Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

Kenyatta amtumia Lowassa kuwapasha Watanzania

1 Magufuli= 5 Kenyatta, Magufuli mchapa kazi jamani, uhuru anabebwa na kabila lake tu, na anajitahidi kuunganisha makabila kuwa vyama. Kwani nyie angalieni hapo uhuru aliongea nini cha maana, hata vijembe hajui, yaani analazimisha conflict na magufuli ambayo haipo, Magu doesn't support Raila, ni marafiki tu. Huoni kuwa yeye ndo anaonekana mtoto?. Kenya wana democracy ipi? wana elimu ipi ambao inaweza zidi Tanzania. Kenya wanachozidi Tanzania ni currency stability yao ambayo ina attracts more investors than any other EAC countries, hivyo makampuni mengi kukimbilia Kenya, hicho tu, kinachofuata ni vituko tu kama vilivyopo Tanzania, tena wana ombwe kubwa la uongozi katika zama hizi za uhuru/ruto. Wakenya wengi hawana kazi , hata wakipata kazi bado malipo yao yako chini, ni shida mtupu.
Nimeona ambiguity moja kwenye comment yako kwamba how kuwa na rafiki halafu humsupport ??
Kenyatta ni kiongozi makini sana kuliko viongozi wote wa afrika mashariki
 
Magufuli ni heavy weight ya Africa , Kama Kenyatta anataka apete kupitia mgongo wa Magufuli anapotea, Kenyatta akajipime nguvu na maraisi size yake. How can u compare the president who had stayed in power for 4 .5 yrs na raisi aliyetetemesha just within 9 months? Kenyatta ni weak president compare to Magufuli, kwenye ukweli tuseme ukweli, Kawayeyusha Kenya atagawa laptop lakini kimyaa, alikuwa anawasomea hotuba za Obama, we will develop sciences and innovation and we will have enough food to feed the entire Kenya and the rest of Africa in 2017 lakini yote ni nyweee, innovation ipi Kenya wanaweza fanya? hizi ni ndoto za asubuhi, kwa wanafunzi hao wa USIU au Nairobi university wao shinda kwenye mitandao wana google na kwenda GALILEO club kwenda to chill out? Kuja kwa Magufuli kumewaamsha sana maraisi wa Africa, walikuwa wamelala, hivyo Kenyatta akifanya conflict na Magu ni kupoteza muda tu, he need to learn from Magufuli sio kwenda kuongea Kiswahili sio Kiswahili kiigereza sio kiingeraza, maana nina uhakika wa Uhuru alitoka patupu Lowasa aliposea Kitimoto, hakujua hilo neon lina husu nin, je ni kiti cha moto au changamoto? mkenya nani wa kuelewa pale, alichokifanya Kenyatta ni kuamka na kusema kiti ni moto lakini nimekikalia haha.
 
Kenyatta kwa uelewa wangu alimaanisha uongozi unahitaji busara na uvumilivu

Kiti ni cha moto lakn kakikalia sawa sawa means kiti kinahitaji kutumia busara,hekina na uvumilivu

Kwa hyo anamsihi Magufuli awe mvumilivu
 
Nashauri mikutano ya ndani ya upinzani ifanyike Kenya, hata ya hadhara nauli ya basi kitu gani, Uhuru atatukingia kifua
 
Ikumbukwe kwamba Raila alimtembelea Magufuli. Sasa Lowassa kaambiwa......."ukirudi huko nyumbani waambie kiti ni cha moto lakini nimekikalia sawasawa."
My take.......nadhani Uhuru anasema......challenge ipo kubwa kutoka kwa wapinzani lakini yeye anajihami kubaki madarakani.
Hili litakuwa dongo kwa Magufuli kwa sababu inawezekana Uhuru kashasoma uhusiano wa wake (Magu) na Raila.
Kuuuumbeee haya!!!
 
