Kenyan boy and kasie

Kenyan boy and kasie

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,805
Reaction score
43,230
Habari za muda mabibi na mabwana wa kibaraza pendwa, week end ndo hiyoo inaanza.

As usual Kasie on her ways daily life movements I met with this Kenyan boy Ha ha ha haaaaaa daah! Acha tuu usione nacheka, Kasie is burning out, hapa nilipo nimehama home kwangu siku ya tatu sasa na hata sielewi lini ntarudi kwangu. Huyu mkeii ni mblack, mcute, yuko cool anajua ku handle akinishika yu like anashika something ambayo hajaishika tangu azaliwe. Hataki kuwa mbali nami yaaani hata sijui nianzie wapi kuelezea niishie wapi.

Mkeii akinidrop kazini asubuhi ananipa hug, sikuwa nalipata hili tangu nianze kazi, ananipa kiss huh!, ananiangalia usoni na kuniambia maneno matamu," uwe na siku njema Kasie love'' haah hapo nasikia nywele kusisimka. Kisha anafungua wallet na kuni tip noti 3 nyekundu zilizo nyooka na hizo ni just tip. Naingia ofisini mooda inakuwa ya kazi napambana kutwa nzima nisiharibu kazi kwa mahabat ya Kenyan boy looh.

Lunch time ikifika huyu hapa on the phone kwanza anaanza na kuniset where are we going gto have lunch na nini na nini ntacheka na kutabasamu na kufurahi loooh raha hizi na zisiishe kwakweli to be honest am enjoying the game. Basi watu wa ofisini mimacho inawatoka kutaka kujua huyu aliyeokota nungayembe Kasinde ni nani, walipomuona walishushuka na midomo yako wakafyata fyuuu. Kenyan boy simpambi but he is cute, more than handsome and he is gentle too, slim muscle guy, tukiwa home kwake akiwa amevaa zile tshirt za kubana mwili haaah yaani nakuwa naduwaa tuu nikimuangalia sichokii.

Kenyan boy ana accommodate lunch na kunirudisha ofisini, jioni huyu hapa keshafika kunipitia turudi home. Dinner naandaa mwenyewe as he enjoys my dishes. Kiukweli najiona napotea na nahisi ntaumia huko mbele tunakoenda maana jinsi tulivyoanza na tunavyoendelea mie kila siku nakolea kuanzia ma care anayonipa hadi mavituz, of course sijivungi vitu vile vya tunda la kati navipenda sanaaa tena sanaa najua watu watasema najiuza wherever mie nainjoi.

Nimesema nahofia ntaumia huko mbeleni kwenye huu mwenendo wa Kasinde na Kenyan boy maana the day we met aliniambia he liked me na angependa tuwe pamoja, tukakubaliana ni naye eye ana weakness ya ku treat girls nice na aliniambia we won't last long. He is not married hana mtoto na ni more than an adult aged between 35-45. Kaenda shule na kaenda hewani yaani kwa kifupi yuko vizuri.

Am thinking to kidnap his sperm kwa kumuibia nishike mimba tuu coz najua hatuta longlast. Hii mbegu ya kikenya nimeikubali na ninampango nikishika mimba sitamwambia ili nibaki na memory yangu nilee mtoto wangu mwenyewe. For the first time he made me think of having a baby while sikuwa nimewahi fikiri hivyo hata siku moja. Kenyan Boy, if u read here just know that Kasie want to have a baby with u please don't say no. I LOVE U!

Kasie and Kenyan Boy
 

  • "Kenyan Boy, if u read here just know that Kasie want to have a baby with u please don't say no. I LOVE U!! Kasie and Kenyan Boy."
    falcon mombasa; unaitwa huku....​



 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom