Kero katika saluni za kiume

Kero katika saluni za kiume

Juzi kati nmeenda salon,baada ya kunyoa mdada anaanza kunilazimisha kunofanyia scrub...yani anaforce kabisa instead of using a customer care language...nkasema duh hili tatzo. Namwambia anioshe tu kichwa inatosha haelewi! Nkaamua kua mkaksi ...ila nilikereka na hii kitu yani utasema lazma kufanya scrub afu bei yake sasa...upuuzi sana huu
 
Juzi kati nmeenda salon,baada ya kunyoa mdada anaanza kunilazimisha kunofanyia scrub...yani anaforce kabisa instead of using a customer care language...nkasema duh hili tatzo. Namwambia anioshe tu kichwa inatosha haelewi! Nkaamua kua mkaksi ...ila nilikereka na hii kitu yani utasema lazma kufanya scrub afu bei yake sasa...upuuzi sana huu
hahahaha wabongo wengi hawajui customer care poa
 
Kwa kinyozi, ndo poa chini ya mwembe, kioo kimening'inizwa kwenye shina.

Wembe, mkasi, mashine isiyo ya Umeme, maji kidogo daaaah ukimaliza kinyozi anachukua kioo kingine kisha anaweka nyuma yako unajiona kichogo.

Jamaa ni kiboko haswa walikuwa WAMAKONDE.
Haha mkuu skuiz muda ni mali! Afu wale vinyozi wanachafua mazingira [emoji16]
 
Kuna hili la kulazimishana kukandwa na maji ya moto,mwenyewe anaogopa kushika kile kitambaa kilivyo cha moto. Lakini anataka kukukanda nacho usoni. Nilitaka kumpiga dada mmoja. Bila haya ananiambia mie mshamba,mshamba kwenye kuunguzwa?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Saloon za mikoani ukute kadada kameishatongozwa na mapredeshee ukiingia kuoshwa yaani kanakulipua ili uondoke haraka kanaona kama vile unakakera
[emoji38][emoji38][emoji38] pole mkuu kwa yaliyokukuta
 
Unakuta umemuelekeza akunyoe style flani,jamaa unakuta anaongea mpaka anapindisha tofauti na ulivyomuelekeza,unajiuliza huyu anawezaje kufanya vitu vyote kwa wakati mmoja,huku ananyoa,huku anapiga story na huku anaangalia TV ukutani..!
Kuna mmoja kidogo aninyoe nyusi wiki iliyopita , ananinyoa huku anaangali sultan azam , sirudi ngoo
 
huwa nna kinyoz mmoja tu anayekiweza hiki kichwa, nikifika anajua nnachotaka,, ila namkazia siku mojamoja kuwa hayo matimberland uyapunguze kidooogo,, nitokee kama mnyama fally ipupa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe ni mimi kabisa mkuu, tena huwa nampigia simu kufanya booking asiuze siti, mimi huwa nahama salon tu kumfuata yeye lakin kunyolewa na kila kinyozi siwezi aisee
 
Ni mengi mno..
  • Nashukuru kuna mdau kataja kupiga mziki kwa sauti kubwa mno...
  • Kushikwa shikwa kichwa ni "therapy" ya aina fulani, tatizo hawa wenzetu hawajuwi hilo, sasa kuna ile ya kinyozi kwanza kunuka jasho kali..
  • kulazimishwa kufanya "scrubbing"..
  • kutokuweka bei hadharani, washangaa baada ya kunyolewa unatajiwa bei kama umesuka rasta za wamasai!
  • ile ya kuoshwa na kufutwa na vitambaa vichafu!
  • kinyozi kutumia muda mwingi kuongea kuliko kunyoa...sijuwi iweje?!..
 
Pole sana mkuu.... tafuta sloon za hadhi yako hizo za uswahilini achana nazo...kama unatimia bei ya 1000 kunyoa lazima upate usumbufu huo
Kwa taaarifa yako wenye tabia hiyo ni hizo hizo saloon kubwa ndizo zenye vijana wanaijiona, wanaojisikia, wenye tabia ya kujifanya kuwa wanaweza nyoa Kwa kutumia mkono mmoja hizo za 1000 Simu ikiiita hawapokei Kwanzaa ni waoga Kwa wateja
 
Back
Top Bottom