TEMLO DA VINCA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 3,050
- 3,302
Afu mtu anakwambia tz wavivu..Sijajua hizo takwimu au Habari wametoa wapi. Ila ukweli ni kwamba Tanzania ndio inaongoza kuuza vyakula huko SS na ukanda huu Kwa ujumla.
Na ndio maana WFP waliingia mkataba na serikali kununua mazao, pia na TRC Kwa ajili ya usafirishaji. Hiyo Kenya kuuza huko itakuwa ni Kwa ulanguzi tu wa kawaida na Kwa kiwango kidogo.
Hakuna nchi ya kupimana ubavu na TZ katika uuzaji na uzalishaji wa chakula ukanda huu.
Tony254 MK254
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa sielewi kama kuna watu wanajua hata maana ya common sense..