King Elly
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,206
- 1,322
Kinyozi nahisi litakaa poa sanaSalon sio kiswahili jamani, tutumie neno la kiswahili-Chegani
Kinyozi nahisi litakaa poa sanaSalon sio kiswahili jamani, tutumie neno la kiswahili-Chegani
Hahaaa umetisha kijanaHili tatizo sugu kwakweli, Mimi huwa nawaambia ondokeni nataka ninyoe.
Si vifaa vyao viko sterilized?Unaweza ukamkuta jamaa ambaye unatetesi ana ngoma au muasherati kupindukia halafu akitoka kunyolewa yeye unafuata wewe
Mimi hua natokaga nduki
Nyingene saw!!!ila nmba nne umezingua kuharibika kwa mashine ni dharula wew unakereka na kuitenge unataka unyolewe ikiwa mbovu hivyo hivyo.Kama kichwa cha habari kinavojieleza...kwakweli kuna tabia za vinyozi hua zina kera sana unapokua umeenda kupunguza nywele...
1; Unakuta kinyozi .anapokea simu anaanza kuongea huku anaendelea na kazi ya kukata nywele au anaweza akastop kazi husika na akaendelea kuongea na simu,na unakuta maongezi ya kipuuzi tu...kwakweli inakera sana!
2; Vinyozi wavivu,yeye kazi yake ni kukuzungusha kichwa kama steering vile anaendesha gari...yani yeye hataki kuzunguka,au hata kuzungusha kiti...kazi yake inakua ni kukuzungusha kichwa utasema anataka kuking'oa...kwakweli inakera.
3; Mashine mbovu mbovu, imekua tatzo sana ktk saloon nyingi skuiz...unakuta mashine inabadili mlio afu kinyozi anastop anachukua screw driver anaanza kuikaza kaza baadhinya nati...ikikaa sawa anaendelea na zoezi hilo ni endelevu...inaboa sana!
4; Kinyozi unakuta anakupitishia waya wa mshine mara shingoni,mara unapita kifuani,mara aushike aurishie kati kati ya miguu yako...inakua kero ...hajui kua ule ni umeme cjui...
Kwakweli kero ni nyingi wadau...leteni zenu hapa nahisi wahusika wakisoma watajirekehisha!
Saw mkuu nime kupata nta wambia na wana.Tabia ya kinyoz kua anapiga stori huku anakuchonga usoni aisee Hua napata tabu sana ya Mate
HahahaDaaah we kijana leo umetoa article poa sana kwani tabia #4 me niliwahi kupigwa na Short aisee Shavuni ila niliambuli kunyolewa bure na Pole, Sasa sijui ningezimia ingekuwaje
Kinyozi ni mhudumu wa chegani anayenyoa nywele. Chegani ndo kiswahili fasaha!Kinyozi nahisi litakaa poa sana
😀😀😀😀😀😀😀 pole mkuu.Hii itakuwa kwa MtogoleDaaah we kijana leo umetoa article poa sana kwani tabia #4 me niliwahi kupigwa na Short aisee Shavuni ila niliambuli kunyolewa bure na Pole, Sasa sijui ningezimia ingekuwaje
sometimes wanakeraSaloon imejaa wahuni wanaangalia Tv au wanasikiliza mziki hata hawanyoi [emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu mashine mbovu unaiona kabisa...inanguruma vbaya