TUTAFAKARI
Jana kwenye mazishi ya William Ole Ntimama kiongozi wa kabila la maasai Kenya na mwanasisia wa Upinzani mkongwe ambayo pia ilihudhuriwa na Msemaji wa chama Mh.Ole Sendeka na Mh.Edward Lowassa.
Rais wa Kenya Mh.Uhuru Kenyatta alipata kunena maneno haya alipokuwa akizungumza
" Yupo pia Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Mh.Lowasa mapenda kumwambia ukirudi huko nyumbani waambie kiti ni cha moto lakini nimekikalia sawasawa"
Kwa sisi ambao babu zetu walifanya kazi kipindi cha kikoloni na baada ya Uhuru wazee wetu walitueleza ujumbe kama huu sio wa kupuuzia ukilinganisha na mzungumzaji na lengo la ujumbe kwa undani.
Tusisahau pia kuwa kama ilivyo ada kwa wakenya na wanasisia walitumia tukio hilo kuuza maneno yao kuelekea kinyang'anyiro cha August 2017 ambapo kutakuwa na mtifuano kati ya CORD chini ya Raila Odinga,Moses Watengula na Kalonzo Musyoka na JUBILEE PARTY chini ya Uhuru Kenyatta na Dp William Rutto
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]sijui kenyatta alimaanisha nini?