
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 496
- 164
Naskia chato wamesema eti alijinyea ktk ardhi ya wana chato kuna ukweli wa hili hayo yote ni mkutano wa Leo pale chato uwanja wa nyumbani
Wanatathmini mwenendo wa kamapeni wanatabiri green corner karibu inatupiwa taulo na cocha. Mashambulizi ya Red corner yamesababisha green corner ku loose temper. Katika boxing ku loose temper ni mwiko maana hufuati sheria na unaishiwa maarifa . Ushindi ni dhahiri red corner. Like konda la Geita mmh!!