Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

Lowassa anahangaija kiguu na njia hadi kenya lkn rais ni magufuli hadi 2025

Kwa hiyo hatakiwi kwenda kokote au kufanya au kusema chochote kwa kuwa sio rais? Hamtaki hata watu wengine wampende au kumthamini, ili iweje! Mnajipa kazi kubwa sana, kumchukia mtu ni kazi kubwa mno, hakuna mtu anaweza kusaidia kitu kwenye chuki. Lowasa sina issue nae wala simkubali lakini hata nikisema nimchukie haitanisaidia kwa hiyo namchukulia kama mtu au binadamu kama mwingine yeyote. Amehukumiwa na kusemwa sana mpaka na waliomzidi ubaya au hata huo ufisadi wenyewe, punguzeni chuki watu wangu
 
kunawatu aliendaga Kenya kumpigia kampeni bwana Raila kipindi flani...watakuwa wamepitishiwa ujumbe hapoo...

CHADEMA walienda na magari na vikundi mwezi mzima wakimfanyia kampeni Raila Odinga ili ambwage Kenyatta.Lowasa katonesha vidonda sababu Lowasa yuko CHADEMA ambacho kilimsumbua sana Kenyatta walipofanya kampeni dhidi yake!! CHADEMA kujihusisha na Raila habari yote fuatilia hapa.Ilijadiliwa sana

CHADEMA yambeba Odinga
 
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amemtumia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kufikisha salamu kwa Watanzania kwa kuwaeleza kwamba amekalia kiti cha moto, lakini anakimudu na ataendelea kukikalia.

Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, tangu juzi yupo nchini Kenya kwenye mazishi ya Waziri wa zamani wa Serikali ya nchi hiyo, William Ole Ntimama aliyefariki dunia Septemba 2, mwaka huu na kuzikwa jana.

Ntimama aliyefariki dunia nyumbani kwake katika Kaunti ya Narok, anatajwa kama kiongozi aliyejitolea kuhudumia taifa lake, na hasa jamii ya Wamaasai, kwa kupinga dhuluma za kihistoria pamoja na msimamo wake wa kuutetea Msitu wa Mau.

Akizungumza kwenye msiba huo, Rais Kenyatta alisema kuwa licha ya changamoto zilipo nchini humo, hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani, hana wasiwasi na kiti chake.

“Ninamuona hapa jirani na ndugu Mheshimiwa Lowassa (Edward), ambaye amekuja hapa pia na ujumbe wake kutoka Tanzania, ninataka nikuhakikishie kwamba kiti ni moto, lakini ukirudi Tanzania waambie nimekikalia sawa sawa kabisa, hakuna shida.

“Raila (Odinga) ndugu yangu, leo (jana) hakuna mambo ya Jubilee kwani haina mikono miwili, sisi tupo na mkono mmoja tunajua mahali tunaelekea, nyinyi rekebisheni nyumba yenu tukutane kwenye uwanja, achana na nyumba yangu ya Jubilee,” alisema Kenyatta.

Pamoja na hali hiyo, alisema hakuna shida lakini akaonya kama kutafuta nafasi ya urais kufanyike polepole kwani yeye amekalia kiti na hana haraka ya kuondoka.

“Hakuna shida tutafute hii kitu (urais) polepole, nyinyi mnatafuta sisi tumekalia kiti na hatuna haraka ya kuondoka, niliambiwa hapa nikiwa pake, kuna mswahili mmoja alitajwa hapa kwamba watu waelezwe kumeza mate sio kula nyama, kwa hiyo wenzetu endeleeni,” alisema Kenyatta huku akishangiliwa.

Raila ambaye ni hasimu mkubwa wa Rais Kenyatta, amekuwa na urafiki wa karibu na Rais Dk. John Magufuli.

LOWASSA ALONGA

Akizungumza juzi na mwandishi wa BBC nchini Kenya, John Nene, Lowassa alisema kuwa alitarajia kwamba Rais Magufuli angeondoa urasimu serikalini, lakini bado kuna mambo ndani ya Serikali yake hayajakwenda sawa. Hata hivyo alipobanwa afafanue aligoma kufanya hivyo.

Kauli hiyo ya Lowassa imekuja huku Serikali ikiendelea na marufuku ya kuzuia mikutano ya hadhara pamoja na ile ya ndani kwa vyama vya siasa.

Aprili 2, mwaka huu Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga, alimtembelea Rais Magufuli aliyekuwa kwenye mapumziko kijijini kwake Kilimani, Wilaya ya Chato mkoani Geita.

Akizungumza baada ya kuwasili Chato, Raila alisema yeye na familia yake wapo likizo na wamekuja kumtembelea rafiki wa familia yao kwa lengo la kumsalimia.

Chanzo: Mtanzania
Beware of the GAME these are the same Guys who facilitate those sudanic face revolutionary leaders by allowing to exploit south Sudaneese wealth n keep in Kenyan Banks na Ugandan are Doing he same. The Sijaribiwi has an Old ally is Raila n now Mr Nepotist who once said 2015 election is the time for his religious sect(Mamvi) is hardly seeking allience with Kenyatta.

This Greedy people can lead us into a pit of hell.That tall man from kigali is Exploiting Congo DRC n no body in Africa hath the gut even to condemn.U know why old broe Robert from harare always feels like he has the genuine right to be there,because he knows that these youngsters are nothing but hypocrits.

Shame on them. What i think is the broe who missed the boat last time once wrote in his diary that he will rull the 50 mil pple on the land of Dodoma. Kenya is Tribalistict Nation no doubt,Rwanda found its execuses to mess in 1994(am sorry for tragedy with all my respect),Uganda got Mr big hat we all know his attitude,Burundi allows itself to lag behind ,

Tanzania is at least stable but it is in the mid of crisis with the wheeler dealers,nepotist,greedy and vultures politicians and reliogious leaders in disguise with fight for mythical thing called democracy which can be found no where? dont be sensational and emotional no Politician in East africa that seems to be revolutionary in my indexes we got opportunistics
 
Watanzania tufanye yetu tuache chokochoko na hawa watu,wao wanaenda siku zote huk sis tukipga hatua kurud 1961!!!..
 
BY THE WAY WHAT DOES DEVELOPMENT MEAN?DO YOU WANT TO IMPART PEOPLE WITH THE KNOWLEDGE THAT IN AFRICA THERE IS NO ANY KIND OF DEVELOPMENT? AFTER ALL WHEN WE TALK ABOUT DVLP WE BASICALLY MEAN NOT ONLY THE RAPID CHANGES BUT ALSO GRADUAL,AND THAT'S WHY BOTH TZ & KENYA ARE AMONGST OF DEVELOPING COUNTRIES!!!..
 
i meanof the stereotypes architected by some people to ease thier mind! especially when they want us believe just with arrogance that some part of Africa are far developed than the others,while almost all Africa is developing 3rd world countries. hell no there is alot to do that teach to satisfy with this little we have. i think so
 
Umekosea, hapa anampasha rafiki wa Raila. Haya hayatuhusu haya ya urafiki
 
Kuelewa hayo maneno ni lazima kwanza kuyachukua katika muktadha wa siasa za urais na upinzani nchi ni Kenya na Tanzania. Ni hivi (sijui kama ni bahati mbaya au la), rafiki mkubwa wa rais wetu ni kiongozi wa upinzani wa rais wa Kenya. Vivyo hivyo, rais wa Kenya anahusiano wa katibu sana na mtu aliyegombea urais kupitia upinzani (japokuwa si kiongozi wa upinzani) huku kwetu.

Kwa hiyo, nionavyo mimi, kuna "indirect suspicion" (if it is a correct expression) baina ya rais wetu na mwnzake wa Kenya. Kwamba kila mmoja anaunga mkono wapinzani wa mwenzake. Nadhani ni katika muktadha huo maneno ya rais Uhuru Kenyatta yanatakiwa kueleweka.
 
i meanof the stereotypes architected by some people to ease thier mind! especially when they want us believe just with arrogance that some part of Africa are far developed than the others,while almost all Africa is developing 3rd world countries. hell no there is alot to do that teach to satisfy with this little we have. i think so
Umekosea, hapa anampasha rafiki wa Raila. Haya hayatuhusu haya ya urafiki
one the sme bus the scale is EA now!
 
RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amemtumia Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kufikisha salamu kwa Watanzania kwa kuwaeleza kwamba amekalia kiti cha moto, lakini anakimudu na ataendelea kukikalia.

Lowassa ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, tangu juzi yupo nchini Kenya kwenye mazishi ya Waziri wa zamani wa Serikali ya nchi hiyo, William Ole Ntimama aliyefariki dunia Septemba 2, mwaka huu na kuzikwa jana.

Ntimama aliyefariki dunia nyumbani kwake katika Kaunti ya Narok, anatajwa kama kiongozi aliyejitolea kuhudumia taifa lake, na hasa jamii ya Wamaasai, kwa kupinga dhuluma za kihistoria pamoja na msimamo wake wa kuutetea Msitu wa Mau.

Akizungumza kwenye msiba huo, Rais Kenyatta alisema kuwa licha ya changamoto zilipo nchini humo, hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani, hana wasiwasi na kiti chake.

“Ninamuona hapa jirani na ndugu Mheshimiwa Lowassa (Edward), ambaye amekuja hapa pia na ujumbe wake kutoka Tanzania, ninataka nikuhakikishie kwamba kiti ni moto, lakini ukirudi Tanzania waambie nimekikalia sawa sawa kabisa, hakuna shida.

“Raila (Odinga) ndugu yangu, leo (jana) hakuna mambo ya Jubilee kwani haina mikono miwili, sisi tupo na mkono mmoja tunajua mahali tunaelekea, nyinyi rekebisheni nyumba yenu tukutane kwenye uwanja, achana na nyumba yangu ya Jubilee,” alisema Kenyatta.
 
Allow me to school you on a few things and correct your long statement bruh;
1. Uhuru Kenyatta is one of the most influential leaders in Africa, that's a FACT. He doesn't need to ride on anyone's wave to gain popularity or influence, he has managed to bring Africa's and the worlds most powerful leaders to Kenya, an effort many have tried but very few have managed.
2. Laptop Project ya Jubillee; It was rolled out May this Year, 150 public schools in Kenya to get laptops in May it'll be done in phases, this is just the beginning and local universities have won the tender for the manufacture of the laptop thus promoting and honing local skills and innovations JKUAT and Moi varsities win school devices tender
3. Food Security; We have the National economic food security project already underway run by the national irrigations board with the help of Israel, one-million-acre GalanaKulalu Irrigation Scheme has already had it's first maize harvest. The breakthrough on four maize varieties set to produce 20,000 bags of maize from 500 hectares, tushajadili hii sana humu Successful Galana Irrigation project trials-The end of maize import hivi karibuni wala hatuta import chakula, that's a FACT.

Nia yangu ya kuandika mambo yote haya ni kuonyesha jinsi unavyotaka kumdhalilisha Uhuru Kenyatta, si lazima umweke Kenyatta chini ili umfagilie Magu, wote ni viongozi wetu na wana mazuri na mabaya yao.
Just to clarify, Kenyatta alikuwa anamjibu Lowasa kwa kuwa Lowasa alisema hicho kiti cha Urais Tanzania wanakiita kiti moto, his response was hata kama ni moto, yeye anakalia na atazidi kukikalia. Hamna haja ya ku distort message na kujaza chuki ambazo hazitomfaidi mtu,Kenya ikiendelea Tanzania pia italazimika kuendelea na hivyo hivyo Tanzania ikiendelea viongozi wa Kenya hawatakuwa na budi ila kufanya nchi iendelee. Let's build East Africa and stop the side shows, they'll slow us down.

Angalau wewe unakili kuliko wana chadema wenzako, sehemu kubwa ya Wanachama wa chadema ni ma low IQ, slow thinking people nashangaa wewe umefikaje chadema?
 
Huu ni mhula wa mwisho wa Kenyatta atakitetea vipi kwani wamebadilisha katiba?? Atuache na rais wetu waendelee na ukabila wao
 
i meanof the stereotypes architected by some people to ease thier mind! especially when they want us believe just with arrogance that some part of Africa are far developed than the others,while almost all Africa is developing 3rd world countries. hell no there is alot to do that teach to satisfy with this little we have. i think so
I have got you brother,literary satisfied!!..
 
Kauli nzito sana!!inabidi iangaliwe kwa jicho la tatu!
 
Back
Top Bottom