Hv kenyatta leo hii hawez kiisema TZ hata kidogo hakuna nchi iliyojaa ufisadi kama Kenya mpaka walitaka.ajiuzulu wananchi walikuwa wanalia njaa shida maisha magumu walio na elimu na wasio kuwa na elimu lakn pia nakbuka speach ya mugabe aliitukana kenya wanaongoza kwa wizi wa mitataoni cn na nimatapeli cn hyo yte inatokana na rais wao tokea hashike madaraka mpaka leo hakuna kitu kilichofanyika aliwadanganya wakenya hatagawa laptop mashulen lakin wap mpaka wakenya wenyewe analilia magufuri angekuwa rais wao
Najuwa kwetu cc kunamambo yakirekebishwa tutakaa vizur cn swala la ajira na kuachia wanasiasa kufanya mikutano yao najuwa hayo mambo yakitatuliwa mambo yatuakuwa vzr cn
 
Jamani kusema ukweli wengi wetu humu labda tunabishia uzalendo wa nchi yetu tu lakini ukitaka kulinganisha utembelee sehemu husika kwanza. Lakini Ukweli ni mchungu Kenya wanatuzidi sehemu kubwa ya kila nyanja :
1. Viwanda, Utalii, Ndio wawekezaji wakubwa hapa kwetu, Democracy yao angalau ni real, Katiba wanayo ya wananchi sisi tumetanguliza Unafki, Elimu yao ni bora ukilinganisha na yetu ya BRN,

Sehemu pekee ambayo tungewatambia waKenya ni ktk Ardhi napo ni kama hatuna mipango mizuri

Kuhusu leadership kati ya Magu na Kenyatta kila moja ana mapungufu yake.
- Magu akiondoa element za udikteta anaweza kuwa kiongozi mzuri sawa na Kenyatta akiondoa element za ukabila
 
Magufuli ni heavy weight ya Africa , Kama Kenyatta anataka apete kupitia mgongo wa Magufuli anapotea, Kenyatta akajipime nguvu na maraisi size yake. How can u compare the president who had stayed in power for 4 .5 yrs na raisi aliyetetemesha just within 9 months? Kenyatta ni weak president compare to Magufuli, kwenye ukweli tuseme ukweli, Kawayeyusha Kenya atagawa laptop lakini kimyaa, alikuwa anawasomea hotuba za Obama, we will develop sciences and innovation and we will in 2017 lakini yote ni nyweee, innovation ipi Kenya wanaweza fanya? hizi ni ndoto za asubuhi, kwa wanafunzi hao wa USIU au Nairobi university wao shinda kwenye mitandao wana google na kwenda GALILEO club kwenda to chill out? Kuja kwa Magufuli kumewaamsha sana maraisi wa Africa, walikuwa wamelala, hivyo Kenyatta akifanya conflict na Magu ni kupoteza muda tu, he need to learn from Magufuli sio kwenda kuongea Kiswahili sio Kiswahili kiigereza sio kiingeraza, maana nina uhakika wa Uhuru alitoka patupu Lowasa aliposea Kitimoto, hakujua hilo neon lina husu nin, je ni kiti cha moto au changamoto? mkenya nani wa kuelewa pale, alichokifanya Kenyatta ni kuamka na kusema kiti ni moto lakini nimekikalia haha.

Allow me to school you on a few things and correct your long statement bruh;
1. Uhuru Kenyatta is one of the most influential leaders in Africa, that's a FACT. He doesn't need to ride on anyone's wave to gain popularity or influence, he has managed to bring Africa's and the worlds most powerful leaders to Kenya, an effort many have tried but very few have managed.

2. Laptop Project ya Jubillee; It was rolled out May this Year, 150 public schools in Kenya to get laptops in May it'll be done in phases, this is just the beginning and local universities have won the tender for the manufacture of the laptop thus promoting and honing local skills and innovations JKUAT and Moi varsities win school devices tender

3. Food Security; We have the National economic food security project already underway run by the national irrigations board with the help of Israel, one-million-acre GalanaKulalu Irrigation Scheme has already had it's first maize harvest. The breakthrough on four maize varieties set to produce 20,000 bags of maize from 500 hectares, tushajadili hii sana humu Successful Galana Irrigation project trials-The end of maize import hivi karibuni wala hatuta import chakula, that's a FACT.

Nia yangu ya kuandika mambo yote haya ni kuonyesha jinsi unavyotaka kumdhalilisha Uhuru Kenyatta, si lazima umweke Kenyatta chini ili umfagilie Magu, wote ni viongozi wetu na wana mazuri na mabaya yao.
Just to clarify, Kenyatta alikuwa anamjibu Lowasa kwa kuwa Lowasa alisema hicho kiti cha Urais Tanzania wanakiita kiti moto, his response was hata kama ni moto, yeye anakalia na atazidi kukikalia.

