Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

Heheheee ngoja tusubiri taarifa ya ikulu wakijibu hili
 
Siwezi sema mengi kwa sababu bado najarubu kuconnect dots ili nielewe maana ya huo ujumbe! je alimaanisha Odinga anakuwa supported na rafiki yake kujaribu kumtikisa Kenyatta?
 
Nd

Nadhani hamjaelewa kwa nini uhuru alisema hivyo...wakati wa hotuba za walio wengi hasa laila na wenzao walikuwa wanamshabulia sana uhuru sasa lowasa alipopewa nafasi ya kuongea akamwambia uhuru naona mheshimiwa umekalia kitu ch moto. Hii lowasa aliisema kutokan na jinsi kina laila walivyomshaburia uhuru kwenye hotuba zao.

Hivyo uhuru kwa kuwa alikuwa wa mwisho kuhutubia baada ya kina laila na lowasa ndo maana akawa anamjibu lowasa aliyemwambia umekalia kiti cha moto na laila aliyesema jubilee ina mikono miwili.

Kuna mwingine amesema hiki ndo kipindi cha mwisho kwa uhuru...hii si kweli uhuru amechaguliwa 2013 kwa mara ya kwanza hivyo anaweza gombea tena 2017.
 
Huu ni mhula wa mwisho wa Kenyatta atakitetea vipi kwani wamebadilisha katiba?? Atuache na rais wetu waendelee na ukabila wao
Mkuu Rich Pol nadhani umesahau. Hiki ni kipindi cha kwanza cha Kenyatta baada ya kupokea kijiti toka kwa Rais Mwai Kibaki. Sasa Jubilee wanajinoa kumpa kiti cha urais Bwana Ruto hapo 2022.
 
Huu ni mhula wa mwisho wa Kenyatta atakitetea vipi kwani wamebadilisha katiba?? Atuache na rais wetu waendelee na ukabila wao
Siyo kweli ndugu yangu amechaguliwa mara ya kwanza 2013. Na katiba ilibadilishwa wakati wa kibaki na haisemi muhura mmoja hivyo anazo sifa za kugombea tena 2017.
 
Huu ni mhula wa mwisho wa Kenyatta atakitetea vipi kwani wamebadilisha katiba?? Atuache na rais wetu waendelee na ukabila wao

Doh! Wakati mwingine kama haujui kinachoendelea bora ukae kimya...
 
Lowasa na Kenyatta wote walikosea.Eneo la msiba sio eneo la kisiasa.Lowasa kaenda msibani ya kumwongelea Kenyatta yanamhusu nini.Angeshukuru tu kwa kuruhusiwa kuingia nchini kwenye msiba basi akaendelea kuwapa pole wafiwa kwisha.Na Kenyatta naye akadakia vitu visivyo na uhsiano na msiba.Watanzania sio waliofiwa na huyo marehemu yeye mkenya ndie kafiwa na hao walikuwa msibani.

Aliyenifurahisha hapo msibani ni mzee MOI.Lowasa pamoja na kubwabwaja kumtaja Moi kujitia kumsifia MOI alikauka kimya tu akampuuzia hakuonyesha hata chembe ya hisia kuonyesha anakitilia maanani hicho Lowasa ALICHOBWABWAJA kumhusu.Moi alikaa pale kimsiba tu zaidi tofauti na LOWASA ambaye alidhani labda kuongea vitu visivyohusu msiba zaidi kutamsaidia kumpunguzia maumivu ya kushindwa uchaguzi Tanzania.
Wewe mwenyewe umejadili kisiasa, hivyo unakosa "moral authority" ya kumkosoa Lowassa. Siasa imetawala mfumo mzima wa maisha. Hivi umejiuliza kama msiba ule nao uliendeshwa kisiasa? Je, unafikiri wanasiasa wanapokutana iwe kwenye msiba au tukio jingine lolote watazungumza nini kama sio siasa? Uliona kwenye msiba wa Jumbe siasa za enzi ya mfumo wa chama kimoja zilivyoibuliwa na kusababisha Maalim kugoma kutoa mkono wake? Wewe mwenyewe ungekuwa umeziweka kando siasa wakati ukiandika ulichoandika usingeandika uongo kwamba Mzee Moi hakuonekana kuguswa kwa namna yoyote na kile ambacho Lowassa alizungumza kumhusu!
 
Huu ni mhula wa mwisho wa Kenyatta atakitetea vipi kwani wamebadilisha katiba?? Atuache na rais wetu waendelee na ukabila wao
Mkuu ni kama umetoka usingizini vile?Kwaani uhuru kaongoza vipindi vingapi?
 
