Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,033
- 9,923
Sasa wivu gani?, Ninyi wenyewe ndio mlizuia kwa kulipiza kisasi, kabla ya UAE kuondoa vikwazo ninyi mumeamua kulegea, Sasa hapo kweli unapata wapi nguvu ya kusema lolote?.Watanzania huwa mnaonea Kenya wivu sana.
Mngekua na uwezo wa kufikiria mngekuwa kama hao waarabu, lkn mko Zero brain ndo maana mko pale pale enzi za mkoloni mweupeSasa wivu gani?, Ninyi wenyewe ndio mlizuia kwa kulipiza kisasi, kabla ya UAE kuondoa vikwazo ninyi mumeamua kulegea, Sasa hapo kweli unapata wapi nguvu ya kusema lolote?.
Nilishawahi kusema kwamba tatizo la Kenya ni uwezo mdogo wa kufikiria, Sasa lengo lenu lilikua ni kupata nini, na Je mumefanikiwa au mumejidhalilisha?
Hii unaonyesha ni jinsi gani hamna akili, vipi mnalipiza kisasi kabla hata ya huyo unayemlipiza kisasi hajapata ujumbe wewe mwenyewe unapata maumivu kuliko huyo mliyetaka kumuadhibu?.Mngekua na uwezo wa kufikiria mngekuwa kama hao waarabu, lkn mko Zero brain ndo maana mko pale pale enzi za mkoloni mweupe