1 Magufuli= 5 Kenyatta, Magufuli mchapa kazi jamani, uhuru anabebwa na kabila lake tu, na anajitahidi kuunganisha makabila kuwa vyama. Kwani nyie angalieni hapo uhuru aliongea nini cha maana, hata vijembe hajui, yaani analazimisha conflict na magufuli ambayo haipo, Magu doesn't support Raila, ni marafiki tu. Huoni kuwa yeye ndo anaonekana mtoto?. Kenya wana democracy ipi? wana elimu ipi ambao inaweza zidi Tanzania. Kenya wanachozidi Tanzania ni currency stability yao ambayo ina attracts more investors than any other EAC countries, hivyo makampuni mengi kukimbilia Kenya, hicho tu, kinachofuata ni vituko tu kama vilivyopo Tanzania, tena wana ombwe kubwa la uongozi katika zama hizi za uhuru/ruto. Wakenya wengi hawana kazi , hata wakipata kazi bado malipo yao yako chini, ni shida mtupu.