Kenya yaipiga bao Tanzania, yanunua mahindi Tanzania na kuyauza kwa bei ya juu Sudan Kusini

Mama karubuniwa na wafanyabiashara sasa anazidi kutuingiza chaka kila kitu kimepanda bei
Vitu vilianza kupanda bei wakati wa JPM. Hali ingekuwa mbaya zaidi kama Jpm angekuwa ndio rais leo. Mama alipewa mkono wenye ukoma na uchumi mbaya na huu ni mwendelezo wa sera mbaya za jpm. Mama anapambana kadri ya uwezo.
 
Sio kweli Acha uongo vitu vilianza kupanda bei baada ya tozo za ovyoovyo kuwekwa kila sekta.sasa hivi hata vyakula vimepanda bei Sana haijawahi kutokea
 
Hayo mamiradi mlianzisha kwa kukurupuka mlitegemea yatakamilishwa vipi, huyo JPM kwa miaka mitano tu alikopa zaidi ya miaka kumi ya Kikwete na akaacha miradi imeyumba hovyoo, hakukamilisha hata mradi mmoja, mama amejaribu kukopa ili asogeshe mumempigia makelele, akigusa kwenye tozo ndio mnapiga ukunga kabisa.
Hamna jinsi, itabidi mtozwe na akope tu sana ndio walau akamilishe chochote, ilipaswa mpige haya makelele wakati JPM anawatumbukiza kwenye hilo shimo, ila mliufyata na kumshobokea.
 
Ww unajifanya hauoni tu sababu ni mtumwa wa kiakili wa jpm na kila alilofanya hata baya kwako ni zuri tu. Jpm alishaharibu sana uchumi wa nchi hii na vitu vingi vilishapanda sana sababu ya kodi kubwa za hii nchi na biashara nyingi jpm aliziua. Unaongelea tozo.. umesahau makodi waliyobambikiziwa watu hadi bureau de change zikafungwa zote nchi nzima nk. Sasa kama ulimheshimu jpm mheshimu na Mama pia. Kumbuka aliteuliwa na jpm awe makamu wake na rais mtarajiwa.
 
Dah... We jamaaa..

Punguza miraa na busaa.

Happy new year.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii akili iliyoandika hii mada ni matope kabisa.
Kwani Kuna mtanzania amekatazwa kupeleka mahindi sudani kusini?

Kwani mtu akiuza mzigo wake kwa bei flani si ameridhika? Kwani Kuna mtu amemlazimisha? Akiona haimlipi si anaacha tu kuuza kwani lazima?

Kwa taarifa yako biashara ni kuzidiana ujanja. Mafanikio yeyote ni kuzidiana ujanja , kuona fursa ambayo wengine hawajaona.
Na kwa bahati nzuri Sana watanzania hatuma Mila za kutembea nchi au mikoa mbalimbali kujionea mambo yanavyokwenda
Sasa ulitaka wakenya waone fursa Sudani kusini alafu waje wawaambie pelekeni mahindi huko? Hilo hata mimi sifanyi kwa mtanzania mwenzangu
Fursa inachangamkiwa na aliye nayo.
 
Vitu vilianza kupanda bei wakati wa JPM. Hali ingekuwa mbaya zaidi kama Jpm angekuwa ndio rais leo. Mama alipewa mkono wenye ukoma na uchumi mbaya na huu ni mwendelezo wa sera mbaya za jpm. Mama anapambana kadri ya uwezo.
punguxa uongo haukufai nawe ni mtu mzima
 
Ww unajifanya hauoni tu sababu ni mtumwa wa kiakili wa jpm na kila alilofanya hata baya kwako ni zuri tu. Jpm alishaharibu sana uchumi wa nchi hii na vitu vingi vilishapanda sana sababu ya kodi kubwa za hii nchi na biashara nyingi jpm aliziua. Unaongelea tozo.. umesahau makodi waliyobambikiziwa watu hadi bureau de change zikafungwa zote nchi nzima nk. Sasa kama ulimheshimu jpm mheshimu na Mama pia. Kumbuka aliteuliwa na jpm awe makamu wake na rais mtarajiwa.
Acha uongo ww hata sisi Watz na tunakaa Tz.
Usimfananishe Magufuli na huyu mama mpika urojo.
Magufuli alikazia suala la kodi hakuua biashara.
Na aliweka mazingira rahisishi kwa wafanyabiashara wadogo waweze kujipatia kipato.
Na kweli wakawa wanajipatia.
Kipindi cha Magufuli mfumuko wa bei ulikua unapanda na kushuka na vitu havikupanda tena.
Unasema Magufuli kaharibu uchumi,Hv Marehemu na huyu mama aliyebomoa biashara ndogo ndogo za maelfu ya raia akidai wanachafua mji,aliyefanya miradi kuzorota na mengine kusimama nani anaua uchumi!?
Embu muwe mnafikiria kwanza basi.
Magufuli aliweza kuendesha nchi na miradi ikakwenda yeye asema serikali haina pesa kivp ?
 
Unamtetea sana JPM hadi unataka kulia. Yuko wapi sasa hivi?
 
Ndugu mm sikuwahi kumkubali rais yeyote Tanzania na wala simtetei Magufuli na wala sijasema Magufuli hakuwahi fanya makosa.
Ila kumfananisha na huyu mama unamkosea.
 
Back
Top Bottom