Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

Hats kama wameminya ila ktk kumbukumbu zao wamehifadhi ili atakapo tangazwa Edo ndio waanze kunyesha
 
 

Mkuu yana mwisho hayo
 

Mkuu afadhali umeliambia ukweli hilo gamba
 
Hii kauli huwa inanishangaza....KWANI WENYEWE KATIKA HIYO MISHAHARA HAWALIPI KODI?
Kwani wanapewa bure bila kuifanyia kazi hiyo mishahara?
Punguzeni lugha/maneno ya kujifariji...huna chako!!
Mwenyew hapo ushauzwa!

Kuwa tayari kutawaliwa nje ya mfumo wa kinyonyaji na ukandamizaji wa ccm baada ya october
 
mimi sijawahi angalia tbc miaka sita sasa. mimi na familia yangu
 
Ruzuku zinazopelekwa TBC zingeenda kulipia wanafunzi elimu ya juu.
Hili shirika lifutwe kabisa.
 
Haisaidii kiti,hyo TV haina watazamaji watu ckuiz ni ITV na Azam TV kwenda mbele.
 
Hivi hii tbc ipo? Maana walipo mtema Tido na mm nika ishit.
 

Wakina tido ni wachache,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…