Hamna haja ya ku distort message na kujaza chuki ambazo hazitomfaidi mtu,Kenya ikiendelea Tanzania pia italazimika kuendelea na hivyo hivyo Tanzania ikiendelea viongozi wa Kenya hawatakuwa na budi ila kufanya nchi iendelee. Let's build East Africa and stop the side shows, they'll slow us down.
 
baada ya kina raila kurusha madongo ,lowasa ilipofika zamu yake alisema mr president nakuonea huruma kule kwetu hii tunaita kitimoto ndipo baadae kenyata akaongea hivyo..ila wakenya noma aisee kina raila walikuwa free tu kurush avijembe pale,kiukweli wako mbele yetu angalau kwenye ka uhuru fulani,tukoje sijui huku,duh.

WAKO MBELE SANA KWENYE KUCHINJANA WAO KWA WAO NA KUBAGUANA KIMAKABILA. KWA HIYO UNAISHANGAA TANZANIA KUWA NYUMA KWA HAYO? SISI TUNAULINDA UTAIFA WETU NA UDUGU WETU.
 
baada ya kina raila kurusha madongo ,lowasa ilipofika zamu yake alisema mr president nakuonea huruma kule kwetu hii tunaita kitimoto ndipo baadae kenyata akaongea hivyo..ila wakenya noma aisee kina raila walikuwa free tu kurush avijembe pale,kiukweli wako mbele yetu angalau kwenye ka uhuru fulani,tukoje sijui huku,duh.
Laiti km tungekuwa na democracy km ya kenya na south Africa ingekuwa poa sana...wenzetu wako mbele kidemokrasia
 
sijui kenyatta alimaanisha nini?

Lowasa na Kenyatta wote walikosea.Eneo la msiba sio eneo la kisiasa.Lowasa kaenda msibani ya kumwongelea Kenyatta yanamhusu nini.Angeshukuru tu kwa kuruhusiwa kuingia nchini kwenye msiba basi akaendelea kuwapa pole wafiwa kwisha.Na Kenyatta naye akadakia vitu visivyo na uhsiano na msiba.Watanzania sio waliofiwa na huyo marehemu yeye mkenya ndie kafiwa na hao walikuwa msibani.

Aliyenifurahisha hapo msibani ni mzee MOI.Lowasa pamoja na kubwabwaja kumtaja Moi kujitia kumsifia MOI alikauka kimya tu akampuuzia hakuonyesha hata chembe ya hisia kuonyesha anakitilia maanani hicho Lowasa ALICHOBWABWAJA kumhusu.Moi alikaa pale kimsiba tu zaidi tofauti na LOWASA ambaye alidhani labda kuongea vitu visivyohusu msiba zaidi kutamsaidia kumpunguzia maumivu ya kushindwa uchaguzi Tanzania.
 
kunawatu aliendaga Kenya kumpigia kampeni bwana Raila kipindi flani...watakuwa wamepitishiwa ujumbe hapoo...
 
TUTAFAKARI

Jana kwenye mazishi ya William Ole Ntimama kiongozi wa kabila la maasai Kenya na mwanasisia wa Upinzani mkongwe ambayo pia ilihudhuriwa na Msemaji wa chama Mh.Ole Sendeka na Mh.Edward Lowassa.

Rais wa Kenya Mh.Uhuru Kenyatta alipata kunena maneno haya alipokuwa akizungumza

" Yupo pia Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Mh.Lowasa mapenda kumwambia ukirudi huko nyumbani waambie kiti ni cha moto lakini nimekikalia sawasawa"

Kwa sisi ambao babu zetu walifanya kazi kipindi cha kikoloni na baada ya Uhuru wazee wetu walitueleza ujumbe kama huu sio wa kupuuzia ukilinganisha na mzungumzaji na lengo la ujumbe kwa undani.

Tusisahau pia kuwa kama ilivyo ada kwa wakenya na wanasisia walitumia tukio hilo kuuza maneno yao kuelekea kinyang'anyiro cha August 2017 ambapo kutakuwa na mtifuano kati ya CORD chini ya Raila Odinga,Moses Watengula na Kalonzo Musyoka na JUBILEE PARTY chini ya Uhuru Kenyatta na Dp William Rutto


[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]sijui kenyatta alimaanisha nini?


