kero ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Video: Wananchi wa Chandama, Wilaya ya Chemba, Dodoma wakichimba na kutafuta maji ambayo sio safi na salama

    Wakuu, Kama mnavyoona hapa, wananchi wanachimba na kuchota maji kwenye mto uliokauka. Eneo hili linadaiwa kuwa ni Chandama, Wilaya Chemba, Mkoa Dodoma Video hii inasambaa sana kwenye mitandao ya kijamii. Kada wa CHADEMA Martin Maranja Masese ameandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kero ya maji imepungua. Upatikanaji wa maji kwenye vijiji umefikia 85.5% na 95.2% maeneo ya mjini

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema Serikali imeboresha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi katika maeneo ya vijijini na mijini Amesema kuwa bajeti ya Wizara ya Maji imeongezeka kutoka Shilingi Bilioni 680 kwa mwaka 2021 hadi kufikia Shilingi Trilioni 1.12 kwa mwaka huu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero Ya Maji kwa Wakazi wa TABATA

    Kwa Takrabani mwaka sasa wakazi wa Tabata Tumekua katika Mgao wa Maji kwa siku Tatu ndani ya wiki Jumanne, Jumatano na Alhamisi. Lakini kwa muda mrefu ratiba zimekua hazifuatwi na mara Nyingi maji yakitolewa kuanzia saa 6 Usiku na kukatika baadha ya masaa machache. hii uladhimu kina mama na...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Misungwi karibu na Wilaya ya Nyamagana tuna shida kubwa ya maji

    Kwa miaka mingi, wananchi wa maeneo ya Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, yanayopakana na Wilaya ya Nyamagana wamekuwa wakikabiliwa na ukosefu mkubwa wa huduma ya maji safi na salama, huku mji ukiendelea kukua kwa kasi. Maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Nyanshishi, Nyang'homango na Usagara...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto Sugu ya Ukatishaji Maji na Ucheleweshaji wa Matengenezo Mlandizi (Pwani): Tunaomba Majibu Kutoka DAWASA

    Ndugu zangu wa JamiiForums Wasalaam, Naleta mada hii mbele yenu nikiwa kama mkazi wa eneo la Kata ya Mlandizi mkoani Pwani. Lengo langu kuu ni kuomba hifadhi ya utambulisho wangu (Anonymous), lakini pia kutumia jukwaa hili adhimu kufikisha kilio chetu kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi Keko Juu tuna shida kubwa baada ya Mkandarasi kukata mabomba ya maji kwa takriban wiki nzima

    Tunapenda maendeleo na tunaipongeza Serikali kwa juhudi zake za kuboresha miundombinu kupitia ujenzi wa barabara za mitaa. Hata hivyo, si vyema mradi unaolenga kuwaletea wananchi maendeleo ukageuka kuwa chanzo cha mateso kutokana na utendaji usioridhisha wa mkandarasi. Wiki iliyopita mkandarasi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Kero ya maji Kimara Mwisho

    Kimara Mwisho tuna shida kubwa sana ya upatikanaji wa maji safi toka DAWASA kuanzia mtaa wa bakery ni upande wa kushoto ukitokea mjini baada ya msikiti kwenda Stopover. atizo hili ni la muda mrefu sana toka January hadi sasa, maji tunapewa mara moja kwa wiki yaani Jumatatu tuu. Hapa toka wiki...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji Uyole, Nimeilipa, huduma hakuna!

    Fichua uovu: Uyole, jimbo jipya la Tulia. Nimefanya malipo ya kuunganishiwa huduma ya maji safi tangu mwezi wa nne, lakini hadi leo sijapatiwa huduma hiyo. Kila ninapofuatilia, naambiwa vifaa bado havijapatikana, niwasubiri hadi vitakapokuja. Kinachoniumiza ni kwamba ninatumia gharama kubwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya maji Njiro (Arusha), wiki 2 bila huduma! Tukiwaita AUWSA wanatuzungusha

    Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha katika maeneo ya kwa Msola na kwa Mrimba karibu na Climax Resort. Tumekaa karibu wiki mbili sasa bila maji, na hali hii imekuwa ikijirudia mara kwa mara tangu mwezi Januari. Kila tunapowasiliana na Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA)...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Watafiti wa Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) wapanga kuja na mwarobaini wa kero ya Maji Dar na Pwani

    UTAFITI uliofanywa na Bodi ya Maji ya Wami Ruvu (WRWB) umeonesha kuwepo wa maji lita bilioni 21 za maji chini ya ardhi zitakazotumika kama mbadala wakati wa kipindi cha ukosefu wa maji katika mikoa ya Dar es salaam na Pwani. Hatua hii muhimu ya WRWB ni sehemu ya utekelezaji wa awamu ya kwanza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo Riverside, Kwa Novo hatuna maji mwezi wa saba sasa

