Kenya: Watu 279 wamedhurika baada ya chanjo ya covid19, mmoja afariki

Majiran mko na shida nyingi sana, Kwan ulisha sign ile petition ya ku cancel mkopo wa ma billions ? Halafu mbona mnapenda sana vya bure mbwa nyie, mmekua omba omba sana had mnatia aibu duniani mxieew , mnaomba mikopo hadi ya sumu mbuzi nyie ndo mfe vzur mxieww
TZ nchi kubwa, madini mengi, rotuba hata usiseme idadi ya watu juu....lakini nchi ndogo kama kenya eti ni tajiri kuishinda..idadi yetu ya watu chini, rotuba chini, madini hatuna...lakini uchumi wetu wetu juu ya tz.... hii tutaiita nini kama sio upumbavu wa hali ya juu
 
Back
Top Bottom