Mimi toka Tido Muhando kuondolewa halo TBC sikuwahi tena kuiangalia Chanel hiyo na sijui niiblock!?
Nimefuatilia udondoz wa magazeti leo tbc nimeshangaa mtangaz kwenye habari ya lowasa haisomi anasoma tuu ya ccm hivi TBC n media ya ccm au ya taifa jaman watangazaji wanalipwa kwa kutumia kodi zetu kwa nn wajali maslah ya ccm