Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Huyu alisema kila "siku tunakufa sisi tu ninyi hamfi. Safari hii zamu yenu".
Kilichotokea kila mtu anajua hasa walichofanya wale jamaa waliovaa kiraia wenye lafudhi ya Zenj...
Alisema kesho maandamano yapo. Na kweli yakatokea.
Alisema yule aliyepotea mnaye dhania hatorudi katoroshwa. Hii kumaanisha watu walimtorosha Polepole alikofichwa. Sasa sijui walifanikiwa kumkamata tena?!
 
😔😔😒😒
 
Mkuu umeandika kwa hisia sana. Pole!

Imagine kama angekuwa ni Abdul ndiyo kafanyiwa hivyo 🤔
 
Ataua wengi asee. Aagize risasi za kutosha.
Alaf zile kasha za risasi kuna waliokota wakapost video ni made in ZIM (a.k.a Zimbabwe)
Si ndio yule bonge aliyekuwa magogoni kipindi kile, akawa anakunja nne mbele ya bibi Kizimkazi anaitwa Chivayo, anahusika na kuuza silaha kwa viongozi Afrika wasiokubalika na kuwapa mbinu za kubaki kwa hila style hii ya kuteka, kutesa na kuua wanamhusisha nayo sana, ndio inatumika Zimbambwe.
 

kwahiyo nawewe unataka kufa kama huyo mwanao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…