Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

popo1986

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
1,120
Reaction score
373
Kwa vipindi kadhaa kumekuwa na matukio mengi ambayo wananchi tulipaswa kuyaona na kuya sikia live toka ktk kituo cha taifa cha utangazaji lkn unaobekana kituo hiki ambacho ni TBC kina elemea upande mmoja wa taarifa hususan Chama cha Mapinduzi yaani CCM.

Sasa sisi wananchi wenye hakivya kuhabalishwa kupitia local chammels kwa kushindwa gharama za Azam tv ambayo umekuwa wazi kuonyesha kila kitu bila ubaguzi sasa .

Nawaachia swali Vp kama UKAWA ukachukua nchi je ? Mkurugenzi na wafanyakazi kwa hizi chuki za wazi kwa matukio ya wapinzani mtabaki hapo kazini? Na kwann muendelee kuwa kipeperushi cha chama fulani?

Kwanini msiwe fair kwa wote?

Hamtutendei haki kam chombo cha taifa..jana mlirusha kipindi cha miziki ya ajabuajabu wakati wa tukio la chadema kitu amvacho mngeweza kurusha live, lkn hamkuthamini.

Hebu tuangalie tuhuma hizi kwa wananchi na mtusaidie katika hilo.

Asante.
 
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa hili shirika ni la umma.

Kuelekea uchaguzi mwaka huu kituo hiki cha televisheni kimekuwa kikiripoti habari kwa upendeleo wa hali ya juu yaani hata kufika mahali na kupotosha jamii ya waTz.Hivi najiuliza TBC wanadhani tuko miaka ya 70? Au wana mawazo mgando na finyu kiasi hiki?? Yaani hata kuripoti habari mfano za upinzani au Lowassa ni kwa uzandiki na urapurapu(ikitokea zimeripotiwa).

Mikutano ya CCm inarushwa live na makolombwezo meeengi..Hivi mnamdanganya nani? Mtz wa leo anajua na ndo maana anajiandikisha afanye maamuzi. Onyesheni kwa uwiano, Tz ya leo inahitaji ukweli na usawa ktk habari.
 
Sasa ww ulitegemea warushe habari za ukawa au chadema tambua kuwa TBC ni kituo kinachomilikiwa na serikali iliyopo madarakani na serikali iliyopo madarakan ni ya ukawa au ya chadema nauliza kwako mleta uzi? Lazima iwe ya chama kilichopo madarakani kwhyo usiumie subiri kama na ww utapata mamlaka ya chama chako kuwepo mjengoni pale mtayatekeleza yakwenu kwa xx achen tu ccm ifanye inavyotaka hupend usifungulie tbc
 
Huelewi maana ya shirika la umma ww,angalia au sikiliza BBC,VOA NDO UTAJUA.REDIO UHURU NDO YA CCM.TBC SI YA CCM NI YA UMMA.Pamoja na Daily News na Habar Leo.Kuripoti habar za CCM na upinzani kwao si HISANI ni LAZIMA waripot kwa usawa
 
we jamaa hivi ni mtanzania halisi au mhamiaji haramu..?
Toka lini shirika au taasisi ya serkali ikafungamana na chama flani kisa
eti kinaongoza serikali ya nchi husika..
mitizamo finyu kama hiyo yako ndiyo inayozid nipandisha ghadhabu
ya kubeba "kichinjio" changu maalumu kwaajili ya kuwachinjia nyuma ya shingo
mnanooct 2015.
Magamba lazima mtajuuuta kuitisha uchaguzi mkuu mwaka huu.
 
ndugu bado unaangalia bado tbc mie kitambo sana kukaa kabisa kupoteza muda wangu kuangalia tbc,ni heri ukaipoteza kichwani
 
Napata wakati mgumu sana kuamini kuwa hili shirika ni la umma.Kuelekea uchaguzi mwaka huu kituo hiki cha televisheni kimekuwa kikiripoti habari kwa upendeleo wa hali ya juu yaani hata kufika mahali na kupotosha jamii ya waTz.Hivi najiuliza TBC wanadhani tuko miaka ya 70??Au wana mawazo mgandona finyu kiasi hiki??Yaani hata kuripoti habari mfano za upinzani au Lowassa ni kwa uzandiki na urapurapu(ikitokea zimeripotiwa)..Mikutano ya CCm inarushwa live na makolombwezo meeengi..Hivi mnamdanganya nani???
Mtz wa leo anajua na ndo maana anajiandikisha afanye maamuzi.Onyesheni kwa uwiano,Tz ya leo inahitaji ukweli na usawa ktk habari.

Usiwalaumu sana wana ufadhili mkubwa sana toka china na India nk kwa ajili ya kukisaidia ccm kishinde ili kulinda maslahi yao ambayo wanaona yanahatarishwa na UKAWA kama ukichukua nchi na hili si uvumi wala tetesi
 
Huelewi maana ya shirika la umma ww,angalia au sikiliza BBC,VOA NDO UTAJUA.REDIO UHURU NDO YA CCM.TBC SI YA CCM NI YA UMMA.Pamoja na Daily News na Habar Leo.Kuripoti habar za CCM na upinzani kwao si HISANI ni LAZIMA waripot kwa usawa

Umemjibu vizuri sana..Hili ni shirika la umma,wanapaswa kuripoti habari zote kwa usawa bila upendeleo.BBC ,DW,France24 na nyingine nyingi ni mifano.Yaani HAWA TBC wao wamejichukulia kututangazia habari za CCm tu.Ni kuwabrain wash wa Tz,something that I doubt if its working this 2015.
 
Usiwalaumu sana wana ufadhili mkubwa sana toka china na India nk kwa ajili ya kukisaidia ccm kishinde ili kulinda maslahi yao ambayo wanaona yanahatarishwa na UKAWA kama ukichukua nchi na hili si uvumi wala tetesi

Ufadhili pembeni(japo ni kweli) hawa ndo wanaotuwekea vikwazo ktk kuleta mabadiliko ya kweli..Hata kama ni CCM inashinda sioni wakileta hamasa au chachu ya maendeleo kupitia tasnia ya habari.Wenyewe ni kuilamba serikali miguu kwa kila jambo.Inatia aibu kwa shirika kongwe kwenye habari kama hili.
 
waache tu wafanye hivyo lakini kwa kifupi EL ndo Rais
 
Hiv ww bado unaangalia TBC (analog)? Watu wameshahamia digitali (ITV, Star tv, sikunyingi.
Hama braza
 
hao wamalizie malizie tu kufungasha virago October mwisho wao
 
haya ndo madhara ya kuwaweka makada badala ya prf kwel chama kimeshika hatamu kama wanaweza kuwaweka hata viongoz wa ulinzi na usalama wa watanzania ni makada watashindwa kuwaweka kwenye v2 ambavyo hata ukiwa na kipaji tu unavifanya?
 
Back
Top Bottom