Weka hotuba yote tutaelewa
 
"Mimi nimkristo, mama Dorcas baada ya kazi hii hapa watu wote wataondoka naomba ubaki na bwana YESU" Edward Lowasa!! Afu kuna watu wanaakuambia hawajui the wisest man aliongea nni haha kichaa sio lazima aandikishwe mirembe
 
Na kenyatta hawezi kukubaliana na Magufuli kwa ukaribu wake na mpinzani wake
Kukubaliana kwa lipi ? Tanzania ni nchi huru ina maamuzi yake hata kama Rais wa nchi jirani akubali au akatae bado TZ itabaki nchi yenye maamuzi yake.
 
Allow me to school you on a few things and correct your long statement bruh;
1. Uhuru Kenyatta is one of the most influential leaders in Africa, that's a FACT. He doesn't need to ride on anyone's wave to gain popularity or influence, he has managed to bring Africa's and the worlds most powerful leaders to Kenya, an effort many have tried but very few have managed.
2. Laptop Project ya Jubillee; It was rolled out May this Year, 150 public schools in Kenya to get laptops in May it'll be done in phases, this is just the beginning and local universities have won the tender for the manufacture of the laptop thus promoting and honing local skills and innovations JKUAT and Moi varsities win school devices tender
3. Food Security; We have the National economic food security project already underway run by the national irrigations board with the help of Israel, one-million-acre GalanaKulalu Irrigation Scheme has already had it's first maize harvest. The breakthrough on four maize varieties set to produce 20,000 bags of maize from 500 hectares, tushajadili hii sana humu Successful Galana Irrigation project trials-The end of maize import hivi karibuni wala hatuta import chakula, that's a FACT.

Nia yangu ya kuandika mambo yote haya ni kuonyesha jinsi unavyotaka kumdhalilisha Uhuru Kenyatta, si lazima umweke Kenyatta chini ili umfagilie Magu, wote ni viongozi wetu na wana mazuri na mabaya yao.
Just to clarify, Kenyatta alikuwa anamjibu Lowasa kwa kuwa Lowasa alisema hicho kiti cha Urais Tanzania wanakiita kiti moto, his response was hata kama ni moto, yeye anakalia na atazidi kukikalia. Hamna haja ya ku distort message na kujaza chuki ambazo hazitomfaidi mtu,Kenya ikiendelea Tanzania pia italazimika kuendelea na hivyo hivyo Tanzania ikiendelea viongozi wa Kenya hawatakuwa na budi ila kufanya nchi iendelee. Let's build East Africa and stop the side shows, they'll slow us down.

My friend, we had USA president-Obama and Chinese president for the last two yrs in Tanzania under kikwete, does that shows Mr president was more influential president than the rest of African Leaders? the answer is no, does Uhuru Kenyatta priority is to organize world leaders to come to Kenya for a meeting? the point is not to have world leaders in the country, the point is does these leaders or meeting being in my country has the effects to the common mwananchi?

Now in Tanzania, since magufuli came into power has shown more efforts than expected , like fighting corruption, free education for whole Tanzanians from primary and secondary schools, ATCL revamp process with 3 airplane purchased, providing sponsorship up 70% to university students for high learning studies, this is fully scholarship in Tanzania, all of these few things just happened within 9months .

How can u compare Magufuli with Uhuru who had been in power for alomost 4.9 months but still is struggling with Laptops , just according to ur link above, currently the tender has been awarded to JKUAT to start supplying the laptop at the end of his first 5 yrs in office, means the laptop has not been manufactured, commissioned and distributed for a entire schools.
Uhuru is totally lagging behind Magufuli dears , lets be realistic guys .

Nakubali kuwa Magufuli ana mapungufu mengi, mfano kuzuuia issue za democracy , media , na sikatai kuwa uhuru hana mazuri kwa wakenya , lakini hawa watu wawili have difference directions as well as the way to tackle challenges we face, what uhuru needs to know is that Tanzania and Kenya politics is quietly different ,and he does not to worry about Raila when is in TANZANIA meeting his friend, sasa kianza kutapatapa na kuongea issue ambazo hazina maana just o have a chance to win hiyo haitamsaidia, maana ushindi tayari ni wake.
 
Back
Top Bottom