Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 206
- 478
Moise ni budha.Wewe huna tofaut na huyu myebusi Moisemusajiografii
Moise ni budha.Wewe huna tofaut na huyu myebusi Moisemusajiografii
Huyo ni Mimi kabisa. Mama yangu ni muislamu baba ni mkatoliki na kote naenda.kumezuka mtindo wa watu kuwa double standard, mtu ni muislam huku anaenda kanisani, mtu ni mkristo huku anaenda msikitini, watoto na wapo madrasa na sunday school wanaenda
We ndio shetani mwenye mkia.WE BABA UNA ROHO YA KISHETANI HATA KANISANI KOMA IWE MWIKO KWENDA USIJE TENA.
WATU TUSITAKIANE MEMA? TUSIJULIANE HALI? TUSIFUNZWE?
WATU TUMEKENGEUKA SANA SIKU HIZI TUMEKUWA WANYAMA
WE BABA KOMA HAMIA MORAVIAN
Padri ni sawa kabisa na nahodha awapo majini, yeye ndiye mwenye mamlaka ya mwisho juu ya uendeshaji wa chombo chake cha majini. Ukiwa kama abiria huna unachoweza kufanya juu ya mwendo wa chombo chake.NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Ukishaiweka hapa hiyo ni ya wote. Huna haki ya juweka mipaka hii ni kwa nani au nai tu.NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
duh, hii kali!Huyo ni Mimi kabisa. Mama yangu ni muislamu baba ni mkatoliki na kote naenda.
Nashangaa, wakati Roman ibada yao huwa ni fupi sana.Mlalamishi sana huyu ndugu.
Na hapelekwi mtu kwa viboko au kutishiwa kifo.Nashangaa, wakati Roman ibada yao huwa ni fupi sana.
Wee jamaa ni takataka!NB.UZI NI KWA WAKRISTO WAKATOLIKI TU.
Kuna baadhi ya mambo huwa yananikwaza kiukweli kanisani wakati wa misa.
1.Padri kuhubiri wakati ambao sio wa mahubiri. Yani padri misa inaanza tu maneno kibaoo. Muda wa mahubiri anaongea sanaaa, vitu vilevile, muda wa kumaliza misa anaanza tena kupiga porojo zizizo na msingi. Muda wa matangazo anaanza tena upya. Yani very selfish na inconsiderate.
2. Muda wa kutakiana amani, hakuna kitu SIPENDI kama padri kuanza kulazimisha watu waambiane kitu na kupeana mikono, mfano, mwambie jirani yako blah blah, Yani kinanikwazaga sana hiki kitu, hakina umuhimu Wala ulazima kiliturjia.
Vingine vipi ila kwa haraka ni hivi. Vinapoteza sana focus ambaye inatakiwa iwe ni kwa Yesu. Au Kama Kuna vingine ongezeni, Kama ninakosea pia nisahihishwe.
Mtasalimiana misa ikiisha. Utakuwa huelewi maana ya misa. Pia sijakataa mahubiri utakuwa uelewa mdogo.WE BABA UNA ROHO YA KISHETANI HATA KANISANI KOMA IWE MWIKO KWENDA USIJE TENA.
WATU TUSITAKIANE MEMA? TUSIJULIANE HALI? TUSIFUNZWE?
WATU TUMEKENGEUKA SANA SIKU HIZI TUMEKUWA WANYAMA
WE BABA KOMA HAMIA MORAVIAN
Tembea uone.Kwa maelezo yako wewe sio mkatolic labda mkatolic wa mtandaoni. Padri anapata wapi mda wakuzunguza porojo wakati wa misa wakati anaenda na ratiba? Muda pekee ambaye padri huzungumza alichokiandaa ni muda wa mahubiri na kidogo sana tena sio lazima ni baada ya misa.
Wewe sio mkatoliki sababu katoliki huwa wanaenda na muda kama misa ya kwanza ni saa kumi na mbili na nusu asubuhi misa ya pili ni saa 2 kamili asubuhi na haitokei ratiba hii ikavunjwa kwa matakwa ya padri sasa padri atapata wapi mda wa porojo? Na maswala ya geukia jirani muambie neno lolote hiyo katholic haipo na muda wa kutakiana aman siku hizi hakuna kupeana mikono zaidi ya kuinamisha vichwa.
Anakazia nini bana we kukerana tu. We mtu ushamaliza maliza. Straight to the point. Blah blah tu. Alafu kutakiana amani sijakataa ila kuna ile anawaambia mwambie jirani yako......SIPENDI. Ni dukuduku langu.Asante Sana mtumish kwa kuniita
Ibada inapoanza anacho anza nacho padre huwa siyo mahubiri Bali ni utambulisho wa ibada kuhusu ibada ya siku hiyo inalenga nini? Na masomo pia yanahusu nini na ni kwanini pia tumekutana je MUNGU anasemaje siku hiyo katika maandiko
Kuhusu padre kububiri baada ya ibada kuisha huwa inakuja kama kukazia yale mahubiri yake lakin pia unakuta Kuna point alizisahau wakati wa mahubiri hivyo lazima azikazie ili kwenda sawa
Sasa shida ya mleta maada yeye ni wale wa mangumangu
Basi tuendelee kuwaombea wakristo wenzetu wasiojiweza
Yaan mkristo hataki hata kutakiana amani na wakristo wenzie hii ni changamoto
Njoo kanisani kwetu, hizo kero hakuna. Sisi tunaingia kanisani saa moja asubuhi na misa inaisha saa sita mchana.
Ungetaka kuelewa ungeelewa. SIPENDI ujinga mimi ndio maana nimesema hayo.Kwa haraka haraka tu, wewe ni maskini wa akili..