    Mimi ni mkazi wa Ubungo Riverside, eneo maarufu kama Kwa Novo. Kwa takribani miezi saba sasa, maji ya DAWASA hayatoki kabisa, jambo ambalo limeleta adha kubwa kwa wakazi wa eneo hili. Kwa sasa tunalazimika kununua dumu moja la maji kwa shilingi 1,000, hali inayoongeza gharama kubwa ya maisha kwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Maji katika manispaa ya Lindi

    Kumekuwa na changamoto ya maji kutotoka katika manispaa ya mji wa Lindi katika maeneo mengi haswa Lindi Mjini, Ng'apa, Mchinga, Mitwero. Na ni zaidi ya wiki moja sasa bila maeneo haya kupata maji. Maeneo haya ni maeneo muhimu kama sehemu za mjini kati, lakini pia yana sehemu muhimu kama...
  13. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ungekuwa Rais, ungeanzisha megaprojects gani kutatua shida ya maji kwa mamilioni ya watu wako ndani ya miaka 5 tu?

    Assume condition zifuatazo Wewe ni Rais wa nchi yenye watu milioni 68 na ukubwa wa 946,000 km² Umepewa nchi hiyo hapo, na hivi ndio vyanzo vikuu vya maji nchini kwako (Nchi yako ni hiyo iliyokuwa coloured green) Nchi yako ina uchumi wa around $90B na unakua kwa 4-5% kwa mwaka, na bado...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Goba tunapata maji mara moja kwa mwezi

    Goba bana kero ya maji kwenye hii mitaa yetu ni kero kubwa sana jamani, maji tunapata mara moja kwa mwezi na sio ya uhakika, tumeshalalamika mno, kiangazi ndo inakua balaa kabisa wakati huu wa mvua tukahisi kutakua na unafuu lakini wapi... Tumeshalalamika mpaka kwa enzi za Naibu Waziri Mkuu...
  15. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA kumaliza kero ya maji ya miaka 30 Mpiji Magohe

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa kuboresha huduma ya maji kwa wakazi wa Mpiji Magohe, Kata ya Mbezi, Wilaya ya Ubungo, hatua inayotarajiwa kumaliza changamoto ya upatikanaji wa maji iliyodumu kwa muda mrefu katika eneo hilo. Mradi...
  16. R

    JamiiForums Tanzania KERO Dar: Jiji lenye vyanzo vingi vya maji ikiwemo Bahari lakini kila kukicha Wananchi “wana kiu ya maji”

    Dar es Salaam ni jiji lililo na mito inayotiririsha maji kuelekea baharini, lakini kwa muda mrefu kumekuwa na uhaba wa maji. Kwa muda mrefu jiji hilo limekuwa likitegemea maji ya mto Ruvu unaopita mkoani Pwani. Wakati wa ziara ya Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akiwa mto Ruvu alidai tatizo la maji...
  17. M Hacker

    JamiiForums Tanzania KERO Siku ya 9 maji hayatoki hata ile ratiba mgawo haina maana Dawasa tumewakosea wapi?

    Dar es salaam kukaa siku 9 bila maji ni mtihani mkubwa sana sijui dawasa wanatuonaje sisi wakazi kimara Kukaa siku 9 bila maji hata ile ratiba mgawo haina maana Watu wanahangaika kupindua madumu Lita 5000 kuangalia unafuu kupata maji hata kuoga
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded MTUWASA: Mahitaji ya maji Manispaa ya Mtwara Mikindani ni makubwa kuliko uzalishaji ambao ni 63%

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mtwara (MTUWASA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa iliyochapishwa kupitia ukurasa wa Jamii Forums tarehe 09/01/2026 kuhusu hali ya upatakanaji wa maji katika maeneo ya Cocobeach, Ligula na Shangani. Pia soma ~ Mamlaka ya Maji Mtwara hukata maji...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bila aibu Waziri mwenye dhamana ya Maji anakiri kuwa CCM kwa miaka zaidi 60 ipo madarakani na imeshindwa kutatua kero ya maji

    Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini. Ameulizwa swali kwa nini hamutumii maji ya bahari kuhakikisha kero ya upatikanaji wa maji hususani mjini...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mnaua wenzenu kumlinda mtu na kikundi chake kushika madaraka halafu mna wiki 3 hamna Maji

    Mzungu hakukosea kuwaita Waafrika Manyani. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Jiji kubwa na Biashara Dar es Salaam lililopo pembeni ya Bahari halina maji. Eti kwa sababu mvua haijanyesha. Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru Mikoani kwenye Maziwa, Mito na Mabonde yaliyojaa maji hamna maji na watu wanategemea...
Back
Top Bottom