Nd

Nadhani hamjaelewa kwa nini uhuru alisema hivyo...wakati wa hotuba za walio wengi hasa laila na wenzao walikuwa wanamshabulia sana uhuru sasa lowasa alipopewa nafasi ya kuongea akamwambia uhuru naona mheshimiwa umekalia kitu ch moto. Hii lowasa aliisema kutokan na jinsi kina laila walivyomshaburia uhuru kwenye hotuba zao.

Hivyo uhuru kwa kuwa alikuwa wa mwisho kuhutubia baada ya kina laila na lowasa ndo maana akawa anamjibu lowasa aliyemwambia umekalia kiti cha moto na laila aliyesema jubilee ina mikono miwili.

Kuna mwingine amesema hiki ndo kipindi cha mwisho kwa uhuru...hii si kweli uhuru amechaguliwa 2013 kwa mara ya kwanza hivyo anaweza gombea tena 2017.
Sasa inakuwaje aseme kawape salamu nyumbani kama dongo hilo haliwahusu wa huku??
 
Nilikuwa nafuatilia mazishi ya waziri wa zamani wa serikali ya Jamhuri ya KENYA ndg.WILLIAM OLE NTIMAMA.Kwa bahati mbaya sana pamoja na kurushwa na vyombo vya habari ikiwemo LIVE coverage TV lugha iliyokuwa imetumika kwa zaidi ni lugha ya kimasai mbele ya Rais wa NCHI Mh.KENYATA.

Tafsiri niliyoipata ni kwamba kuna watu wakipewa mamlaka ndani ya nchi ni hatari sana kugawa nchi kwa misingi mbali mbalimbali ikiwemo ukabila,mf mrahisi akapewa nafasi MWAKILISHI kutoka Tanzania naye kajichanganya humo kwa kuzungumza lugha hiyo isiyo ya kibantu na kumwambia- Rais hupaswi kujua nini nimewaambia,hiyo ni siri ya ndani japokuwa kuna watu watakuja kutafsiria mh.Rais baadaye lakini siyo jambo jema kwa mustakabali wa nchi na watu wake.

Mambo ya kitaifa yanapaswa kufanyika kitaifa au kimataifa kwa faida ya jumuiya nzima,kwa kweli nampa pole RAIS UHURU KENYATA kwa yaliyotokea na mimi mwenyewe kwani maeneo mengine sikuweza kuelewa kabisa isitoshe nilikuwa nafuatilia kupitia ntv.

Sasa najiuliza kwa baadhi ya wagombea waliopigiwa kura uchaguzi uliopita lakini leo tunaona mienendo yao ama kweli tungeingia kwenye tanuru la moto.

Sikupendezwa kabisa watanzani mambo kama haya tuyakatae yabaki kwenye vikao vya kimila tu wala si vinginevyo.MUNGU IBARIKI AFRIKA,MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.

Lowasa na Kenyatta wote walikosea.Eneo la msiba sio eneo la kisiasa.Lowasa kaenda msibani ya kumwongelea Kenyatta yanamhusu nini.Angeshukuru tu kwa kuruhusiwa kuingia nchini kwenye msiba basi akaendelea kuwapa pole wafiwa kwisha.Na Kenyatta naye akadakia vitu visivyo na uhsiano na msiba.Watanzania sio waliofiwa na huyo marehemu yeye mkenya ndie kafiwa na hao walikuwa msibani.

Aliyenifurahisha hapo msibani ni mzee MOI.Lowasa pamoja na kubwabwaja kumtaja Moi kujitia kumsifia MOI alikauka kimya tu akampuuzia hakuonyesha hata chembe ya hisia kuonyesha anakitilia maanani hicho Lowasa ALICHOBWABWAJA kumhusu.Moi alikaa pale kimsiba tu zaidi tofauti na LOWASA ambaye alidhani labda kuongea vitu visivyohusu msiba zaidi kutamsaidia kumpunguzia maumivu ya kushindwa uchaguzi Tanzania.
Yehodaya Kenya msibani ndio mahali pa kupiga siasa na hasa msiba wenyewe wa mtu maarufu kama Ole Ntimama
 
Lowasa alisema nini baada ya kukaribishwa kuzungumza?
Alitoa salamu kama kiongozi wa kikabila(maasai) na kuzungumza kidogo kuhusu siasa za kenya kama nazaa tu ndani ya dakika 5:17
 
Back
Top Bottom